Safari ya South Africa ndio nimeanza

Safari ya South Africa ndio nimeanza

Tunataka watu wenye uthubutu km ninyi, sio mtu anakuja humu na uthubutu wa kutembea na mke wa mtu, Hawa ndo wa kutekwa
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] , unataka useme labda kaenda MKURANGA

Yuko mbande anachimba kokoto hana lolote hajui kua sisi hzo njia tumepita ka kutoka kawe mbagala kila kituo tunakijua
 
Jinsi alivoanza stori ake sisi tulioenda kwa barabara tukajua n gahawa tu alikua anamix mambo meng sana tukastuka
Hata sisi wazee wa Katembe-tembea via Manguzi ambao tumegonga kurasa 46 na sasa tupo kurasa ya12 tulianza kufuatilia kimya kimya.... mwishoni kumbe ni tango lisilolimwa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hata sisi wazee wa Katembe-tembea via Manguzi ambao tumegonga kurasa 46 na sasa tupo kurasa ya12 tulianza kufuatilia kimya kimya.... mwishoni kumbe ni tango lisilolimwa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wakubwa jinga et oh kathubutu sijui blah blah kibao tukajua mwisho wake utafika na ukafika sasa hiv anasoma hiz kimya kimya
 
Ha ha ha ha..... Shibekijijini ni jmaa yangu kitambo sana nakumbuka shule tulikuwa tunamwita msouth sabab alikuwa anapenda sana kusema maisha yapo south afrika n.k
Jana nimemwona buguruni rozana kituoni ameshika magazeti. Nikawa namsimulia jmaa yangu mmoja yuko babati kuwa msouth yupo town hatutafutan akasema jamaa mbona aliaga kuwa anaenda south africa. Nikashngaa sabab shibe yupo dar hii namwona mara ya tatu mwezi wa tatu pia nlimwona anachoma mahindi barabarani town ...sasa nashangaa mnamwombea jamaa yupo dar anagunga nakuganga kama kawa
 
Asee nilitamani kujua jamaa amefikaje uko SA ili nami nianze safari lakini kumbe alikuwa anatuchora tu.
 
Haisee watu wa humu wengi mbona huwa hawafiki??? Wanatukatisha tamaa ujue
 
Mkuu ungekua unaenda Cape town ningekueleza chochote, but sio mwenyeji Sana kwa J'burg! By the way Mungu akutangulie, Una siku 4 mpaka 5 kufika J'burg! Kama Ni njia ya Lusaka!
Mkuu naomba unieleze chochote mkuu,nipo njiani kuelekea Cape town. Ahsante.
 
Back
Top Bottom