Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Kwenye red hapo mkuu ina maana kuna tafsiri pana.
Kama Mwampamba alisema anamfahamu vizuri Ludovick na walikuwa wote katika uongozi wa CDM-DUCE basi upo uwezekano kuwa Shonza na Mwampamba ndio walikuwa wanatumika kuisambaratisha CDM. Sasa basi, maneno ya Ben Saanane yatakuwa na kiini fulani cha ukweli! Tunabakia na swali moja kwanini Ben Saanane alioona Zitto anastahili kuhojiwa?
Loh!... Unalo! Ila hili hamtoki...Unafiki mbaya sana!! unakuwa huaminiki kotekote! mwisho utaishi kiujanja ujanja kama akina Mtela Mwampamba na mkwapuaji simu maarufu hapa mjini!!
Chunga mkeo huko ....maana mabosi wako .....!!!Tatizo lenu nyie vilaza mjajiona kama vile mko police au mahakamani mnamtetea gaidi Lwakatare.
Hapo patamu ingawa meli ya CCCCM imeanza kuzama asubuhi na mapema. Sakata hili litavua watu nguo, muda ndo utasema.SUBIRINI
If wishes were horses.....!
Ni nani aliyeweka youtube?
Iko wapi video ya Mwigulu Nchemba?
Ni kwa nini polisi waweke video tofauti na ile iliyopo youtube?
Magamba, mnalo hilo mambo yamesha wachachiahawa nao wanabwabwaja tu, issue iko mahakamani hizo hoja wapeleke huko mahakamani. mwisho wa siku ule mkanda alichukua ndio hata dhamira inawasuta kwahiyo wakamtetee huko mahakamani sio humu au kwenye vyombo vya habari, unless anataka watu waandamane
Naona humu ndani
wameadimika kwelikweli. Wameanza kupata wasiwasi dhidi ya video yao ya
kihindi. Unajua unapopambana na cdm unapaswa kufikiria kesho
itakuwaje.
Kwa hiyo watajikanyaga ni ile walisema wameitoa Jamii Forums au kuna nyingine tena duh mwaka huu hawachomoki Zitto anapaswa kuhojiwa