fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Kama assets zilifika 13billion kwa share 49% tungetarajia shirika lipate mwekezaji kwa thamani zaidi ya mali zilipo toa madeni, labda tuambiwe madeni ya UDA ni zaidi ya 13billion. Ninachoweza kusema tu ni kwamba serikali, Iddi Simba, Simon Kisena, ccm na mafisadi wote eleweni kwamba watanzania sio mbumbumbu tena kama mlivyo zoea iko siku watachoka kusikia na mtajikuta mnachomewa ndani ya nyumba zenuYeah, maelezo yake ni yale ya funika kombe mwanaharamu aselebuke!!!
Anakubali kuwa malipo ya 51% shares ni 1.2 billion, hapo hapo anasema mali ya UDA ni kwenye tune ya 13 billion...