Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana.
Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma wamesema october tunatiki mapema tu kazi iendelee
Sasa watu wa kishiri wanafuraha kero ya vumbi imekwisha sasa ni kazi
Asante, october tunatiki kwa mama