Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

Pole na mm nilipigwa hapo ubungo pande langu la sabuni..nimeshakata tiketi ya kurudi shule Mbeya..pocket money nikasema ninunue simu niwe naificha bwenini..wanakupa hivyo hivyo kwny bahasha ya kaki...sijui wana madawa waleee...tulikua na shoga yangu tunatoka ubungo ndani mle jamani alicheka mpaka akajikojolea...😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom