Safari ya South Africa ndio nimeanza

Safari ya South Africa ndio nimeanza

Mkuu sipendi nikukatishe tamaa, lakini kama maisha ya Tanzania yamekushinda, basi ku-win nje ya nchi ni kazi sana! i am talking with experience ndugu, kikubwa nenda ukijua sio rahisi sana, upambane sana
Usimuongopee mwenzio
 
Nasikia Gaborone hela nje nje mkuu...

Sema huyu rais ana ubaguzi na wageni

Na Kazi nje nje eti kweli?
Mmmmhhh....mkuu hapa kupata mchongo ni ngumu sana na polis ni wakali kweli kwa wageni mzeee
 
Shibekijijini nyoko sana yaani unaingia hapa lakini hutaki kutupa mrejesho? Nyoko sana!!
 
Duh ila haya Maisha ya dunia wkt mwngine kujilipua tu akili,no matter what may happen (no pain no gain),ktk watu kadhaa niliyowajua wamefanikiw wamejilipua kw mambo kadhaa ktk harakti zao za Marsha.
Ukweli maisha ya nchini mwetu kama haukuzaliwa katika familia za wanasiasa ni vigumu sana kutoka. Mfano South Africa, ukiwa carpenter tu basi tayari ushatoka kimaisha. Huwa kuna carpenter mmoja raia wa Zimbabwe kwa kweli anazipiga sana. Angalia watu wote mashuhuri au majina yanayotamba nchini mwetu yote ni wanasiasa. Mfano Nape Nhauye,huyu nilianza kusoma historia ya baba yake bado niko primary school. Mbaya zaidi kwa sasa nchini kwetu hakuna demokrasia tena kwa muda mfupi tu wa awamu ya tano.
 
Ifike mahali watanzania wawe kama jirani zetu wakenya, waganda na wazambia. Wapo nchi nyingi afrika na mabari mengine wakifanya kazi halali kwa weledi na zenye maslahi kuanzia hotelini, viwandani, mashuleni n.k. export of labor ni jambo zuri na linalokuza uchumi wa nchi kwa remittance. Watanzania wenye vyeti wanapaswa kujiamini na kufuata taratibu kupata kazi nje ya nchi.
Hakika ndugu, tatizo hatutaki kuishi kihalali kwenye nchi za wezetu.
 
Vema ukajaribu bal tupatie short report baada ya safari yako, ukisha kaa kwa muda then baada ya hapo binafsi nitaku na mengi ya kuchangia kwa kua binafsi sio muumin wa wale wanaotoka nchini kwenda kujaribu life sehemu nyingine, tukutakie safari njema





















Ndugu zanguni,

Wiki mbili zilizo pita nilileta uzi kuhusu;
South Africa nitafikaje?

Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.

Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Nitawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata kama ni kuosha vyombo hotelni.

Mbar
 
Tatizo wengi tunaingia hizi nchi pasipo plan B. Botswana ni pazuri kutafutia maisha kuliko South Africa hasa katika majiji yake makubwa, wewe kama ni mwanaume hebu tafuta mwanamke oa, huyohuyo atakutafutia kazi.
Hahahhhhh........mkuu
 
Dah... Sauz sikushauri.... hasa kama huna ujuzi wowote... wasio na ajira wengi ni wahalifu... nilipokea simu siku moja nikiwa Joberg... nikazungumza kiswahili.... ghafla nikavamiwa na vijana 6 watz chokambaya wakaomba "niwatoe" nikakana utanzania hapohapo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kuna Watanzania wengi tu matajiri ila wengi kati yao waliotajirika tayari wameshaukana uraia wa Tanzania baada ya kuoa Wasouth. Ila wote niliowatembelea nima drug dealer wazuri tu na wengi wako Durban (ndiko nilikowakuta) na mmoja wao mwenyeji wa kanda ya ziwa nilimkuta bado anahudhuria kesi baada ya kukamatwa akisambaza cocaine katika jiji la Cape. Nilipata taarifa ashahukumiwa kifungo na sikurudi tena kuwasalimia.
Dah.... 99% ya watz waliofanikiwa Sauz ni wauza Ngada... au ni wafaidika wa biashara ya ngada kwa njia moja au nyingine... Kuna mtz mmoja nilikutana kule... amefanikiwa sana kiuwekezaji.. nilimuuliza kwanini asiwekeze Tz... Alichonijibu sikumuelewa.... Nilikuja kuelewa siku alipodakwa huko Lindi na Ngada.... Yuko Lupango na kule watu wanajigongea mke wake mkenya kama hawana akili nzuri[emoji13] [emoji13]
 
Tatizo tumekremisha nchi za kwenda wote tunataka twende sauzi,wakati kuna nchi kibao zenye fursa nzuri kama moroco,mauritius,sychelles na kwengineko watu wanangangania sauzi tu.
Naomba kama kuna mtanzania alieko nchi nlizotaja atupe habari za huko
 
Back
Top Bottom