Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,380
- 56,020
- Thread starter
- #41
Tatizo lako una ujuaji ambao hauna tija wala faida, labda nikuelekeze kipindi kile mwaka 2006, njiapanda ya kuelekea Kilombero kulikuwa kuna njia ya train ilikuwa imepita pale kama mita 30 kulikuwa kuna kituo cha Mapolisi kupumzikia sasa sijui hapo unakuwa unasema nimedanganya . Punguza ujuaji halafu huo sio ujanja wala nini 😀😀😀Kuna kipande cha kupanda gari za Iringa katupiga..!! Mikumi kituo cha polisi hakipo porini. Kipo maeneo ambayo watu wanaishi na ni umbali mkubwa kutoka hifadhini..!!