Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

Suala ni gharama anazotumia kwa hizo safari na nini tunapata..

rais mwehu mnajuta wakat mmemchagua wenywe? Kuu la mafisadi halaf mnazdi kumtetea,subir ad we kuuzwa!
 
Ahh well acha aende tu!Labda kuna umuhimu..labda hamna ila ndo hivyo tena!Binafsi angehamia huko angenifurahisha zaidi!
Nakubaliana nawe Lizzy, Kwa kuwa tuko kwenye auto pilot ni kweli anaweza kuhamia huko na 2015 aitafika bila shida , (Gwiji RA lipo litakamata Remote control sawa sawa )
 
mbona mkwere anafuatilia sana maswala ya afya? why? kwanini? mara kafungua maabara, mara kaeleza mpango mkakati wa kuendeleza chuo kikuu cha tiba muhimbili, mara yupo geniva kuhudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu afya ya mama na mtoto. yeye ndo waziri wa afya nini? kwanini mambo mhm yanayogusa maslahi ya taifa hayazungumzii yeye anakimbilia ishu zinazohusu waizara alizoziunda yeye mwenyewe?? jamani km kuna chuo kinachohusu wakuu wa nchi muelekeni huyu bwana aende walau apate hata lecture 2 au 3 tu arudi.
 
Safari anazo enda kuomba net za mbu ndio za muhimu? Kwani malipo ya dowans hayatoshi ku-subsidize tupate net za bure?
anapalilia kibarua cha baada ya 2015 - UN wampe kamati ya kuongoza etc
 
anakwepa hotuba ya mwisho wa mwezi.

hana cha kutueleza waTZ. muacheni azurure.
 
mbona mkwere anafuatilia sana maswala ya afya? why? kwanini? mara kafungua maabara, mara kaeleza mpango mkakati wa kuendeleza chuo kikuu cha tiba muhimbili, mara yupo geniva kuhudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu afya ya mama na mtoto. yeye ndo waziri wa afya nini? kwanini mambo mhm yanayogusa maslahi ya taifa hayazungumzii yeye anakimbilia ishu zinazohusu waizara alizoziunda yeye mwenyewe?? jamani km kuna chuo kinachohusu wakuu wa nchi muelekeni huyu bwana aende walau apate hata lecture 2 au 3 tu arudi.
Mwenzake Lyatonga M. alipoenda kupata degree yake alidai kuwa alipokaa kwa mahojia na maprofessor , walishangaa umahiri wake wakasema kwa nini hana Ph. D ya masuala ya siasa? . Hivyo basi hata JK akienda kwenye hicho chuo tutasikia vitu vya kufanana na maelezo ya Mrema. Lol
 
Aende salaama ataikuta dowans imeiva. Nahisi huenda ikawa safari yake ya mwisho. Au atakwenda wakati tunamsend esile.
 
Mwenzake Lyatonga M. alipoenda kupata degree yake alidai kuwa alipokaa kwa mahojia na maprofessor , walishangaa umahiri wake wakasema kwa nini hana Ph. D ya masuala ya siasa? . Hivyo basi hata JK akienda kwenye hicho chuo tutasikia vitu vya kufanana na maelezo ya Mrema. Lol

sasa sijui hao maprofesa watamuuliza nini maana yeye tayari katunukiwa phd zaidi ya 5 sasa, labda watamuuliza kwa kumshangaa, he imekuaje wewe uje kwetu wakati umetuzidi kwa kila kitu!!!! yangu macho na masikio.
 
mbona mkwere anafuatilia sana maswala ya afya? why? kwanini? mara kafungua maabara, mara kaeleza mpango mkakati wa kuendeleza chuo kikuu cha tiba muhimbili, mara yupo geniva kuhudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu afya ya mama na mtoto. yeye ndo waziri wa afya nini? kwanini mambo mhm yanayogusa maslahi ya taifa hayazungumzii yeye anakimbilia ishu zinazohusu waizara alizoziunda yeye mwenyewe?? jamani km kuna chuo kinachohusu wakuu wa nchi muelekeni huyu bwana aende walau apate hata lecture 2 au 3 tu arudi.

Yes he is needed kwani si hao mawaziri akina Nazir kusaini mikataba ya ulghai bila kuangalia? labda kama anaenda kuchakachua mambio mengine zaidi.

Ila tuu aangalie sana na hao watu wa afya wasije wakamuungiza mjini na mikataba ya viwanda feki vya madawa kwani umafia uliofanywa na mafia wa kiingereza kupitia haohao UN wakenya wengi sana hata wabongo walipoteza maisha na pia madawa yenyewe yakawa yanatumika kuuwa malaria lakini lengo kuu lilikuwa to shorten human life( Life span) ili kuuwa nguvu kazi.

Hapa cha kuona ni kwamba inabidi aende kwenye mikutano ya kimataifa inayohusu afya: nchi ambayo wananchi wake afya zao zadorora ni hatari sana.

