Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

Safari ya Misukosuko (2006) – Sehemu ya Kwanza

Ipo siku utamchoka tu na ndio maana watu ambao hutupendi migogoro kwenye mambo laini kama haya huwa hatutakagi interaction naye kabisa.

Hata kama ni uongo kipi kinachomuumiza ? Who huwa wanaandika mambo ya faragha hadharani lakini huwa tunapita tu bila kutia neno.
Kuna pisi zina mawenge humu ,just ignore
 
Hebu wekaa jana ulinilaza macho na haukuweka
Part 2 mbona niliweka asubuhi

 

Chica Gee
 

Chica Gee
Nimesoma yote tayari barikiwa sana Mkuu, umejua kunivunja mbavu 😂😂
 
Back
Top Bottom