Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,257
- 23,039
Wazo lako la uzi ni zuri lkn...muendelezo ni mbovu sana.Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.
Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.
Tumefika sehemu Morog kufukia dawa.na stand ya Morog tumefika saa 3 kamili Asub ( je ni sawa au dereva kaendesha taratibu sana nimshtaki kwa jamaa zangu ambao ni matraffic?)
Nmekaa na jamaa nlisahau kuweka order ya kuwekewa mrembo pembeni yangu. Hii wakati flani inabidi utoe na bakshishi ya tsh 5000 kwa mkataji ticket na umpe vigezo unavyotaka maana azawaizi unaweza kuta amekuwekea bibi mmoja anavuta ugoro mwanzo wa safari hadi mwisho na kupiga chafya.
Wazo lako la uzi ni zuri lkn...muendelezo ni mbovu sana.
Ngumi ya utosi hii,Kaa pembeni siandiki unachotaka wewe.naandika nachotaka mimi.anzisha wako na muendelezo uutakao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.Hapo katikati ulilala nini maana umeruka maeneo mengi sana yenye vivutio kama Daraja la Ruvu, Mizani ya Vigwaza, Chalinze na Mizani ya Mikese
Jamaa ana ujuaji wa kishamba. Vinabo kama hao huwa si tunawapa nakoz za utosi tu.Ngumi ya utosi hii,
Hapa mwana umeniacha...Unatoa Lock na KV nini?????
Ulichokiongea hakina mbele Wala nyuma yaan upo upo tu Kama zuzu hviSafari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.
Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.
Tumefika sehemu Morog kufukia dawa.na stand ya Morog tumefika saa 3 kamili Asub ( je ni sawa au dereva kaendesha taratibu sana nimshtaki kwa jamaa zangu ambao ni matraffic?)
Nmekaa na jamaa nlisahau kuweka order ya kuwekewa mrembo pembeni yangu. Hii wakati flani inabidi utoe na bakshishi ya tsh 5000 kwa mkataji ticket na umpe vigezo unavyotaka maana azawaizi unaweza kuta amekuwekea bibi mmoja anavuta ugoro mwanzo wa safari hadi mwisho na kupiga chafya.
Kuna bus jingine la Allys Star linatu overtake. Hii huwa ina kera. Dereva akiendelea hivi naweza waambia traffic kuwa anaendesha mwendo wa kinyonga.
Kati ya Higer na Golden Dragon ipi inakimbia sana?
Dah inabidi usinywe Kitoko kabla ya safari unaweza kujikuta umepanda basi la kurudi Dar la kampuni tofautiNlilala...nmekuja shtuka watu wanatakiwa kwenda fukia dawa. Nikashuka kasi sana maana nlikuwa bado nina usingizi then nilipofika nje nikawa sielewi elewi.usingizi ulipoisha nikaona watoto wakali wengi pia wanaelekea bua Sauli. Nikawafuata kufika mlangoni ndo akili ikarudi kuwa naenda wapi tena.
Unakoelekea huu uz ni watu kugombana mana mwanzilish mwnyw ni kauzuHuu uzi n subscribe kabisa.