Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

Kama kawaida yake, wakati wa majangaa yeye huyoooo anapaaa. ni janga kubwa kuwa na kiongozi kama huyu. Sijui lakini! To me it was better while we waited, we have killed our past and we are busy killing our future. Hasara kubwa sana kwa taifa
 
are you serious MAX?? Hivi huyu mzee ana akili kweli..sasa anaenda kufana nini huko utadhani kiingereza chenyewe anaweza kuongea...yaaninchi ina janga la mabomu yeye ana prioritize kusafiri...ndo shida ya kuchagua raisi kakulia kwa bibi kutwa alikuwa anakula miguu ya kuku
 
when great thinkers fail to think it is a bang....!
MTU ASISHIRIKI SHUGHULI YA UPATANISHI NA KUTAFUTA UFUMBUZI KWA WENZETU KWENYE MACHAFUKO JAMANI.....? aaaaagh sasa tumezidi tunapiga kelele mno...!
 
ya kwake yanamshinda, kukimbilia ya wenzie, mtu mzima hovyo.
 
Mkubwa sio watu wote wa Pwani tuko kama Fisadi Kikwete kwani hata huko bara mnao wengi watu wa dizaini ya Fisadi Kikwete tena wapo wengi kuliko Huku kwetu Pwani. List ya Mafisadi wa bara tena wakuogopwa kama ukoma ni Lowassa, RA nadhani huyu unamuwaza kila siku pale Tanesco wanakuadhibu takribani 22hrs bila ya mwanga, Chenge na list imalizie wewe wenyewe mkuu, huku Kwetu tunao lakini sio wengi tuna Kigoda, Mkapa huyu sio mgeni kwako nanzani unamjua kuwa ndio Architecture wa Ufisadi wa kuuza mali za umma na wengineo pia ukipenda unaweza kuwamalizia.

Kikubwa zaidi Mtalii wetu au waziri wetu wa Utalii na Urasi wa kuchakachua ndio ameshaondoka kwenda kula raha Huko Kwenye Jangwa. Ameshachoka kukaa magogoni kupart sasa amealikwa kwenye party nyingine za kwenda kuonyesha jinsi watu wanvyochakachua uchaguzi bila ya nchi nyingine kupiga kelele kama yeye alivyofanya.

Kwa Ufupi ameenda kutoa Elimu ya uchakachuaji

:mvutaji:

Ni kweli kaka amejeneralize, Haifai wapo watu wa pwani na Safi japo kuwa wanachafuliwa na watu kama mzee pale nyeupe nyumba.
Ila samaki mmoja akioza unamchomoa na unawasafisha walobaki then kitu pwa, pwani!!
 
kama nchi tunatakiwa kujifunza kuwa kumpa mtu wa Pwani urais wa nchi ni kosa kubwa la kujutia
Mkuu,
Kuna hotuba Mwalimu aliitoa Pemba na Unguja kuhusu ubaguzi itafute uisikilize. hayo uliyoyaandika ni katika aliyoyatahadharisha.
ingetosha kusema kuwa watz tulifanya kosa kumpa urais "chaguo la mungu" au Kikwete. Ujumbe ungefika bila ya utata.
 
Katuachia msiba home akija akute tumeshazika.
 
Katuachia msiba home akija akute tumeshazika.

nani kakwambia watu wa Pwani wanataka shida?

yaani kufa wafe wengine, halafu azike yeye? subutuuuuuuuu!

mtu wa pwani yake hina na kahawa.
 
when great thinkers fail to think it is a bang....!
MTU ASISHIRIKI SHUGHULI YA UPATANISHI NA KUTAFUTA UFUMBUZI KWA WENZETU KWENYE MACHAFUKO JAMANI.....? aaaaagh sasa tumezidi tunapiga kelele mno...!

Mkuu hayo ni sawa anahitajika...
Haihitaji rocket science kuona janga la mabomu lililotukuta!! Pia nchi ina matatizo lukuki, hatujajua sababu ya milipuko, watu wamepoteza familia zao, ndugu, watoto, jamaa marafiki, etc; ni sababu tosha ya kuomba udhuru kwenye ufunguzi wa mazungumzo ya upatanishi ambao, sababu ya mgogoro iko wazi, ulafi na uroho wa madaraka!!!

Vipi tukijua leo ile ilikuwa ni sabotage, kwamba kuna watu ndani ya jeshi wamekandamizwa na kuonewa vya kutosha, kwa kutokusikilizwa na kugandamizwa wameamua kutumia nafasi walizo nazo kufikisha ujumbe...wanajeshi, ni watu waliokuwa trained kuua...kumbuka...

