Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

WEwe maana uliyonayo ni ipi? kumbe wewe unamaana

Wewe maana yako ni ipi hapo Fisadi wenu alipomwita binadamu mwenzie SISIMIZI MDUDU

Na bahati yake tu Tanzania hakuna utawala wa sheria kama ingelikuwapo basi ingembidi athibitishe jinsi Daud alivyo mdudu sisimizi

Tena usinihusishe na hao wagalatia, mimi nimejaribu kuuona ukweli habari za sisimizi hazinihusu .
Ila huenda alitumia mifano ya YESU kwani mara zote watu wenye akili za kawaida kamwe hatuelewi mifano nini maana yake.
 
Kafulila, anapaswa kuwa na busara kidogo na kujua kama ni kweli jinsi ambavyo Zitto alipomuelezea kuwa ni mbunge mtarajiwa basi anapaswa kuhakikisha kuwa chama chake kinasonga ili aweze kupata huo ubunge, ama akiona hathaminiwi basi aje ajiunge nasi watu makini ila hatutampa uafisa habari.
 
Mkuu
Teh teh teh
yani mfano wa Yesu!! Jaribu kidogo kumwogopa YESU
Hakuna mfano wowote Yesu alifananisha wana wa Mungu kama alivyotumia Fisadi Slaa.

huyu Slaa ana akili za kawaida mno kama za wengine hakuna special case hapo.Ni nini alichofanya ili asiwe na akili za kawaida??
 
mimi nafikiri wanaotakiwa kuwa na busara ni hao walijiwekea kanuni zao harafu wasizifuate ktk utendaji wa mambo yao.
 
soma kwa umakini nimesema kuwa wenye akili za kawaida kamwe hatuelewi ambao ni mimi na wewe
 
Mkuu
mimi nafikiri wanaotakiwa kuwa na busara ni hao walijiwekea kanuni zao harafu wasizifuate ktk utendaji wa mambo yao.

walahi, hapa ndio unaniacha hoi si wanasema kuwa wametumia kanuni zao kuwaondoa hao?
ama ni kanuni zipi unazizungumzia hizo?
 
kanuni gani hizo ambazo afsa wa habari hafahamishwi sasa yupo kuhabarisha nini??

hapa ndipo nazima fegi, hiki chama ama genge la kikaragosi
 
Mbona kichwa cha habari kimewekwa "very soft" eti chadema yajaribu kutatua matatizo yake ..nyie watu mnaboa...sema chadema watimuana. mwenyekiti aanza kuwaandama waliokuwa against him..hii ndiyo demokrasia ya chadema poleni..
 
Heshima gani
fisadi ni fisadi tu ,sasa unataka niwe na heshima gani?

Huyu jamaa alishiriki kumsimamisha Wangwe na akatetea sana ule uamuzi , binafsi mimi kama mimi nilifikiri jamaa wenda kawastahi viongozi wenzake ama ni mapungufu ya kibinadamu.

Jamaa karudia tena yale yale ,sasa namwiita rasmi SLAA ni FISADI lilokomaa na MNAFIKI wa KUTUPWA.

Heshima gani huyu FISADI anastahili kuita wenzake SISIMIZI??

Dah! kaazi kweli kweli. HAYA

Narudia swali Dr Slaa amefanya ufisadi gani?. Nini maana ya FISADI?
 
maana ya FISADI ni kuhujumu.

Naomba usikeleke na mfano huu ,Mafisadi mayahudi na mafarisayo yalimuhujumu YESU kwa kumshitakia kosa ambalo hakuwa nalo.

FISADI Slaa alimuhujumu WANGWE kwa kumshitakia uongo ,amewahujumu akina DAUD
.Huyu fisadi Slaa saizi nafsi inamsuta huyu ni ESKARIOTI pia
 
Unaharibu bible wewe! Mayahudi hawakuwa fisadi's kama wewe na CCM yenu!
 
Somewhere kwenye thread ya mama simba ... this is too good to leave it there

Niliwaambia tangu mwaka 2007 mwezi february hapa kuhusu milioni 200 alizonyanganywa Kilango na wakina GOGO, leo wamesemana wenyewe....mnakumbuka wakati wa kashfa za JK?

Busted busted busted

Umepatikana na uongo wako. Kama painstruth alivyokuwa busted juzi.

Wewe unasema kuwa uliliambia jamvi hili mambo fulani mwaka 2007 feb wakati umejiunga na JF kwa jina la haki sawa mwezi October 2007.

Haki Sawa
Join Date: Wed Oct 2007
Posts: 76
Thanks: 1
Thanked 5 Times in 5 Posts
Rep Power: 23

Nipe muda kidogo nimtafute aliyetoa hiyo habari.

Teh teh teh
 
Unaharibu bible wewe! Mayahudi hawakuwa fisadi's kama wewe na CCM yenu!

Ndugu yangu Masa Umeshiba lakini, maana kujibizana na Mkamap inahitaji uwe umekula Makande kwa Ugali
 
maana ya FISADI ni kuhujumu.

Naomba usikeleke na mfano huu ,Mafisadi mayahudi na mafarisayo yalimuhujumu YESU kwa kumshitakia kosa ambalo hakuwa nalo.

FISADI Slaa alimuhujumu WANGWE kwa kumshitakia uongo ,amewahujumu akina DAUD
.Huyu fisadi Slaa saizi nafsi inamsuta huyu ni ESKARIOTI pia

Yesu hakuhujumiwa na wayahudi. Acha uongo wewe mtaalamu wa IT toka Poland
 
Back
Top Bottom