[emoji121]Ningesema najua mngeni challenge, lugha najua, miaka 6 nasoma Ntinda View College Kampala, kweli nisijue hata cha kujitetea?
Utakavyo chukulia bro.[emoji121]
SASA TUKUELEWE KWA LIPI??
MBONA UNAJICHANGANYA MWENYEWE?!?!
KUMBE WEWE UNACHOTAFUTA NI KICK,
NA SI VINGINEVYO!
Mkuu nisubiri mbeya jamaa yangu tutambae. Mkuu. Serious km unamanisha.Ndugu zanguni, wiki mbili zilizo pita nilileta uzi hum Jf lengo likiwa ni Kuomba /kuuliza namna ya kufika SA. Nilipata ushauri mwingi mno, mzuri, mbaya, wakunijenga, wakunikebehi Nk. Pamoja na hayo yote Mungu awabariki sana kwa ushauri wenu mzuri.
Safari nimeianza jana nikitokea Babati mtaa wa Nyunguu, leo ndio nimeanza safari tena nikitokea Dar. Nauli nimetoa elf 45 mpaka Tunduma. Kiukweli moyoni nina hofu yenye mchanganyiko na furaha, Johannesburg sijawahi kufika, ila najua Mungu atafanya tu.
Ombi langu kwenu kila mmoja asiogope kutoka. Mi leo nimethubutu, nikifika tu JoBeg Ntawapa picha, huko nimejipanga kufanya kazi yoyote ambayo ni halali, hata km ni kuosha vyombo hotelni. Mbarikiwe sana
Nashukuru sana kaka, umefarijj mkuu.Mkuu tofauti yako na yangu kipindi nazamia, mwezio nilikuwa na sehemu ya kufikia (shemeji yako) hivyo nilifikia kujimilikisha familia hewa. Hadi sasa sina stress narudi na kugeuza mara kwa mara. Hapa jamiiforum utapotoshwa, utatishwa na utasafiri kwa hofu, utaitwa tapeli, utadharauliwa lakini nakuapia kwamba; hata kama una degree kichwani kama hujatembea wewe si lolote![]()
![]()
Amini ukifika tu South Africa utashangaa unakutana na wenyeji wa mkoa wako. Sasa tahadhari ni kuwa usiwaamini ni bora uamini mwenyeji wa huko kuliko Mtanzania mwezako. Usiulize kwa nini. Pia ukitaka kuzamia mazima kubali kuoa huko hata kama huyo mama anakuzidi umri, hiyo ndiyo teknik niliyotumia ukizigatia elimu yangu ilikuwa ni O level. NB: Mademu wengi huku South ni walevi na wapenda starehe. Tafuta aged ulelewe, ukiona nakupotosha basi chukua umri wa kina Lulu uone. Siku ukitembelea Durban lazima utawakuta Wabongo lkn 95% wanauza unga
Usiache kutujulisha kinachoendelea mkuu..Wala usiogope, e-mail yangu ndoo hiyo kwenye profile yangu, ni ya kweli kabisa, wala sitegemei kubadilisha. Ila tu km unatabia za kihuni huni, huenda hatuta endana.
Sehemu zingine tayari fujo zishaaza tayari.mkuu kunana tetesi uku ifikapo tarehe 24 za uyu mwezi wa 2 kunaweza kukawa fujo apa S A
Unasema hivyo mazoea ni kitu cha kawaida kiwanjani unawajua wasouth au unawasikia tu.Kwanza sidhani km nahitaji mazoea, labda.
Hata uvae vipi mkuu wabongo watakujua kua wewe ni fresh.SWALI LANGU, NIVAE NGUO GANI ILI NISIONEKANE MSHAMBA MARA TU NINAPO SHUKA? SIUNAJUA MAZINGIRA YETU HATA KIMAVAZI SIO RAFIKI SANA.
Wezako walisema hivyo na sasahivi washapotea na watoto wa thatha madiba[emoji24] [emoji24] [emoji24]Kaka kwa umri nilio nao sishobokei tena Madem, nyuma yangu nimemwacha mke, nakwenda kusoma raman kwanza nikiona vp atanifata tu. Mi chambo kwanza.
Upo sauzi?Twelcome.