Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

kwani we ni nani.
Mimi ni mtu pia ila sijatuhumiwa na chadema ndo mana nikauliza uliposema chadema inatuhumu kila mtu, ulikuwa na maana gani?? mbona mm sijatuhumiwa?? au mm sio mtu?? Afu sikujua, kumbe ni wewe?? Mimi nilijua mtu! samahani!
 
Kazi ipo, uwa namfananisha Tundu Lissu na Morinho "Special One" kwenye strategy zao. Hii issue kama ni kweli wameifanya kitoto hivyo itashusha sana heshima ya CCM na kupandisha sana hadhi ya CDM kwenye jamii ya wapenda haki. Nawashauri CCM wawe makini sana kwenye mambo yao, wasitegemee kuihujumu CDM kwa mbinu za kitoto maana ndani ya system ya CCM wapo watu wengi wanaoipenda CDM kwa dhati na hawatoweza kukaa kimya na kuiacha ihujumiwe ni lazima watavujisha ukweli japo kwa siri. Tekelezeni ahadi na ilani ndio mjihakikishie ushindi hizi hujuma hazitawasaidia kitu.
 
Unganisha wewe, sasa hivi mnatafuta pa kuficha nyuso zenu. Wenzio wamekimbia humu leo, umebaki peke yako. Wapigie simu basi waje kukusaidia na hii aibu mnayopata

Samahani mkuu saronga naomba tu kukuuliza! Sijui sitakusumbua?! Nauliza hivi, hujanione chama Ritz, @zemarcopollo humu ndani?! Sahamani ukiwaona waambie nawakumbusha kuwa "Ukweli huwa unakawaida ya kuchelewa lakini hauachi kufika kule uliko kusudiwa" mimi bado nazidi kuusubiri ukweli udhihiri.
 
Last edited by a moderator:
unajua kupambana na chama kilicho makini na wanasheria wake ni kazi ngumu,ccm waliiua nccr kwa mbinu dhaifu kwakuwa hawakuwa na wanasheria bingwa kama wa chadema,mm ni mfuasi wa cuf ila kwa hili move la chadema,ccm wamechemka,na hili lilivyozito kwa taifa na chadema jinsi navyowaona wanalipeleka,watalimaliza kitaalam bila ku2mia nguvu,na kwa muono wangu hili likipangulia basi ccm watakuwa wamejizika rasmi maana ni mbinu kali waliyoitumia japo imeng'amuliwa na kila ki2, cna mengi zaidi ya kusema chadema nimemanyenyulia mikono,maana kingekuwa ni chama kingne basi hata ofc yake isingekuwa inaonekana zaidi ya jengo tuu,kama ni wanasheria basi chadema ilijiimalisha vibaya zaidi ya vwama vyote.

Wewe ni mfuasi wa CUF?. Mbona Watanzania tunakuwa waongo kiasi hiki?. Basi kama ukitaka kuudanganya umma, jaribu kwanza kupitia mabandiko yako ya nyuma au jaribu kutokusahau ulichokiandika nyuma.

Angalia ulichoandika kwenye hii thread yako,

Kwa siku kadhaa kumeibuka kundi fulani la viongozi wa BAVICHA likijinadi kuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa aondoke madarakani kwakuwa anamiliki kadi ya CCM, na kwakuwa imefahamika kuwa hilo kundi la BAVICHA limepewa pesa ili wasambaze propaganda juu ya Dr Slaa kwakuwa Dr Slaa ndo kaonekana mwiba wa CCM ili Dr aondoke ili ccm wapumue?


Kwa sisi vijana ambao ni BAVICHA tunalionaje! Je hilo kundi fulani la viongozi wa BAVICHA wako sahihi kwa kumshutumu Dr Slaa aondoke madarakani au kwakuwa tunaamini Dr Slaa ndo tegemeo letu ndani ya Chadema hana kosa la kujiuzuru!


Nani inabidi aondolewe sasa hivi kati ya hawa wawili, ni hili kundi la BAVICHA linalodaiwa kutumiwa na ccm au Dr Slaa??

Ni angalizo tu.
 
Magamba, mnalo hilo mambo yamesha wachachia
Bwana weeeee!!! magamba wametulia mbaya si Nape wala Chemba sasa hivi wameinamisha vichwa kama wameshikwa ugoni. Walitegemea kulitumia hili sakata ili kuboresha chama chao, badala yake wameishia kukicost chama chao na kuzidi kukipotezea mvuto kwa jamii. Mbwembwe zao zimeishia kukiponza chama chao. Kwa hili lazma chama chao kitawashukia tu na misifasifa yao itaishia hapo.
 
CHADEMA tv - YouTube
mawakaili wa serikali hawajui nini maana ya ugaidi..
sheria hawana au ni umbumbumbu wa sheria..???
Rweyongeza wakili wa serikali bora ukaimbe kwaya tu sheria huiwezi kaka.
patamu hapa wahaya kwa wahaya..
 
Mimi sina wasiwasi hata kidogo kwamba hii sinema inawavua nguo ccm muda mfupi ujao.
Walidhani wao wajanja lakini wamepatikana mchana kweupe.
Pigeni kazi mawakili wetu tuna imani kubwa sana nanyi lakini pia ueledi wenu unatupa matumaini makubwa.

Mkuu yaani CCM wanamtegemea Mwigulu ili kujinasua katika Anguko lao kitu ambacho hawawezi kufanikiwa sababu huyu jamaa ana mbinu za Kishamba kabisa ambazo hazina kichwa wala miguu.
 
Mkuu yaani CCM wanamtegemea Mwigulu ili kujinasua katika Anguko lao kitu ambacho hawawezi kufanikiwa sababu huyu jamaa ana mbinu za Kishamba kabisa ambazo hazina kichwa wala miguu.

Usiwavunje nguvu mkuu, mwenyekiti wa chama analiamini sana hili jembe lake ukumbuki aliwakemea wanachama wake kuwa wasitegemee polisi kukitetea chama bali nao wapambane kujibu hoja kama anavyofanya Nchemba?
 
Kwani tunalaumu chama au individual people?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Chama limeoza hilo,hata malaika akipewa madaraka hawezi kutumikia lazima ageuke na kuwa devil.,yaani ni chama la majangili,majambazi,maharamia yaani mashetani,majini humo ndio maskani mwao,Malaika hawasogei.
 
Mchanganyiko huu unapaliliwa kuwa na 'disfunctional state'.

Sasa naamini Tanzania chini ya serikali hii ya Tanzania ipo katika fragile state ikielekea kuwa a failed state.
 
Mtoi angalia post za wengine juu washabandika hii kitu na maelezo
 
There are currently 220 users browsing this thread. (49 members and 171 guests), naona wameamua kuifuatilia thread kama guests. Jinsi wanavyoogopa.
 
Jamani mbona tunatoa hukumu hata kabla ya kesi kusikilizwa? Haya ni maelezo ya upande mmoja wa utetezi, mbona tunafanya haraka kabla ya kusikia upande wa pili? Kwa maelezo haya natoa majibu ya baadhi ya maswali ambayo kwa hayo hayajatoa mwelekeo wa nani mkweli kati ya pande zote mbili.

Tumeelezwa kwenye uzi ule mwingine kuwa polisi wana clip ambayo ina utofauti na ya youtube, hivyo hatujui ni clip ipi ina mashitaka mahakamani, hivyo naona ni mapema kusheherekea. Wanasheria wanachokifanya naona ni kutafuta uhalisia wa hizo clip, kitu ambacho nadhani, huenda DPP alijilidhisha kabla ya kwenda mahakamani. Tukumbuke kuwa, kwa hapa mshitaki hajatoa vielelezo vyake. Kwangu mimi, baada ya hapo ndio nitaanza kujua mwelekeo wa kesi lakini sasa ni mapema sana, bado nipo gizani.
 
Back
Top Bottom