Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.

Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.

Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.

Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.

Pasco.
Mkuu Pasco, sidhani kama kuna kitu cha kisheria unachoweza kukijua wewe wasikijue wanasheia kama Tundu Lissu, Prof. Safari na timu yao.

Mara nyingi statement na ushauri wako kwa chadema hapa JF huwa ni wa mkono wa kushoto. Japo matokeo huja kujidhihirisha yenyewe na wewe kujiprove wrong. Japo huwa ni mgumu kukiri.

I am quite sure TL and team know exactly what they are doing and what they are supposed to do.
 
Last edited by a moderator:
TAARIFA ni pesa,kama huna pesa huwezi kupata TAARIFA,hawa vijana wanapewa pesa,hata wakina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba tumewoana wakiwa na hao wakina Mwigulu kwenye maeneo fulani,kikubwa walikuwa wanapewa MPUNGA.ACHANA NA HELA BWANA HAINA ADABU HATA MKEO ANAWEZA KUKUSALITI KWA SABABU YA HELA!
Vijana wa CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS
 
hakika CCM ni chama cha kipuuzi! CCM wanadhani wataiua Chadema kwa kuwabambikizia kesi na kufanya propaganda.
CCM wanadhani kutokukubalika kwao mbele ya wananchi wachawi ni Chadema wakati wachawi ni wenyewe CCM.
2015 CCM mtapata aibu.
mkuu mpumbavu akiona uchafu wa sura yake kwenye kioo huamua kupasua kioo kilicho muonesha uchafu wake!
 
Mkuu Mpaka Kieleweke,

Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.

Pasco.

Sijui niite ni kutoa ushauri au kuagiza CDM itekeleze matakwa yako wakati tayari statement ilishatolewa; basi draft statement wacopy na kupaste. Ushauri wako si bure una gharama. Gharama yake ni kuwaingiza CDM mkenge kwenye mpango mzima unaoujua.

Mimi nakushauri MSINGI WA SHERIA NI KUTOA HAKI, NA MSINGI WA HAKI NI UKWELI. Basi tuache haki itokane na ukweli utakaojitokeza kwenye hili sakata. Bado ukweli haujajidhihisha. Naamini kutokana na jina lako unajua andiko linalosema "INJILI INAYOHUBIRIWA KWA HILA INASAMBAA KWA KASI". Kama hili sakata ni hila wengi watanufaika hasa wale wanaolengwa kuathirika. Wengine watalipia tu wanachostahili kutokana na matendo yao. Natumaini wewe unajijua utapata nini hapa
 
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.

Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.

Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.

Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.

Pasco.

Kwa sisi tunaokujua nyendo zako hapa JF

hata nikiwa punguani mara 100 siwezi kupokea ushauri wako

Sorry Pasco mayalla

Last edited by a moderator:
Kuna watu wanadai Studio ya Michuzi ndiko wamefanyia. Ila hili lisubiri kwanza. Kuingizwa kwa Michuzi kwenye hii saga, kuna jambo.

Kuna haja Jackton Manyerere na yeye ahojiwe maana mwanzo kabisa alisema "hiyo Video alishaiona."
Ni dhahiri kuwa CCM walikuwa wakimtumia Ludovick kijasusi. Mawasiliano kati ya Mwigulu Mchemba na Ludovick siku ambayo video ilichukuliwa yanaondoa shaka kuwa aliyeichukua video ni Ludovick, na aliyeifanyia editing ni Mwigulu na Ludovick.

Hii ni aibu nyingine ya Kikwete, viongozi wa chama chake kwa kushirikiana na polisi wanahusika na mbinu chafu na za kipu.mbavu. Big shame to Mwigulu, big shame to Ludovick, big shame to the police and big shame to CCM.
 
Sijui niite ni kutoa ushauri au kuagiza CDM itekeleze matakwa yako wakati tayari statement ilishatolewa; basi draft statement wacopy na kupaste. Ushauri wako si bure una gharama. Gharama yake ni kuwaingiza CDM mkenge kwenye mpango mzima unaoujua.

