Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

Hahhahahaaaa ngoja tusibishane bure tafuta siku nikuchukue ziara
Serious speaking mambo yanapinduka siku hizi huku kunakuwa kule na kule kunakuwa huku
Hizi zote nilizotaja ziko pembeni ya morogoro Rd na zinafikika kwa urahisi sana lakini hebu niambie kule Sinza mfano ukitaka kwenda Namnani

Manzese hipi mkuu nina muda sijapita pande hizo, Manzese kubadilika itachukua muda. Upande wa kuanzia Tiptop kuelekea Mabibo huo kuna kipindi walianza kujenga majengo msazuri lakini huku darajani kuelekea sokoni ni hatari.
 
Nimemaanisha huko ila Matola akashikilia manzese
 
Lazima upotee wewe wa mkoani.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukishuka ubungo elekea moja kwa moja mpaka sinza kisha tafuta lodge au hotel nzuri kwani zipo karibu na stand.

Kuanzia elfu 30 unaweza kupata chumba kizuri.

Ukikosa njoo mpaka mwenge ulale kwangu bure na breakfast asubuhi, maisha kusaidiana.
 
Karibu na stand ina tafsiri pana kwakuwa hajataja umbali halisi
Karibu na stendi nina maana, mahali ambapo itanichukua si zaidi ya dakika kumi kuweza kufika stendi nikitumia daladala.

Na kama ni kwa mguu, basi iwe ni dakika chache tu (Yaani, niwe na uwezo hata wa kuiona stendi)
 
Nakushauri nenda Jm hotel manzese pazuri kuna vyumba vya kuanzia 20 25 30 bed and breakfast restaurant ipo ukitaka msosi unatwanga tu simu pia kila siku kwa wale wasafiri wana gari ya kupeleka wateja stand ya mabasi
 
Golden Palm hotel tsh 20,000 tu..ukishuka stendi ya mkoa unavuka barabara unafuata road ya ubungo maziwa mbele kama kilometa 1 tu utaikuta...ni ya gorofa ina rangi nyeupe...ipo njiani kabisa.

Hivi hawa hawafunga kamera za ndani? Hotel nyingine ukienda na kamchepuko unaweza kujikuta front pages za Uwazi.
 
Wana MMU, hasa wa Dar na Dom. Ninasafari ya Dar, Naombeni kujua hotel/lodge nzuri jirani na Stendi ya mabasi ya mikoani. Iwe ya bei ya wastani kama shilingi 20,000 hadi 30,000 kwa siku. Iwe jirani na chakula kinapopatikana na pia isiwe vichochoroni.

Pia Lodge yenye sifa hizo hizo kwa Dodoma.

Msaada wenu, marafiki
Nenda Kagame hotel iko nyuma ya ubungo stand karibu na ubungo Plaza utapata room ya 30,000 nzur kbsa kitanda kikubwa half ni wasafi sana
 
Kwa huduma ya chakula kwa gharama murua utajongea kwa mama kifusi au kwa mama ndumbi wanapatikana karibu na hiyo hotel
Bila shaka weewe ni Mzee Wa shato poli. I miss ud bibo
 
Back
Top Bottom