Work perfomance imepungua sana TZ angalia kina mama kule vijijini zamani wakiwa na wakunga wanaelimishana kuhusu uzazi wa mpango leo hii wakunga kule shinyanga wanuawa kama wachawi. Nao wanataka kuishi ati inabidi ajiuzulu ukunga.

Uhakika wa madawa hospitalini ya BURE mpango huo umeshakufa kwa kuwa population ya kufanya kazi na kulipa kodi kwa ajili ya kuagiza madawa na pia dawa nyingine kupitwa na wakati hivyo kubaki kuagiza madawa nje kwa sababu za insurficient teknology; mfano mzuri angalia hata zile za malaria (MSETO) nazo zimetoweka hivi hivi- hapa nako kuna ufisadi mkubwa wa kutengeneza dawa feki) nayo imepungua na badala yake leo hii tunashuhudia jinsi hesabu za fedha zinavyoenda kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ufisadi zaidi kwenye mambo kama vile kugharamia multipartism, DOWANS, kuhudumia watoto na kina mama na wote wale vulnerable in HIV.

Pia inabidi aende kwani asiyejua ni nani kuwa life span ya mtazania ni 45 years old wanaume na wanawake ni 48 years? (WHO, 2005). Kwa hiyo ni mambo yanayohitaji hicho kichwa.
 
Mh. Raisi Jakaya M Kikwete akifika Addis Ababa, Ethiopia atakuwa na ajenda moja ya kusaidia viongozi wa Kenya wanaotuhumiwa kushiriki ktk machafuko ya kisiasa Kenya wasifikishwe ktk Mahakama ya The Hague, soma hapa chini serikali ya Kenya inavyojigamba kukamilisha zoezi la kuishawishi Tanzania dhini ya mwendesha mashitaka wa mahakama ya The Hague, Bwana Ocampo:

Tanzania support Kenya's bid to defer case against the Ocampo Six :
Nairobi, Kenya 22 January 2011

Kenya's request for the deferral has so far received indications of a positive support from several African countries including Burundi, Djibouti, Ethiopia, Malawi, Zambia, South Africa, Tanzania, Uganda and the AU.


Mr Kalonzo is one of three ministers who have been on a mission to get the support of African countries to support Kenya's request.


The others are Trade minister Chirau Mwakwere and Nairobi Metropolitan Development minister Njeru Githae. On Tuesday, Mr Mwakwere met Zambian President Rupiah Banda and was scheduled to move on to Botswana, Zimbabwe and Lesotho. Mr Githae has visited Burundi, Djibouti and Tanzania on a similar mission (see photo below and full story).

Read full story on this link: Daily Nation:*- Politics*|AU and Ethiopia endorse Kenya

Below are the photos:


GO9G8484.JPG

Mjumbe maalum wa Rais Mwai Kibaki wa Kenya, Mhe.Robinson Njeru Githae akimkabidhi RaisDr.Jakaya Mrisho Kikwete ujumbe kutoka kwa Rais Kibaki ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana 14/01.2011.Bwana Githae ambaye pia ni Waziri wa Maendeleo ya jiji la Nairobi aliambatana na maofisa waandamizi kutoka ubalozi wa Kenya nchini Tanzania. Picha na mdau Freddy Maro wa IKULU DSM.

​
 
oyaaa duh jamaa ndio anaanza masafari na ng'we hii ya mwisho watamkoma. atakwenda mpaka north pole
 
Jiulizeni nyinyi mnasafiri mara ngapi kwa ajili ya kazi zenu tu?

Mimi naona mnatoa sababu za kitoto sana ..kusafiri ulitaka aende nani?
 
ana talii wakati Mambo yanazidi kuharibika nyumbani,le mfuko wa sukari kg 50 ni sh75 000 bei ya jumla kutoka sh 35000 mwaka 2000
 
Sasa nchi kaachiwa Riz one or? Manake Urais wa TZ ni swala la kifamilia...😛izza:😛izza:
 
Tukuulize wewe kwamba ukoje? Hivi nyie mnadhani Rais ni kukaa tu nyumbani? Kama ni hivyo basi hata Rais Ben Ali angekuwa Rais bora au Mugabe. issue hapa siyo kusafiri maana hata baba wa Taifa enzi zake alisafiri sana, na hivyo hivyo mzee Ruksa na hata mzee Mkapa. Hiyo ni sehemu ya kazi za Rais na ndiyo maana hata marais wa nchi zilizoendelea kama China wanafanya ziara za dunia nzima na huko kote ni kuitangaza agenda ya nchi yako! Malalamiko mengine tunayazidisha na inaonekana sasa mzee huyu hata afanye zuri namna gani haonekani! Hiyo sasa CHUKI BINAFSI!

Tatizo sio kusafiri ila kusafirisafiri kusiko na tija
 
Safari ni muhimu kwa manufaa ya nchi yetu kimaendeleo...muwe na subira mtaona matunda yake

Tumeshasubiri vya kutosha!! Badala yake mambo yanazidi kuwa magumu!! How long are we supposed to wait?? We are TIRED!!
 
Back
Top Bottom