Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

tunachoangalia hapa ni uhalicia wa lwakatare kutengeza hiyo njama je ni kweli ukiangalia clip inaonesha kweli na hakuna ulazima wa kumtetea muovu regadles kuna mazur amefanya wote tunapenda mapinduz ila kwenye uovu hatukubali na wa binafsi ni kinukuu uzi hapo wanakili live so nan mchaw? Hakuna haja ya kutafuta hata kama tunawapenda ndo walinusuru taifa anapofanya crimina lazma ashughulikiwe kama wengne
Ukweli hata uuchanganye vipi na uongo utabaki kuwa ukweli, kwahiyo umeuona uhalisia kwenye hiyo clip siyo? subiri kidogo uhalisia utaujua
 
Tundu Lissu ni special case jamani wenye wivu wapande miti wajinyoge. Sina hofu kabisa na ninajua chadema walivyo smart kwenye mambo yao hii ngoma ya watoto lazima ikifika jioni wote warudi majumbani mwao wakalale tubakie wakubwa mitaani

mgonjwa wa dr kigwangalla
 
Naona sinema imeanza kunoga,kahawa yangu iko wapi?nisogezee na kashata,hapa kuna mtu anaitwa mwigilu tumbo joto.
 
Vision yao inaishia pua zao zinapoishia, kilichopo beyond pua zao hawakioni, hiyo ndo bahati mbaya waliyo nayo ccm na policcm wao. Wanasheria wao nafikiri wengi wao ni wale waliopata degree zao kwa kutumia ile kauli ya mkuu wa wilaya ya korogwe. Mfano mzuri ni yule aliyetuhumiwa na mkuu huyo wa wilaya. Sasa minyuso yao imekakamaa kwa aibu inayokaribia kuwapata. Mimacho imewatoka, kwa kesi hii tu watu wengi sana watajificha wasionekane mbele ya jamii (mf. mwigulu, nape, stella mwampamba, shonza, pasco, ritz, zemarcopolo, .... orodha ni ndefu sana ya watakaoaibika na kesi hii). Kaburi la ccm lipo wazi, kinachosubiriwa ni mzoga wa kutiwa humo.
 
Wakati mwingine siasa zinaweza zikamfanya mtu akawa zuzu kumbe maskini ana proffessional yake nzuri tu.
 
Mchaki na Mwungulu inaonekana ndo directors wa hii movie
 
Mimi nimefurahishwa sana na CHADEMA, wakati mwigulu anapiga kelele na video yake wala hawakukurupuka, nafikiri walijua tu kuna siku ataweka mambo hewani (hapa walimchezea offside trick). Na yeye kwa kutumia mikamasi kufikiria badala ya medula, akaona amepata ushindi wa kwanza. Ujinga wake ukamtuma aitundike sasa kwenye mtandao, bado viongozi hawakukurupuka sana, jamaa wakaona wamepata ushindi, wakaamua sasa kuchukua hatua, kumbe hapo ndo haswaaa palipokuwa panasubiriwa. Anguko la ccm sasa limekuwa rahisi kuliko ilivyotarajiwa, kamba ipo shingoni na miguu imeanza kuning'inia. Jasho litawatoka, nape, mwigulu watumieni stela mwampamba na shonza basi kutoa ushahidi wao mahakamani, manake naona mwampamba anamjua producer wa hiyo video na mtunzi wa movie. POLE SANA Majangili ccm.
 
Vision yao inaishia pua zao zinapoishia, kilichopo beyond pua zao hawakioni, hiyo ndo bahati mbaya waliyo nayo ccm na policcm wao. Wanasheria wao nafikiri wengi wao ni wale waliopata degree zao kwa kutumia ile kauli ya mkuu wa wilaya ya korogwe. Mfano mzuri ni yule aliyetuhumiwa na mkuu huyo wa wilaya. Sasa minyuso yao imekakamaa kwa aibu inayokaribia kuwapata. Mimacho imewatoka, kwa kesi hii tu watu wengi sana watajificha wasionekane mbele ya jamii (mf. mwigulu, nape, stella mwampamba, shonza, pasco, ritz, zemarcopolo, .... orodha ni ndefu sana ya watakaoaibika na kesi hii). Kaburi la ccm lipo wazi, kinachosubiriwa ni mzoga wa kutiwa humo.
Kwani tunalaumu chama au individual people?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani tunalaumu chama au individual people?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Chama ni watu, kama mwigulu ni mtu lakini ni kiongozi wa chama, na yeye alikuwa na nia ya kuihujumu CHADEMA sasa vitu vimemrudia mwenyewe, hujuma yake inakirudia chama chake.
 
Tulisema kuwa kipindi CCM inavojitahidi kuibomoa CHADEMA wajue kuwa wao ndio wanajibomoa, Jana na juzi kaja hapa Mtela Mwampamba kumtetea Ludovick na kumbe haya ni masalia yanajuana na yote yapo kwenye payroll ya Mwigulu, Bado tutaendelea kuwakamata wengi hapa wanafiki pia na baba chachage ajiandae.
 
Last edited by a moderator:
unajua kupambana na chama kilicho makini na wanasheria wake ni kazi ngumu,ccm waliiua nccr kwa mbinu dhaifu kwakuwa hawakuwa na wanasheria bingwa kama wa chadema,mm ni mfuasi wa cuf ila kwa hili move la chadema,ccm wamechemka,na hili lilivyozito kwa taifa na chadema jinsi navyowaona wanalipeleka,watalimaliza kitaalam bila ku2mia nguvu,na kwa muono wangu hili likipangulia basi ccm watakuwa wamejizika rasmi maana ni mbinu kali waliyoitumia japo imeng'amuliwa na kila ki2, cna mengi zaidi ya kusema chadema nimemanyenyulia mikono,maana kingekuwa ni chama kingne basi hata ofc yake isingekuwa inaonekana zaidi ya jengo tuu,kama ni wanasheria basi chadema ilijiimalisha vibaya zaidi ya vwama vyote.
 
Tundu Lissu ni
special case jamani wenye wivu wapande miti wajinyoge. Sina hofu kabisa
na ninajua chadema walivyo smart kwenye mambo yao hii ngoma ya watoto
lazima ikifika jioni wote warudi majumbani mwao wakalale tubakie wakubwa
mitaani

na mwigulu nchemba aliyejifanya anajua dawa ya kumtibu lissu wehu wake atakomaje,manake na yeye nackia amehusika kuitengeneza cnema hii,ndo atajulikana chizi ni nani sasa kati yake na kamanda lissu
 
Back
Top Bottom