Nani hapa ana uthibitisho kuwa Kafulila anatoa siri za chama, zipi hizo alizowahi kutoa?
Pili what if anayosimamia Kafulila yapo sahihi na Mbowe yuko wrong, kumbukeni Chacha He was innocent!
Inakuwaje katibu msaidizi wa Chama (Zitto Kabwe ) asijue hii ishu?
Jamani mpaka saa hizi mnakubali kuwa mna chama???
Mnapokuja na hoja dhaifu za 'aende' jamani kumbukeni kila siku mnapiga kelele kuhusu CCM!, nyie wana CHADEMA pona yenu ni kuweka uthibitisho wa ubaya wa Kafulila! otherwise soon hiki chama kitabaki historia, ilikuwepo NCCR jamani!
Kwa nini HAMCHUKUI JAPO DAKIKA KUFIKIRI KABLA YA KUWEKA USHABIKI NA UTETEZI MBELE?? mtaja ubuka jamani, post hizi zitabaki ushahidi siku zote
Mbowe amekaa chni na Kafulila mara ngapi,lini amepewa barua za onyo, lini kaonywa na kamati ya maadili ya chama, JE Kafulila amejieleza na kujitetea kwa madai yaliyoelekezwa kwake??
Mswali haya yasipoulizwa na kujibiwa something wrong, naanza kupata wasiwasi washabiki na wapenzi wengi wa Mbowe ni wadumavu wa akili, na wameweka maslahi mbele kuliko ya taifa, kwani ni tusibaki na CCM angalau basi hakuna ufamilia wala
mmefulia
To hell Chadema!!!!!!!!!