Safari ya South Africa ndio nimeanza

Safari ya South Africa ndio nimeanza

Mkuu sipendi nikukatishe tamaa, lakini kama maisha ya Tanzania yamekushinda, basi ku-win nje ya nchi ni kazi sana! i am talking with experience ndugu, kikubwa nenda ukijua sio rahisi sana, upambane sana
Unacheza wewe Nani kakuambia hivyo
 
Yap karibu ndugu kumbuka tu kitu kimoja timiza kile kinacho paswa kutimizika fuata taratibu maana nchi uendayo haina malipo ya viza kwa watu wa nchi ya ukarimu kuingia ni bure tu karibu mwana kwenye kitu cha matumaini
Duh kwa hyo hapo ni ticket tu unaingia kwa Madiba?
 
Safi Sana Pigana mwana ila usiingie kwenye bizness za kuuza Ngada maana wabongo wengi wa SA wanauza BWIMBWI.
 
Ungepitia, Malawi, Msumbiji in jirani zaidi, ila ukifika usiingie urafiki na Wabongo wengi wao si wait wazuri. All in all kila la heri.
Inawezekana hata Msumbiji wabongo wanafukuzwa kihalali maana naona sana hili onyo
 
UNA DOCUMENTS ZOTE,?unatumia PASSPORT GANI?NAKUSHAURI SANA,KAMA HUNA LEGAL DOCUMENTS ZA KUKUPITISHA KATIKA MIPAKA,MFANO PASSPORT ORGINAL,NATIONAL IDENTITY,PLZ RUDI TANZANIA ,NIKO SOUTH AFRICA NIMEFIKA LAST WEEK,NAISHI HUKU,KIPINDI NAKUJA NILIPITA ZIMBABWE NA NDEGE KISHA NIKAPANDA BUS MPAKA SOUTH AFRICA,KUWA MAKINI SANA KIJANA,MAANA POPOTE UTAKAPOPITA HASA HII MIPAKA YA NJIAN UNAYOINGIA SOUTH AFRICA WANAWASUMBUA SANA WATZ MAANA NI WATU AMBAO WAMESHAFAHAMIKA HUINGIA NCHI ZA WATU BILA DOCUMENTS ZOZOTE,NA HASA WAKIJUA UNAENDA SOUTH AFRICA,NAKUSIHI UWE MWANAGARIFU MNO.......SAFAR NJEMA
 
Fanya hima umpokee mwenzio mkuu.... Mpendane huko ugenini....
 
Mliokwenda South HV huko hakuna wabongo waliotusua,I mean wana kazi nzuri?maana sioni ushuhuda wao zaidi ya ushuhuda wa wabangaizaji na wauza ngada
 
Mliokwenda South HV huko hakuna wabongo waliotusua,I mean wana kazi nzuri?maana sioni ushuhuda wao zaidi ya ushuhuda wa wabangaizaji na wauza ngada
Kuna Watanzania wengi tu matajiri ila wengi kati yao waliotajirika tayari wameshaukana uraia wa Tanzania baada ya kuoa Wasouth. Ila wote niliowatembelea nima drug dealer wazuri tu na wengi wako Durban (ndiko nilikowakuta) na mmoja wao mwenyeji wa kanda ya ziwa nilimkuta bado anahudhuria kesi baada ya kukamatwa akisambaza cocaine katika jiji la Cape. Nilipata taarifa ashahukumiwa kifungo na sikurudi tena kuwasalimia.
 
Ukiona upepo wa South Africa haueleweki nakushauri uwende Botswana (Gaborone) maisha simple sana kule tofauti na joberg
Nasikia Gaborone hela nje nje mkuu...

Sema huyu rais ana ubaguzi na wageni

Na Kazi nje nje eti kweli?
 
Kuna Watanzania wengi tu matajiri ila wengi kati yao waliotajirika tayari wameshaukana uraia wa Tanzania baada ya kuoa Wasouth. Ila wote niliowatembelea nima drug dealer wazuri tu na wengi wako Durban (ndiko nilikowakuta) na mmoja wao mwenyeji wa kanda ya ziwa nilimkuta bado anahudhuria kesi baada ya kukamatwa akisambaza cocaine katika jiji la Cape. Nilipata taarifa ashahukumiwa kifungo na sikurudi tena kuwasalimia.

Duh ila haya Maisha ya dunia wkt mwngine kujilipua tu akili,no matter what may happen (no pain no gain),ktk watu kadhaa niliyowajua wamefanikiw wamejilipua kw mambo kadhaa ktk harakti zao za Marsha.
 
Ifike mahali watanzania wawe kama jirani zetu wakenya, waganda na wazambia. Wapo nchi nyingi afrika na mabari mengine wakifanya kazi halali kwa weledi na zenye maslahi kuanzia hotelini, viwandani, mashuleni n.k. export of labor ni jambo zuri na linalokuza uchumi wa nchi kwa remittance. Watanzania wenye vyeti wanapaswa kujiamini na kufuata taratibu kupata kazi nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom