TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,466
- 3,456
Wapoje mkuuKuishi na wameru inahitaji moyo labda use kabila lao
Wapoje mkuuKuishi na wameru inahitaji moyo labda use kabila lao
Toa location (ramani ya kufika)Mkuu ungepita na The Hub sehemu ya kistaarabu yenye vibe Kama lote kwa sasa Arusha, ni sehemu ya watu na pesa zao sema sungusungu (wanawake wa escorts) wapo ila lazima uwe mwenyeji na cha msingi ni vizuri ukienda nenda na mkeo Kama tunavyofanya sisi.Arusha is my city
Vile nikipewa uteuzi na mama katika huo mji vitakuwa vya kwanza kuvifuta kabisa safari za mjini.Umesahau vile vipanya vyao
Hahahaha pale baracuda nilianzia kupiga vitu nikiwa palace Hotel kwa usiku mmoja.Tukogo toka enzi za baracuda
Hapana mkuu.. Arachuga ni hatari.. pia zingatia population yao na ukubwa wa jiji hata upatikanaji wa hizo bidhaa.Hapo number 2 hajafanya research me kama mkazi wa kasikazini moshi ndo wanaongoza Tanzania nzima
Tatizo hata hizo Costa chache zilizoanza kupiga ruti mjini madereva wake wamezidisha bangi, nidhamu kidogo kama wanavyofanya ruti za moshiVile nikipewa uteuzi na mama katika huo mji vitakuwa vya kwanza kuvifuta kabisa safari za mjini.
Labda vitumike kubeba wanafunzi tu,tena wakiwa katika unifomu zao.
Nipe location ya hapo mkuuMkuu ungepita na The Hub sehemu ya kistaarabu yenye vibe Kama lote kwa sasa Arusha, ni sehemu ya watu na pesa zao sema sungusungu (wanawake wa escorts) wapo ila lazima uwe mwenyeji na cha msingi ni vizuri ukienda nenda na mkeo Kama tunavyofanya sisi.Arusha is my city
Ulizia demu yeyote Malaya hapo kuwa mwarabu Yuko wapi.Tatizo meno yao bana.. hivi hakuna namna wakasaidiwa kupunguza ama kuondoa kabisa hilo tatizo.
Sijamuona mkuu huyu mwarabu.
Baridi ipo lakin jamaa wamezidi uoga wa baridi.
Yechu yechu bablai.Arusha ni nchi kamili ni USA ya EA swaga ni bongo Arusha ni old school shati ni kubwa na kiatu ni ya kucheba
Si uoga wa wa baridi..Nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka nyanda za juu kusini na kuja ukanda huu wa kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.
2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.
3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.
4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.
5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.
6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.
7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?
Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.
8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.
Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.
Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.
Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.
Fantastic stay in your city.
Karibuni pia kwa wanalizombe.
Hapo kwa madereva wa daladala kwakweli ni kero kubwa mno.. Anaweza simama hata katikati ya barabara kupakia abiria.. Watumiaji wengine wa barabara inabidi msubiri. Vituo vya kupakilia abiria havizingatiwi hata kidogo,Nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka nyanda za juu kusini na kuja ukanda huu wa kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.
2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.
3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.
4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.
5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.
6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.
7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?
Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.
8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.
Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.
Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.
Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.
Fantastic stay in your city.
Karibuni pia kwa wanalizombe.
Kuomba omba na udokozi.. Vijana walevi, kazi hawatakiUmesahahu wameru wanapenda udananda Sana
Kuomba bia hawaoni haya
hamna kitu umeelewa apo Chalo yangu"asee chalii yake si ni nimembutua deree, kila nikimmanya anaongea nfa nfa nfa, nikaona huyu ni nte"
Huyu mjinga alikuwa ananiambia hizi stori mtaani kwao hapo Esso, hata sikuelewa yaan
Hahaha inaitwa "kutoboa bomba" akipiga stata Kama uko hapo karibu unaeza anguka na presha. Machali bhana wanafeligi sanaAisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.
pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo
Nipo kijenge ,mwanama
Kiukweli masuka wa hapa, wakitupia majani yao barabarani wako vizuri hukuti ajali hovyo hovyo barabaraniTatizo hata hizo Costa chache zilizoanza kupiga ruti mjini madereva wake wamezidisha bangi, nidhamu kidogo kama wanavyofanya ruti za moshi
Haaaaa halaf ni kawaida sana kukuta mtu na mpenziwe wakiongea hizo lugha, zile lugha za malovee kama wengine huko hamna"asee chalii yake si ni nimembutua deree, kila nikimmanya anaongea nfa nfa nfa, nikaona huyu ni nte"
Huyu mjinga alikuwa ananiambia hizi stori mtaani kwao hapo Esso, hata sikuelewa yaan
Dah umenikumbusha mwanama aisee nilikaa kidogo sana hapo time naingia chuga nikiwa na swaga zangu za kibongo.Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.
pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo
Nipo kijenge ,mwanama