Safari yangu ya kumuona Maxence, nimejifunza mengi gerezani

Tuko pamoja, Niko safarini ila Mungu mkubwa na ukuu wake haupimiki. Tutakua huru
 
Hongera sisi wa mikoani tupo pamoja sana [HASHTAG]#FREEMAXENCEMELLO[/HASHTAG]
 
Mimi pia nimepata nafasi ya kumuona swahiba wangu Melo leo hii.

At least gereza la Keko hali siyo mbaya kuliko segerea, keko unapata nafasi ya kuongea na mahubusu face to face ikibidi zaidi mnaongea wawili tu.

Tupo pamoja na mkuu wetu wa JF.
Safi sana. Big up bro Ritz
 
Ukiona mtu ametupiwa mahabusu au kahukumiwa kwa njia zozote ziwe za figisu au halali, ujue yupo salama, watu ambao hutoweka ktk mazingira ya sintofahamu, hao ndio wapo ktk hatari kubwa huko walipo au pengine wameshafikwa na umauti. Kiongozi Maxence yupo sehemu salama.
 
Shukrani sana Mkuu kujifunza kwako ni kujifunza kwetu. Asante kwa kufahamu yanayojiri kwa Maxence wetu na gerezani Keko. Katika imani yangu leo umefanya moja ya tunayoyaita matendo ya huruma.
 
Asante Sana ndugu yetu kwa kutuwakilisha vyema hapo., Mungu awabariki wote walioenda na kumjulia hali, PIA nashukuru kusikia Ni mzima WA afya,Mungu Bariki Tanzania
 
nashukur sana, mlioenda mme2wakilsha vema wa mikoan. m nko mkoa wa songwe. nlitaka kujua kuhus familia ya melo, kama ana mke na watoto? hamna hata mfuko wa wakuchangia familia kwa kpnd hik kgum. mods hebu lishughulikie hili mana 2meguswa sana wengne. JAMII F N KUBWA JAMAN, ZAID YA MEMBER 36000 naamin 2naweza fanya jambo zuri kwa familia
 
Mkuu usiongee hilo la keko ni bora kuliko segerea mtukufu na watu wake wanakesha humu kupitia mabandiko yetu usishangae ukasikia CEO amehamishiwa gereza ili watwawala wapate furaha zaid wakisikia Melo yuko segerea badala ya keko baada ya ww kuweka bandiko hili. mambo yanaenda hobela hobela tu zama hizi yaan
 
Back
Top Bottom