Safari ya South Africa ndio nimeanza

Safari ya South Africa ndio nimeanza

Nasikia Gaborone hela nje nje mkuu...

Sema huyu rais ana ubaguzi na wageni

Na Kazi nje nje eti kweli?
Dah... Siyo ubaguzi... Sema uzalendo... Ingekuwa poa sana na Rais wetu akawa hivyo[emoji13] [emoji13]
 
Mkuu ukiwa mwanamke inakuwaje sasa?

Hata sisi wanawake tunataka kutoka jamani..
Dah.... Utoke uende Wapi? Bongo mbona fursa kibao... Mnalala hadi kila kitu wanafanya wachina.... Unaweza kufanya kazi halal nje ya nchi na ukafanikiwa sana...Lakini ni risk mno... Kosa dogo linaweza kukurudisha nyuma miaka10...waulize wanaotoka msumbiji [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Mliokwenda South HV huko hakuna wabongo waliotusua,I mean wana kazi nzuri?maana sioni ushuhuda wao zaidi ya ushuhuda wa wabangaizaji na wauza ngada
Wapo wengi sana ndugu yangu kuna Bankers,wengine wapo kwenye makampuni ya simu kama MTN...wengine ni wamiliki wa malori ya Mizigo...na wajasiriamali wadogo wadogo kama mimi kwa kifupi ni kujituma na kufanya savings na kuwa na nidhamu ya pesa unatoboa.
 
Mkuu ukiwa mwanamke inakuwaje sasa?

Hata sisi wanawake tunataka kutoka jamani..
Ni kweli dada ila elewa mwanaume kimaumbile anaweza kuhimili misukosuko kuliko mwanamke. Mie nakuunga mkono kabisa kujaribu lakini uwe tayari na source fulani ya kufikia. Siku ukifika Botswana mambo yakiwa magumu utanijulisha ukajifiche kwa wifi yako. Ila kitu kimoja kwa faida ya wengi ni kuwa; hebu chukua mafunzo mafupi hasa katika nyaja ya upishi au salon. Hizi position utafurahia maisha ya Motswana hadi siku unapata shemeji.
 
Dah.... 99% ya watz waliofanikiwa Sauz ni wauza Ngada... au ni wafaidika wa biashara ya ngada kwa njia moja au nyingine... Kuna mtz mmoja nilikutana kule... amefanikiwa sana kiuwekezaji.. nilimuuliza kwanini asiwekeze Tz... Alichonijibu sikumuelewa.... Nilikuja kuelewa siku alipodakwa huko Lindi na Ngada.... Yuko Lupango na kule watu wanajigongea mke wake mkenya kama hawana akili nzuri[emoji13] [emoji13]
Ukiwaza kugongewa basi utakaa na msongo Sana wa mawazo. Mimi mwenyewe nina mke na watoto na route ni kila mwezi.
 
Naona jamaa kadakwa na migration aisee coz sioni feedback amefika wapi?
 
Ukiwaza kugongewa basi utakaa na msongo Sana wa mawazo. Mimi mwenyewe nina mke na watoto na route ni kila mwezi.
Dah... Sasa jamaa alidakwa na mchepuko...wote wako ndani... Sasa mkenya ndiyo anagongesha kwa hasira uraiani[emoji13]
 
Tr 11 Feb 2017 ulileta Uzi " south Africa nitafikaje!?", tr 16 Feb 2017 unaleta Uzi kuwa " nimeanza safari" then unatuambia " wiki 2 zilizopita nilileta Uzi south Africa nitafikaje!?" Siku 5 unasema wiki 2!?! AMA KWELI UKIWA MUONGO!, UWE NA KUMBUKUMBU PIA!.....!
 
Hahahaaa Ungaunga Kula Gwara.Anakwambia Hivi,"NIMESHANUNUA LAINI YA MTN,YA KUTUMIA SOUTH AFRICA,(WAKATI HUO HAJAFIKA HARARE,WAKATI MTN IPO ZAMBIA,ZIM HAKUNA MTN KISHA NDIO SOUTH AFRICA WANAYO)SASA LAIN YA NINI NA NCHI HUSIKA AJAFIKA?NAKULA TU POPCORN.
 
Kuwa muongo anapaswa oblangata yake iwe na think tank kubwa ya kumbukumbu zaidi ya sever za Google.....!
 
Hahahaaa Ungaunga Kula Gwara.Anakwambia Hivi,"NIMESHANUNUA LAINI YA MTN,YA KUTUMIA SOUTH AFRICA,(WAKATI HUO HAJAFIKA HARARE,WAKATI MTN IPO ZAMBIA,ZIM HAKUNA MTN KISHA NDIO SOUTH AFRICA WANAYO)SASA LAIN YA NINI NA NCHI HUSIKA AJAFIKA?NAKULA TU POPCORN.
Jamaa miyeyusho huyu....
Hakumbuk taarifa alzotoa previously
 
Ndugu zanguni,

Wiki mbili zilizo pita nilileta uzi kuhusu;
https://www.jamiiforums.com/threads/south-africa-nitafikaje.1198997/
South Africa nitafikaje?

Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.

Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Nitawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata kama ni kuosha vyombo hotelni.

Mbarikiwe sana
Nsubiriiiii twende wote…
 
Shibekijijini nyoko sana yaani unaingia hapa lakini hutaki kutupa mrejesho? Nyoko sana!!
Mh, lugha gani hii! "nyoko sana"! si ni tusi kubwa kabisa hili, sawasawa na kumtukana mtu "..manina"?
Hauna kauli ama sentensi isiyo na ukakasi kwenye hadhira hii ya watu wa kila rika waliostaarabika?
 
Tatizo wengi tunaingia hizi nchi pasipo plan B. Botswana ni pazuri kutafutia maisha kuliko South Africa hasa katika majiji yake makubwa, wewe kama ni mwanaume hebu tafuta mwanamke oa, huyohuyo atakutafutia kazi.
Tumefikia patamu hapa. Ndg yangu hebu nipe hiyo "hint" ya namna ya kutafutiwa kazi na mkeo!
Maana sikufichi, sijawahi kuisikia popote na uzee wangu huu.
 
Sakasaka Mao usihofu,, hiyo ndo salamu kule kwetu Sakasaka MEATU, onyw'anokho! Ha ha haaaaa! Tunataniana tu mkuu wala simaanishi unayotaka kuaminisha umma!
 
Ndugu zanguni,

Wiki mbili zilizo pita nilileta uzi kuhusu;
https://www.jamiiforums.com/threads/south-africa-nitafikaje.1198997/
South Africa nitafikaje?

Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.

Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Nitawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata kama ni kuosha vyombo hotelni.

Mbarikiwe sana

Pole sana mkuu, Bila shaka utakuwa ulidakwa na Migration na Uko Sero.
 
Back
Top Bottom