Safari za Kikwete zazaa matunda...

Zomba ni janga na laaana kubwa hapa JF phew!!!!!!!

Ukweli huwa mchungu, lakini nna uhakika unajifunza mengi mema kutoka kwangu. Na hutaki kuamini ndio maana una chuki binafsi. Hivyo ndivyo ilivyo.

Usinichukie na kunilaani, tulumbane kwa hoja. Mimi nakutakia kila la kheri na roho mbaya ikutoke na uwe msikivu utajifunza mengi sana kuliko ukijifunga kwa kujiona basi ndio unajuwa kila kitu. Una mengi ya kujifunza kutoka kwangu. Stahamili upanue kujuwa kwako.
 
[BWewe nyamaza Ujui USA waalimu wengi mamepumzishwa kazi? kwa taharifa yako waalimu wapatao 50,000 wa secondari wako ubaoni alafu kila mwaka vyuo vina tema more than 100,000, uku awana kazi ndiyo mana serekali ya USA wanatafuta kwa kuwapeleka, ujui kama TZ wanawalipa ao walimu? na Pesa zao zinakatwa kwy account ya missada ya nje. then kwa kutojua kwetu kingereza itawawia vigumu vijana kuelewa awo jamaa kwani wanaongea American Engilish.
Mimi nakumbuka tulivyo kuwa High school kunawalimu walikuwa wanatoka Ujerumani kuja kutufundisha ilikuwa ngumu kuwaelewa kwa sababubu ya lugha.[/B]
 
Napita manzese yani mpaka raha naona shell ya mafuta ya lake oil eti ni ya ridhiwan jamani nzuri kweli hili nimeambiwa imejengwa eneo maalum kwa soko la machinga manzese........

CHAMA
SENGEREMA

ha ha ha haaa! Sio chama sengerema ni hivi

chama
gongo la mboto.
 
PEACE CORPS mbona wapo toka wakati wa President Nyerere na Kennedy
Walikuwepo kabla ya Nyerere na Keneddy au hulijui hilo?
zomba, usichokijua ni kama usiku wa giza...Peace corps wa kimarekani wameanza kuja Tanzania toka mwaka 1962. FYI naomba nikupe hii quote kutoka ubalozi wa Marekani Tanzania mwaka 2009!
Kuhusu Marekani...baniani mbaya lakini kiatu chake dawa! Duh, naona sifa zinatafutwa hadi uvunguni mradi tu na dhaifu naye aonekane yupo.
 
Bila shaka atatutangazia kwenye hotuba yake za mwisho wa mwezi huu. Na huenda akaandaa sherehe za kuwakaribisha.

Hongera Mzee!!
 
walikuwepo kabla ya nyerere na keneddy au hulijui hilo?
kama isingekuwa nyerere kutaifisha shule za wakristo sijui kuandika mgejifunzia wapi?marekani analeta walimu wa it kuchunguza uamsho na uhusiano wao na alshabab na ccm maana makanzu yamezidi ikulu na ndio mwisho wake 2015 iwe chadema au ccm sasa mrudi madrasa siasa hamziwezi
 
kama isingekuwa nyerere kutaifisha shule za wakristo sijui kuandika mgejifunzia wapi?marekani analeta walimu wa it kuchunguza uamsho na uhusiano wao na alshabab na ccm maana makanzu yamezidi ikulu na ndio mwisho wake 2015 iwe chadema au ccm sasa mrudi madrasa siasa hamziwezi
 

Naona umekurupuka na kurukia mada bila kupitia kuisoma. ungekuta jibu ya hilo swali lako.

Waalimu walikuwepo wa mataifa mengi walikuwepo kabla ya Nyerere na Kennedy na wa Kimerekani walikuwepo Tanzania kabla ya Nyerere na Kennedy. Nyerere mwenyewe alikuwa na Mwalimu wa Kimerekani, Kennedy alijulikana wakati huo?
 
​uamsho at work? KWI KWI KWI HA HA HAA KAVAE BOVU ALAFU KAJILIPULIE KWENYE MKUTANO WA CHADEMA WAFE WATU WENGI UENDE MBINGUNI MAANA WANAUAMSHO MNA IMANI HIZO HA HA HA
 

Hawa volunteers wamekuwa wakiwa Tanzania ...tangu Enzi za uhuru...
 
True!halafu pia haya hayakustahili safari,ama kifupi safari siyo justifiable kwa vigezo alivyoleta mtoa hoja.

Yani safari zote hizo ukiona haya ndo matunda basi ujuwe hakuna justifications za safari...kumbe ni kweli jamaa alikuwa anatalii tu.
 
duh! Zamani ilikuwa ni 83 vs 17 sasa sasahivi itakuwa ni 96 vs 4, tafakari chukua hatua!

Chama
Ikwiriri.
 

Hayo makanzu yanazidi kwao kwa kasi zaidi kuliko dunia nzima, wengi wao wanaona ukweli uko wapi.

Hata Pengi anavaa kanzu, zisikutishe sana hizo.
 
Zomba usipende kusifia kila kitu anacho fanya JK Tafakali kwanza Isije siku moja ukasikia hawa walimu ni watafiti wa madini au wanazalisha mikanda ya Ngono na Dada zetu maana tumeshuhudia wazungu wengi walikuja kama viongozi wa dini lakini mwisho wa siku wamefanya kinyume na walicho ijia,
 
Bahati mbaya ni kwamba Tanzania haikuwepo! Colorless green ideas sleep furiously! Nevertheless zomba, you are doing just fine!
 
watafundisha kwenye shule za kata pia? na kwa kiingereza ama ? huo n mtazamo wangu tu...
 
Zomba,

..utaratibu wa waalimu toka USA ulikuwepo tangu zamani.

..tulitakiwa kuboresha mafao na mazingira ya ufundishaji ya waalimu wetu.

..mnajisifia kuleta waalimu 47 wakati kuna maelfu ya waalimu wazalendo waliokata tamaa.
 
Bahati mbaya ni kwamba Tanzania haikuwepo! Colorless green ideas sleep furiously! zomba, you are doing just fine!

Naona umejaribu tena kuchakachuwa kama kawaida yako. Hukuona niliposema Nyerere alikuwa na Mwalimu wa kiMerekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…