Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

Na corona yote hii mnasafiri-safiri nje ya nchi ili iweje, si mkae kijijini mlime tuuze mazao , kuna njaa tuliambiwa inakujašŸ¤£šŸ’šŸ¤ø
Sio watu wote wana ajira kama wewe hapa Tz.. wengine bila ya kusafiri hawana kipato chochote kaka.. wengine ni wagonjwa wanakwenda kutibiwa.. wengine ni wafunzi wanarudi vyuoni etc. Wengine wana biashara zao nje ya nchi
 
Tangu "walivyosema" hakuna Covid hivi walileta vifaa vipya? Au vile vile vya kupima papai na mbuzi?
Tuanzie hapo
 
Sio watu wote wana ajira kama wewe hapa Tz.. wengine bila ya kusafiri hawana kipato chochote kaka.. wengine ni wagonjwa wanakwenda kutibiwa.. wengine ni wafunzi wanarudi vyuoni etc. Wengine wana biashara zao nje ya nchi
Hata ajira yenyewe sina, nafanya kusogeza siku mbele, nikibet mkeka ukakubali nazungusha hela huku na kule maisha yanakwenda hivyo hivyo.
 
Hata ajira yenyewe sina, nafanya kusogeza siku mbele, nikibet mkeka ukakubali nazungusha hela huku na kule maisha yanakwenda hivyo hivyo.
Mkuu usikate tamaa, jitupe hata botwasna hapo au Singapore
 
Mkuu usikate tamaa, jitupe hata botwasna hapo au Singapore
Huko aisee nawaachia vijana, najua nipo kwenye mkwamo wa muda tu, ni mambo tu yaliingiliana na kunipeleka nilipo ila cha muhimu ni kusogeza ziku mbele kwanza huku najipanga.
 
Majibu ndani ya masaa 24 ni uongo mtupu, ukipimia hospital yoyote Dar es salaam, hadi wapeleke samples maabara ya Taifa mabibo ni masaa 24 tayari yamekatika, kuja kupata majibu ni 48hrs na kuendelea, vivyo hivyo kwa mtaani. Nimeona baadhi ya watu wakilia sababu ya safari zao kugoma sababu ya kuchelewa kupata majibu. Bahati nzuri nimefanya same process Kenya, ipo very fast, convenient & cheap.
Naongea kwa uzoefu mkuu sii kwa nadharia
Walio safiri toka mwaka jana mwishoni watalishuhudia hili (hata kwenye nchi za wenzetu majibu ni ndani ya saa 24)
Sihitaji kutumia nguvu nyingi kukushawishi
 
Naongea kwa uzoefu mkuu sii kwa nadharia
Walio safiri toka mwaka jana mwishoni watalishuhudia hili (hata kwenye nchi za wenzetu majibu ni ndani ya saa 24)
Sihitaji kutumia nguvu nyingi kukushawishi
Mzee mimi nimesafiri mara nyingi tangu hiyo mwaka jana ambapo tulikuwa tunalipa 40k Tsh hadi saivi tunalipa 230k pale Mabibo Maabara kuu, mwaka jana majibu officially ilikuwa ni 48hrs na hata hiyo 48 hrs kupata ilikuwa ni kwa tabu, wasafiri wa mara nyingi waliishia ku forge vyeti au kutoa rushwa pale Mabibo ila wapate mapema.

Kuanzia January, waziri alitamka majibu yawe ndani ya masaa 24 na bei ikaongezwa to 230k, kinachotokea ukipima nje ya Mabibo Maabara kuu inachukua 24hrs hadi sample ifike Mabibo, sasa wewe unaetegemea 24hrs results while usafirishaji tu wa sample ni 24hrs una akili timamu au unangā€™angā€™ania na story za kuhadithiwa wakati wengine ni wahanga wa hili kila mwezi?
 
Back
Top Bottom