Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

kubenea ile kesi yako ulishikwa unavuka mpaka kutoka kenya kwa njia haramu iliishia wapi? mbona hujafikishwa mahakamani
 
Kesi nyingi za jinai tumezoa Jamhuri akichukua uongoz na siyo mtu binafsi. Katika kesi ya jinai iliyofunguliwa dhidi Makonda, Kubenea ndiyo mlalamikaji. Hoja anazolalamikia zinahusu uvamizi wa Clouds ambapo waiovamiwa walishasema awahusiki, silaha zilizotumika ni za serikali na serikali haijawahi kusema zilitumika kinyume cha sheria. Waliotumika ni Watumishi wa umma na walipongezwa kwa kazi nzuri iliyopelekea Waziri kufutwa kazi.

Leo tunaona magazeti yanaweka hii case Frontline, social media zinajadili, wapinzani nao wanaunga mkono; je kama Jamhuri haijaona kona Kubenea atathibitishaje ? Kama waliovamiwa wamejiweka pembeni kubenea Ali uchunguzi Mwenyewe? Kumbukeni tumeambiwa loudly kwamba Mahakamani siyo kwa Mama zenu, tunajichosha nn na agenda mfu za Kubenea?
Nyuma yake
Wapo
Makamba
Na nape
Huyo kubebenea anatumiwa tu
 
Aburuzwe tu huyo
Saed Ahmed Kubenea.
Mwandishi wa habar aliyewahi kuandika " yasoandikika"
Namkumbuka huyu jamaa kwenye issue ya ulimboka juu ya Ramadhani Ighondu. Kachero aliyemshambulia bwana Ulimboka.
 
Hizo za Kubenea ni Kiki tu na kutafuta Fursa.

Anachokifanya sasa hivi hakina hata harufu ya kufanikiwa.

Ni utoto utoto tu na kupotezeana muda kujadili upumbavu.

===≠=======

Halafu ikumbukwe hata kama Kubenea ataruhusiwa kushtaki, DPP anakuwa bado ana mamlaka ya kuingilia shauri hilo muda wowote anaotaka na kutumia kifungu pendwa cha 98 (a) au (b) cha Sura ya 20 ya Sheria zetu kuondoa shauri kwa NOLE.

Sio kazi rahisi kama inavyotamkwa magazetini
Kwa hyo kwa mujibu wa katiba Kuna mtu yupo juu ya Sheria.? Kama ndyo hivo basi Nchi yetu imeuzwa!! Kikubwa Court itestify branda aliyofanya kiongozi. Si habar ya ktu kingine hapa!!
 
DPP ana mamlaka ya kuingilia ku/ take over hiyo kesi na ku unter nolle /kulifuta
Acha kuota ndoto haijashitakiwa serikali kashitakiwa makonda kama mtu.
Hakushitakiwa kama taasisi ya serikali. So DPP hana huo uwezo.
Hakuna pre bargain hapa!
Jamaa makonda atafute mawakili wazuri mjini la sivyo watu watakwenda kufumua maninilio Kyle nyuma
 
Acha kuota ndoto haijashitakiwa serikali kashitakiwa makonda kama mtu.
Hakushitakiwa kama taasisi ya serikali. So DPP hana huo uwezo.
Hakuna pre bargain hapa!
Jamaa makonda atafute mawakili wazuri mjini la sivyo watu watakwenda kufumua maninilio Kyle nyuma
Huna akili hujui kwamba DPP kwa mujibu wa sheria ana uwezo wa kuingilia na ku take over private criminal prosecution yyte at any time.....
ndio tatizo la jf unaweza kukuta kitoto cha shule ya msingi kinabishana profesa.......
 
Sidhani kama kubenea ni mjinga kiasi icho na sitaki kuamini Kama kubenea ayajui yote ayo uliyoongea apa, kubenea atakuwa ametumika kama chambo tu kufanikisha kumuadabisha makonda inaonekana anayo back up ya nguvu nyuma yake tusimbeze tusubili kesi ianze tutajua
 
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu.
Mtoto wa mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita ya Kagera aitwaye Paul Makonda kupandishwa kizimbani tarehe 3 December

Baba Keegan huu ni wakati wake sahihi wa kujionea marafiki zake wa ukweli. Je, wasanii watakuwepo? Wasafi je? Babu Tale? Mkubwa Fella?

Le Mutuz Mobimba nyenyenyeeeeeee atakuwepo jamani? dah aiseeee

Hati ya mashtaka imemtaja Paul makonda wakati mshtakiwa jina lake ni daudi bashite mambo gani haya?
 
..na hao wakubwa wana kinga hawashtakiwi kwa madhambi yao hapa duniani.

..wakikaribia kufa Mufti na Kardinali wanaitwa kuwaombea ili wasichukuliwe hatua hata baada ya mauti.
Duh!.... "Maisha ndo haya bwana", yahani jamaa wameandaa mazingira ya kabla na baada ya kifo...
 
Back
Top Bottom