Mimi nakushauri MSINGI WA SHERIA NI KUTOA HAKI, NA MSINGI WA HAKI NI UKWELI. Basi tuache haki itokane na ukweli utakaojitokeza kwenye hili sakata. Bado ukweli haujajidhihisha

Ukisoma Post za Pasco kama wewe sio muelewa wa malengo yake hapa
unaweza kuingia mkenge ukawa kichaa

Last edited by a moderator:
Vijana wa CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS

SAHIHISHO ISOMEKE

Vijana masalia/wasaliti ndani ya CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS
 
Basi hapo hakuna kesi,wala hakimu wakusimama kwa hicho kikosi noma yaani kimekamilika kwa hii kesi ya kimagumashi.

Dah,kama lile likikosi la madrid,Ronaldo de Lima,Zinedine Zidane,Roberto Carlos,Figo na Iker Casilas mwenyewe yaani

barca alikuwa akigusa tu 5.

Mawakili wa Lwakatare, Tundu Lissu, Mabere Marando, Prof.Safari, Peter Kibatala na Nyaronyo Kicheere.

Kwa jopo letu la mawakili tumejiridhisha kuwa hakuna kesi ya kujibu , hii ni kutokana na hati ya mashitaka ambayo iliwasilishwa mahakamani.

Sasa maswali.
 
Mkuu Pasco, sidhani kama kuna kitu cha kisheria unachoweza kukijua wewe wasikijue wanasheia kama Tundu Lissu, Prof. Safari na timu yao.

Mara nyingi statement na ushauri wako kwa chadema hapa JF huwa ni wa mkono wa kushoto. Japo matokeo huja kujidhihirisha yenyewe na wewe kujiprove wrong. Japo huwa ni mgumu kukiri.

I am quite sure TL and team know exactly what they are doing and what they are supposed to do.

Mkuu Mkeshaji
Ndugu yetu Pasco anataka kuwafundisha magwiji wa sheria jinsi sheria zilivyo wakati yeye ni muandishi wa habari! Yaani ni sawa na mvuvi kufungua darasa la kumfundisha samaki jinsi ya kuogelea.
 
Last edited by a moderator:
Swali ni je hawa mawakili kuongelea kesi hii nje ya mahakama si kinyume cha sheria/kanuni? Lakini pia inaonyesha katika video(na yaonekana kuthibitishwa na Lwakatare katika maelezo yake)kuwa video hii ilirekodiwa with full knowledge ya Lwakatare mwenyewe. Je huu ni mchezo unachezwa na wote CCM na CHADEMA (au na watu fulani au makundi ndani ya vyama hivi) na ni kwa nia gani? Haiingii akilini kupanga mipango iliyokuwa inapangwa sehemu video hii iliporekodiwa na pia ukielewa kuwa unarekodiwa! Lakini pia uharaka wa video yenyewe kusambazwa kwenye mitandao inatia shaka kama kweli ilikuwa TISS (unless intention yao haikuwa kuzuia uhalifu. Kuna maswali mengi kuliko majibu.
 
Hivi sasa wanasheria wa CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la Lwakatare na makosa ambayo alishitakiwa nayo.

Anaeleza kuwa kama ameshitakiwa kwa ugaidi lazima makosa hayo yawe ni ya kigaidi, ila makosa ya Kidnapping na abduction ni makosa ya kawaida ya jinai , na kama ili yawe ya kigaidi ni lazima hayo makosa yawe yamefanyika kwa malengo ya kigaidi , na hata hati ya mashitaka haina maelezo ya makosa ya ugaidi .

Nyongeza: kuhusu video amesema tayari kuna ushahidi wa kimawasiliano baina ya Mwigulu Nchemba ya tarehe 28.12.2012 wakiwasiliana na Ludovick saa 5:55 asubuhi , na Lwakatare amesema kuwa yeye alikutana na Ludovick kuanzia saa tano asubuhi tarehe 28.

Aidha , ameongeza kuwa tarehe 27.12.2012 Denis Msacky alimpigia simu Lwakatare wakati akiwa njiani kurejea akitokea Kagera , akiwa Morogoro na kumuuliza kama yupo DSM , akamjibu yuko njiani.

Tatu, tarehe 29.12.2012 Mwigulu Nchemba , akiwa na Zitto na Mtatiro Star Tv , kipindi cha tuongee asubuhi ndipo alisema kuwa ana mkanda wa viongoz i wa chadema wakipanga mauaji ......sasa haya yote yatajulikana mahakamani.

