Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

MWANASHERIA

Member
Aug 20, 2010
84
11
Baada ya kukaa muda mrefu sana bila safari za nje, bila shaka alikua na kiu sana ya kusafiri. Jana JK ameanza kusafiri Rasmi, amekwea Pipa, ha ha ha ha ha. Sijua kaenda wapi na kufanya nini?Je, safari hizi zina manufaa kwa taifa?
 
kpleo.jpg
 
Hivi kwa nini asiamie huko huko? hii itasaidia kuwapunguzia gharama walipa kodi

Mkuu, tafadhali temea chini ili hili unalolipendekeza lisitokee, akihamia ughaibuni tutakuwa na ikulu ngapi na unajua gharama zake? Hizi mbili zilizopo tu zinatuto jasho je ikiongezeka ya tatu, tena ughaibuni?

NB:
Ikulu zilizopo sasa ni ile rasmi ya Magogoni na ile isiyo rasmi ya Msoga ambako kila wiki mkulu lazima aende, wakati mwingine mara mbili au zaidi.
 
Ntemi kweli great thinker ha ha ha
 
By DAILY NEWS Reporter, 5th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 50

PRESIDENT Jakaya Kikwete left Dar es Salaam on Sunday for Brussels, Belgium to attend the 5th edition of the European Development Days (EDD) opening on Monday at the Square Meeting Centre.

He is joining current and former Heads of State and Government from Europe, Africa and rest of the world; high-level representatives of governments, international organisations
as well as development practitioners, Non Governmental Organisations, media and
civil society at the two-day event which ends on Tuesday.

On his way to Brussels, President Kikwete had a stop over in Cairo, Egypt where he held
talks with his host President Hosni Mubarak which centred on the two countries mutual
relations as well as on international affairs.
 
Duuh, kesha anza.. hata hivyo alikuwa ame-miss mnosafari mwacheni aende maana hata akiwa humu ndani hakuna anachofanya.
 
kama kawa!wee subiri 2015 sijui wata ahidi nini!Maana nina uhakika hata ahadi moja atakua hajatekeleza.sasa ataondokaje atuache kwenye giza viwanda biashara zimesimama hakuna umeme na maji hakuna?au hayo si majanga kwa mtanzania?
 
Habari wakuu,nina imani mwaka uliopita umepita salama,na nina imani pia mwaka huu tumeuanza salama.

Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi,Naomba tuweke safari za Mheshimiwa Rais Dr J.M.Kikwete,ndani na nje ya bara letu la Africa na wanaojua gharama pia.Ili baada ya miaka mitano ya uongozi wake tuweze kujua kazunguka nchi ngapi na kwa gharama gani.

Kila la kheri kwa mwaka mpya wa 2011

Naanza na hizi

Cairo-Egypt
Brussels-Belgium
Malawi

..........................................................Endelea
 
Nakumbuka ameisha tia timu Zambia.
 
Hii thread ni muhimu sana, inabidi tuittunze tuwe tunai-update kila mara jamaa anaposafiri...!

Ni vyema pia utngeweka ya mikoa au wilaya atakazo tembelea ili tuweze kupima pia...! Safari za nje VS safari za ndani.
 
Asante mkuu wazo zuri sana,naomba kama Mods wakipita hapa Watafute jinsi ya kuipangilia vizuri.
 
huko majuu sijui kama ana heshima yoyote baada ya haya madudu ya wikiliki, ya airbus, radar nk, watakuwa wana mchora tu, labda na yeye akiwa hana aibu, kama alivyo sema huko nyuma eti tatizo la wana sheria wetu exposure/kapirienci/experience ya mikataba ya kimataifa, kumbe watu wana fanya kusudi, wakilindwa na walio wateua
 
Aache hiyo Misele yakwenda kula Bata huko ughaibuni na badala yake hiyo Pesa itumike kulipa Dowans sio kuwabebesha Wananchi Mzigo huku Ye akiendelea kutanua kama Kawa.
 
kila weekend anakwenda msoga kwenye nyumba mpya.... kweli kipya hakinyemi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom