Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
Hongera mkuu hata mimi nina wazo kama lako
Yah.cape.ure welcome again.Upo sauzi?
Kwani VISA lazima?Mhimu ni passport, VISA na vibali vyako vinavyoonyesha unaenda kufanya nini angalau uwe na kahela kakuanzia.
Bonge la Point kaka!Safi sana mwana kuchukua maamuz hayo ndio mamb watz wanatakiw kuw nayo sio kulalam kila sik maisha magum uku umekaa unasubir ajira.
Ndo nashangaaaSouth afr na Tz visa?? Au ule urafiki wetu uliisha??
Mungu akupe nguvu kaka!Usijali, alie zaliwa ndie anae kufa!! Lakini pia kifo cha wengi ni harusi.
Pesa ya kukodi ungempaUnaweza kukodi ama kuingia ubia, safari njema mkuu.
Wewe inakuhusu nini?Pesa ya kukodi ungempa
Visa noo......coz tupo kwenye SADC muhimu passportMhimu ni passport, VISA na vibali vyako vinavyoonyesha unaenda kufanya nini angalau uwe na kahela kakuanzia.
Nipo Cape Town mwaka wa kumi na mbili sasa napoa Salt River ukifika Pope Street ulizia Mangi...unapoa pande zipi mtanzania mwenzangu?Yah.cape.ure welcome again.
Rural swagga upo kwenye mitaa ya yangu
Nashukuru sana kaka, Dunia ni kigeu geu, km umeona hayo ndio maneno ya kuniambia ktk safari yangu nashukuru, Barikiwa sana.