mi naona eiam tu
we kwenu ni marangu? mazishi ni kesho!
Yap....haya tuombe uzima
Hivi unanielewa lakini au!!?
achana nae tu!!
Asante kwa kumhakikishia hilo....sina madhara
Baada ya mambo yote mje niwakague!
Embu kam huku tutete kidogo!!
Shukrani sana ndugu yangu...nafika hadi marangu!!