Ziada .

Maelezo aliyotoa Lwakatare polisi kuhusu maneno yaliyoko kwenye video alisema kuwa yeye anakumbuka siku ya tarehe 28, alikuwa nyumbani kwake na Ludovick ndio alienda kwake , ila picha ya video ni ya kwake , sura ni ya kwake ila baadhi ya maneno yaliyoko sio ya kwake na ameandika hivyo , kwa hiyo kuhusu ukweli wa mkanda majibu ya kina yanatakiwa kutoka polisi , Mwigulu na Denis ndio wanajua nini kipo kwenye mkanda . Hivyo picha limeanza kuonekana , na kwa taarifa zaidi ni kuwa polisi wana video yenye dakika 27.06 na maneno yanatofautiana sana na yaliyoko kwenye You tube iliyowekwa kwenye mitandao .

Sasa polisi nao waliulizwa ni kwanini hawajamkamata aliyeweka hiyo you tube kwenye mitandao walitoa majibu yao na mawakili wanaendelea na uchunguzi wao.

This is extremely good news today.. Thank you all. For now I can order 4 more safari beer. Thank you CHADEMA
 
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

.

Jamii ipi Pasco, ya Lumumba?

Mfumo wa kubambikizia kesi umeshatumika mno, na ni maajab bado wakubwa wanaugemea! Umechuja kupita maelezo.

Lakini pia utambue, ukishajijengea sifa ya kubambikizia watu kesi za uwongo, hata ikitokea ya kweli watu hawatajishughulisha kukusiliza. Na hili ndilo tatizo walilonalo watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Imani ya wananchi ni zero!
 
Kwa kuwa imeongezwa maneno kwa maana ya kupunguza maneno ya awali video ni feki lakini linaondoa kabisa dhamira nzima ya kurekodiwa kama alirithia. Kama ni mpango tu wakuitumia hiyo video kwa njia ya kumrekodi mtu bila ridhaa yake ndiyo umebuma mahakama yo yote itayosikiliza itatudhihirishia kilichopo nyuma ya pazia na akina nani
ndo watuambie maneno ya awali ya video ni yapi na ya kupachikwa ni yapi hapo.
 
CCM ni kama mbegu za haradani zilizodondoka kwenye miamba zikashindwa kumea.
Baada ya wizi wa kura 2010 na bado ushindi ukawa wa kusuasua Kinana alipaza sauti akasema chama kinaanguka. Sasa na yeye kaja kumalizia meno ya tembo yaliyobakizwa na wakina Mangunga na huku wakina mwingilu wanakizika chama bila hata kuchimba kaburi.
 
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.

Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.

Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.

Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.

Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.

Pasco.

Sisi wakazi wa vijijini tumeishaaminishwa kuwa kesi hii ni ya KUTUNGA. Imetungwa na CCM kwa kuwashirikisha Mwigulu na Msaky ili kuichafua CHADEMA mbele yetu watanzania. Sasa tumeanza kuelewa hii movie huku vijijini, mmebakia nyie watu wa Dar peke yenu kwa kuwa ni mazuzu ndo maana mnataka chama kimkane Lwakatare mpate la kusema kwa kuwa mnajua mwisho wa hii movie utakuwaje.

Chama hakina haja ya kuitisha press conference kuipa publicity issue iliyobuniwa na akina Mwigulu, kukaa kimya ni busara zaidi kuluko kuongea na kuonyesha upumbavu. Ni kama wewe na jamaa yako Mzee wa Kwembe Kati mlileta uzi usema MTEKAJI WA KIBANDA AKAMATWA na baadaye mkageuza heading. Sasa ukweli umejulikana kuwa Msaky alimpigia simu Lwakatare kupeleleza kama ameishafika Dar. Cinema inaendelea
 
SAHIHISHO ISOMEKE

Vijana masalia/wasaliti ndani ya CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS
Kwa hiyo kama ni kweli Ludovick alijihusisha, naye ni masalia?. Kama ni masalia. CHADEMA ina masalia wangapi?. Lwakatare ni nani?.
 
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!

ZeMarcopolo Kwani Lissu alitoa press release mahakamani?Hapa tunajadili content za Press release siyo story za Lissu kuchekwa.
 
Back
Top Bottom