Imekuwaje tena mkuu? yepi yamemupata?Mkuu Daby Njoo huku tunamtafuta ndugu yetu yule!
Sijajua maana jamaa toka alete huu uzi hakuna feedback yoyoteImekuwaje tena mkuu? yepi yamemupata?
Dah hizi ramani hadi na mimi napatamaniAu zama lusaka daka gar za Joberg za kupitia kazungula-kasane-francis town-gaborone-martindrift boda unazama sauz
Dah hizi ramani hadi na mimi napatamani
Huu uzi nimeu subscribe.
Inamaana hakuna hata mwenye mawasiliano naye humu JF!!
Haha real mkuu!Alkua zake maji matitu anawachora tu na hajawai fika hata mikumi hapo.
Haha real mkuu!
Wengine tunamwonea huruma bwana maana sekeseke la nchi za watu ukijichanganya sio dogo.
Basi naanza kuamini.. maana haiwezekani JF nzima asiwepo mtu mwenye contact naye wa kuja kuleta hata update yoyote.Jinsi alivoanza stori ake sisi tulioenda kwa barabara tukajua n gahawa tu alikua anamix mambo meng sana tukastuka
Basi naanza kuamini.. maana haiwezekani JF nzima asiwepo mtu mwenye contact naye wa kuja kuleta hata update yoyote.
Nawew umtoboa overseasHONGERA MKUU.
NIMEISHI SANA NYUNGUU. SASA NIPO MBEYA. MAISHA NI SAFARI.
Pale ambapo mtaalamu anazamia af wewe unamwambie afuate formalitiesMhimu ni passport, VISA na vibali vyako vinavyoonyesha unaenda kufanya nini angalau uwe na kahela kakuanzia.
. Kuna miaka humu kulikuwepo thread za kulinganisha akili kati ya watanzania wanaoishi America na wale wa ulaya.Jf ni asilimia 3 tu ya member wake ndio hawajawahi toboa nnje ya nchi....
Hii cjui kwa nin.... kama tuko ubalozi aisee.
Irudishwe tufahamiane.... tuibiane vizuuri..... Kuna miaka humu kulikuwepo thread za kulinganisha akili kati ya watanzania wanaoishi America na wale wa ulaya.
Haha aseeh huko sipo mimiIrudishwe tufahamiane.... tuibiane vizuuri....
[emoji3] [emoji3] watu ndio wanaibiwa ivyo wakiona mtu anacoment kuelezea viza/sa vizuuri tu....Haha aseeh huko sipo mimi
Ni noma mkuu[emoji3] [emoji3] watu ndio wanaibiwa ivyo wakiona mtu anacoment kuelezea viza/sa vizuuri tu....
Watu wanaanza kumuagiza bidhaa ulaya ....
Wanapigwa ndimu wanakuja kulalamika