Kwanini unashauli Malawi?Ungepitia, Malawi, Msumbiji in jirani zaidi, ila ukifika usiingie urafiki na Wabongo wengi wao si wait wazuri. All in all kila la heri.
Sio lazima arudi nyumbani mambo mbele kwambele.Na mamboyakiwa magumu rudi home.
Mungu akutangulie ndugu na akufanyie wepesi kwa kujibu mahitaji ya moyo wako.Ndugu zanguni, wiki mbili zilizo pita nilileta uzi hum Jf lengo likiwa ni Kuomba /kuuliza namna ya kufika SA. Nilipata ushauri mwingi mno, mzuri, mbaya, wakunijenga, wakunikebehi Nk. Pamoja na hayo yote Mungu awabariki sana kwa ushauri wenu mzuri.
Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.
Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Ntawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata km ni kuosha vyombo hotelni. Mbarikiwe sana
Joberg sio pabaya sana, kama walivyotangulia kusema wenzangu jiadhali sana na wabongo sio wazuri, ninakuwa na safari nyingi tu za Joberg, hata March nakuja hukoMkuu ungekua unaenda Cape town ningekueleza chochote, but sio mwenyeji Sana kwa J'burg! By the way Mungu akutangulie, Una siku 4 mpaka 5 kufika J'burg! Kama Ni njia ya Lusaka!
Cape Town naona ni mbali Sana, Hasa nikiangalia umbali ulipo, Pritoria kidogo naona ni karibu, ila kadri ntakavyo kuwa mwenyeji naweza kwenda, km una neno lolote lonaloweza kuwa na faida au la kunijenga we niambie tu Bro, maisha ni safari ndefu, you never know about tomorrow (nimeanza kufanya mazoez ya Kingereza)Mkuu ungekua unaenda Cape town ningekueleza chochote, but sio mwenyeji Sana kwa J'burg! By the way Mungu akutangulie, Una siku 4 mpaka 5 kufika J'burg! Kama Ni njia ya Lusaka!
Kaka kwa umri nilio nao sishobokei tena Madem, nyuma yangu nimemwacha mke, nakwenda kusoma raman kwanza nikiona vp atanifata tu. Mi chambo kwanza.Ila awe makini na Ngono zembe Swaziland inawatoto wenye Misambwanda lakini inanuka kwa HIV infections.Kila la kheri
Tutafutane huko.Joberg sio pabaya sana, kama walivyotangulia kusema wenzangu jiadhali sana na wabongo sio wazuri, ninakuwa na safari nyingi tu za Joberg, hata March nakuja huko
Asante kwa kunitia Moyo. Barikiwa sana.All the best katika safari yako ya kutafuta maisha
Kama nakujua vile mm nipo Majengo mapya kwa sasa , all da best master Mungu akuongeze.Ndugu zanguni, wiki mbili zilizo pita nilileta uzi hum Jf lengo likiwa ni Kuomba /kuuliza namna ya kufika SA. Nilipata ushauri mwingi mno, mzuri, mbaya, wakunijenga, wakunikebehi Nk. Pamoja na hayo yote Mungu awabariki sana kwa ushauri wenu mzuri.
Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.
Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Ntawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata km ni kuosha vyombo hotelni. Mbarikiwe sana
Kiasi bro, kikawaida ukisha jua matumizi ya Is, was, are, ware, them, those, hukosi chakula hotelnLugha ya mayai inapanda??????