Nchi imezama katika dimbwi la matatizo...umeme, vyakula juu, maisha yamepaa huko....

Halafu mtu anayetegemewa kuongoza harakati za solutions kwa matatizo, anaamka asubuhi anaondoka.... wewe unasema asiende.....
Haya bana yetu macho...
 
Ngoja tuone kama wataweza kuwapatanisha Gagbo na mwenzie walau wataepusha damu kuwamgika Ivory Coast
 
mwache aende kwan hakuna tofaut ya yeye kuwepo au kutokuwepo, tena akae uko uko kabisa huku hatumtaki
 
SAFARI SABA ZA SINDBAD HAZIJAKAMILIKA.

AKITOKA HUKO ATAELEKEA NCHI YA WAGAGAGIGIKOKO KUONANA NA MFALME
BULICHEKA. haaaaaa.

Mzee wa TRIP huyo bwana chaneni naye.

Huko ni kicheko tu kwa kwenda mbelee, teh teh teh.

Eti Tz is doing good, teh teh we have new money now, teh teh.

swali> Mr presindent can you tell us the real situation at Gongolamboto fracas?
Jibu> teh teh people should not listen to radio Mbao, teh teh:mullet:
 
Bongo kuna "Amani" abaki kufanya nini?halafu msije mkaconfuse kati ya amani na maendeleo kwasababu licha ya kwamba vina correlation,lakini sio cause and effect...Hakuna taifa liliopata maendeleo eti kwasababu ya amani.

Back to the topic again,mmempa nafasi rais ya kwenda kusuluhisha matatizo kwenye nchi zisizo na "Amani" mmeshindwa kumpa sababu za kubaki.

USA Obama amesha hairisha safari zaidi ya mara moja kutokana na majukumu ama matukio flani flani amabayo yameligusa taifa.Ni wazi kabisa kuwa uongozi tulio nao hauwajibiki kwa mtu yoyote yule,mambo ya upigaji kura naona sasa ni kama maigizo tu.

Bottom line watanzania wana deserve yanayowapata kwasababu nchi ni yao na wameridhia iendeshwe hivyo.
 
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE SAFARINI MAURITANIA…!!!




Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini asubuhi ya leo, Jumapili, Februari 20, 2011, kwenda Nouakchott, Mauritania, kushiriki katika Mkutano wa wakuu wa nchi sita za Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhisho la kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast.
Mkutano huo wa kundi la nchi zinazojulikana kama High Level Panel for the Resolution of the Crisis in Ivory Coast utamshirikisha Rais Kikwete na marais wenzake wa Mauritania, Burkina Faso, Chad, Afrika Kusini, Equatorial Guinea ambayo inashikilia uenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) kwa sasa na, Nigeria ambayo ni uenyekiti wa Nchi Wanachama wa Jumuia ya Uchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
Baada ya kumalizika kwa mkutano wa leo, kesho viongozi wa nchi zote sita wa kundi hilo watasafiri kwenda Abidjan, Ivory Coast ambako watakutana na viongozi hao wawili wa Ivory Coast wanaovutana kuhusu uongozi wa nchi hiyo.
Kundi la nchi hizo sita lilichaguliwa na Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia, mwezi uliopita kutafuta suluhisho la mzozo wa kisiasa katika Ivory Coast ambao ulizuka baada ya Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Novemba 29, mwaka jana.
Katika kura zilizopigwa katika raundi ya pili ya uchaguzi mkuu huo kati ya aliyepata kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, Alassane Quattara, na Rais Laurent Gbagbo, Bw. Quattara alitangazwa kuwa mshindi na Tume Huru ya Uchaguzi ya nchi hiyo kwa kupata asilimia 54.1 kulinganisha na asilimia 45.9 za Rais Gbagbo aliyekuwa anatetea kiti chake.
Matokeo hayo yalithibitishwa na Ujumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa katika Ivory Coast, ambao ulipewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha unafanyika uchaguzi huru na wa haki nchini humo kulingana na Makubaliano ya Linas-Marcoussis ya mwaka 2004 na, kwa mujibu wa Makubaliano ya Kisiasa ya Ouagadougou ya mwaka 2007. Matokeo hayo pia yanakubaliwa na jumuia ya kimataifa, Umoja wa Ulaya (EU), Jumuia ya Uchumi ya Afrika Magharibi (ECOWAS), na Umoja wa Afrika (AU).
Hata hivyo, Baraza la Katiba la nchi hiyo lilibatilisha matokeo hayo, likafuta matokeo ya kura kutoka majimbo saba ya kaskazini mwa Ivory Coast ambako ndiyo ngome ya Quattara na hatyimaye kumtangaza Bw. Gbagbo mshindi.
Kutokana na hali hiyo, kila upande ulitangaza Serikali yake hata kama vyombo vya habari vya serikali, jeshi, utumishi wa umma na taasisi nyingine nyeti za Serikali zinabakia kwenye udhibiti wa Bw. Gbagbo.
Mkutano wa kutwa leo mjini Noaukchott utafunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Mauritania Mheshimiwa Mohamed Ould Abdel Aziz na viongozi wote sita wanaoshiriki katika mkutano huo wanatarajiwa kutoa maneo ya ufunguzi.
Mwisho.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.​
 
