Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.
Aisee hapo kwenye boda boda umenikumbusha kitu ,madereva wa huku wanafujo sana toyo zao kwanza wametoa taa zake then wanaweka vile vitaa vidogo lkn mwanga wake mkali zinaumiza macho.

pili Toyo zao wanazifanyaje sijui zinatoa milio kama wa risasi mkali sana kama unamatatizo ya moyo ni hatari kwako ,na hio tabia karibu toyo zote nilizo kutana nazo

Nipo kijenge ,mwanama
 
No. 3 Si kweli kabisa.
Asilimia kubwa ya waendesha magari wanatii sheria vizuri. Isipokuwa Asilimia kubwa ya waendesha bodaboda ndio ovyo na hii ni kawaida kwa mikoa yote.

Karibu tena chuga!
Asante mkuu.. ngoja nichanje mbao lazima nirudi haraka sana.
 
Mana iyo ndo arusha.unakuta MTT wa kimbulu ama wa kichaga mweupe pee yaani lile paja likikumulika na weupe ule amazing mpaka mshindo unataka kutoka kabla hujaingiza.
Mwarabu huyo anayejiuza hapo maeneo ya mrina ulimpata kweli.
Yaani Arusha bana na baridi lile
Tatizo meno yao bana.. hivi hakuna namna wakasaidiwa kupunguza ama kuondoa kabisa hilo tatizo.

Sijamuona mkuu huyu mwarabu.

Baridi ipo lakin jamaa wamezidi uoga wa baridi.
 
Mkuu ungepita na The Hub sehemu ya kistaarabu yenye vibe Kama lote kwa sasa Arusha, ni sehemu ya watu na pesa zao sema sungusungu (wanawake wa escorts) wapo ila lazima uwe mwenyeji na cha msingi ni vizuri ukienda nenda na mkeo Kama tunavyofanya sisi.Arusha is my city
Next time bro.
 
Kuna mahali tulienda kuagiza maeneo ya uzunguni sijui nzuguni hiyo sehemu kwa nje very immediate tukakuta choo cha shimo na sehemu zile za kukanyagia miguu mtu ajisaiapo choo cha kienyeji.

Tulishalipa hela kidogo tuliagiza kikasema kiandaliwe tutarudi baada ya nusu saa kula,

Aisee nilipoona kile choo nilikosa amani nikahisi kichefuchefu.

Nikamwambia mwenzangu sirudi kuja kula hapa hata kwa fimbo.
Hygiene yao ni mashaka matupu.

Ikabidi arudi awaambie tumepata dharura tuna cancel order yetu.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee.

Ilikuwa ni furaha kutoka nyanda za juu kusini na kuja ukanda huu wa kaskazini mwa Tanzania.

Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.

Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.

1. Covid 19 imeutesa sana huu mji. Mishe zilizotegemea utalii zilikumbwa na pigo kama lile la afande moroto. Ingawa hali kama inarejea.

2. Ulaji nyama na unywaji wa pombe hufanyika kwa kiasi kikubwa mnoo. Si dhani kama kuna mkoa unawazidi hawa jamaa.

3. Utii wa sheria kwa watumiaji wa vyombo vya moto ni kama haiwahusu. Madereva wapo rafu mnoo. Watu pekee wanaojitahidi ni toyo/boda ingawa ni wapo wahuni wachache.

Uendeshaji magari ni tatizo katika hili jiji. Trafiki inabidi wafanye kazi ikiwa ni pamoja na kuchora upya namna ya matumizi ya barabara.

4. Watembea kwa miguu hawa ndiyo viburi waliopitiliza. Wanajiona nao ni kama magari/pikipiki.

5. Tabia za kibepari ni nyingi mno kuliko ujamaa. Wepesi pia kupeana michongo, wanaamini nao wanaweza tokea humo.

6. Bei za milupo nadhani bado bei elekezi inafanya kazi. Ila ukiwa mgeni unaweza pewa bill kubwa. Kuwa makini, wengine bado ni wezi hawaheshimu kazi zao.

7. Changamoto katika meno ya hawa watu ni shida. Demu mkali unakuta meno yameharibika, rangi zilizopitiliza. Sijajua chanzo hasa ni nini, je ni maji wanayotumia ama ulaji nyama uliopitiliza?

Iweje mamlaka ya maji safi wanashindwa kulitatua hili,wala madaktari wetu pia wameshindwa.
Hata kama linawapa identity bado ni mbaya pale inapodhidi,ingawa inaleta urembo kwa wengine.

8. Jamaa ni waoga sana wa baridi.

Asanteni Ara Chuga, masela wa Njiro, Moshono, Chekeleni, Ngaramtoni, Unga Limited, Sakina, Morombo, Ngarenaro, Makao Mapya hata wale nilio wasahau.

Vijiwe vyenu nilivyopita ni The Don, Mopao, Kokoriko, Uzunguni, Bills River, Picnic, Empire, Annex, Redwood.

Hakika zimekuwa siku 8 za purukushani nyingi na muda mchache wa kulala.

Fantastic stay in your city.

Karibuni pia kwa wanalizombe.

Umesahau vile vipanya vyao
 
Arusha kuna maneno ya ajabu ajabu sana, kwerekweche, yedede yedede, na mengine ambayo hata maana yake haijulikani.

Miaka ya nyuma sana nimewahi kukaa Arusha, nilikua na project nafanya vijijini huko Meru mlimani huko west Meru, Nkoanduaa, Ambureni, Shangalai, User River, Kikatiti, Maji ya Chai, Duluti, huku Chini Nelson Mandela University na maeneo ya jirani. Muda mwingi nilikua nashinda huko ingawa nilikua naishi mjini hotelini kwa miezi 6.

Wameru wana huruma sana, ukipanda mlima unakutana na wamama wanakupa pole tu, pole babaangu, Ode.

Nimemis maisha ya Arusha
 
Back
Top Bottom