Duplicate hii mkuu,ndugu Maxence Mello keshaanzisha the same thread,tumia muda kutemebela threads nyingine utajipunguzia mzigo wa kubandika na kubanduliwa.
 
Mabomu yanawaua raia wema wasiostahili kufa, wale manyang'au wanaostahili kwenda ahela yanawakosa!!
 
Tunaomba Mh. Raisi pia pamoja na huo mkutano pia atafute muda aongee na wakuu wa shirika la reli la Mauritania watupatie nini siri ya wao kuwa na shirika la reli linalofanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kuwa mojawapo ya mashirika ya reli maarufu duniani.

Pia Mh.Raisi aongeze siku za kukaa nchini Mauritania na kutembelea mgodi wa chuma wa Mauritania ili tujifunze wamewezaje kuwa na ufanisi mkubwa na jinsi reli pia ilivyochangia katika mafanikio ya mgodi huo wa chuma Mauritania wakati makaa ya mawe na chuma Mbeya, Tanzania pamoja na TAZARA haina mafanikio makubwa. tusome zaidi mafanikio ya sekta ya reli na chuma Mauritania:

The world's longest train runs on the train tracks in the Islamic Republic of Mauritania. Mauritania is a country situated in the western part of the African continent.

The world's longest train runs from Zouerate in central Mauritania to the coastal town of Nouadhibou. The total length of the train is estimated to be 3 kilometers. The train reaches its destination in 12 hours. More than 700 kilometers are covered during this time. The longest train in the world is primarily a goods train. The Mauritanian train ferries iron ore from Zouerate to Nouadhibou. The iron ore is then further processed or packed ready for export to foreign markets. A few passenger compartments are also shackled up with the freight wagons. The wagons are mostly open topped. Some closed wagons are also hooked up to the train.

The wagons are pulled by diesel electric locomotives. The locomotives are powered by a 3300V General Motor drive. The Mauritanian train is pulled by the combined drive power of 4 diesel electric locomotives pulling the 3 kilometers long train in tandem. The total length of the train consists of approximately 200 cars. Each wagon hauls 84 tons of iron ore. There are a number of service cars.

train02.jpg

train01.jpg

The Mauritania Railway is the national railway of Mauritania. Opened in 1963,[1] it consists of a single, 704-kilometre (437 mi) railway line linking the iron mining centre of Zouerate with the port of Nouadhibou, via Fderik and Choum. The state agency Société Nationale Industrielle et Minière (National Mining and Industrial Company, SNIM) controls the railway line.
Since the closure of the Choum Tunnel, a 5 km section of the railway cuts through the territory of Western Sahara.
Trains on the railway are up to 2.5 kilometres (1.6 mi) in length,[2] making them among the longest and heaviest in the world. They consist of 3 or 4 diesel-electric EMD locomotives, 200 to 210 cars each carrying up to 84 tons of iron ore, and a variable number of service cars. The total traffic averages 16.6 million tons per year
 
Kamwe, kamwe hatutakupa nafasi ya kueneza sumu yako Tz.
Uwezo wa kukudhibiti wewe na vibaraka wenzako tunao.
Tz si ya kuchezewa kama unavyofikiri.

Utaishia kuwa mnung'unikaji daima na milele.


Kishongo nahisi lengo lako la kuwa JF ni la kifisadi zaidi. Unaonekana zaidi kama mbeba mikoba na mwosha meza za wakubwa ambamo unafaidi vile vinavyobaki. La sivyo usingekuwa kipofu wa kutoona uozo mkubwa wa viongozi watawala.
 
Back
Top Bottom