Duh! hivi vitu ndo vinachanganya zaidi. So what if uyo Sub God ndo akawa chanzo cha mafundisho hayo ya Jehanamu, shetani n.k , sisi binadamu sasa tunapaswa kuobey au tuishi tupendavyo. Just want to know your thoughts.
Wel,kama umeangalia vzur nmesema sub creations,sio sub God,..yan nkimaanisha uumbaji mdogo mdogo ,.na YES,huyu sub god(in a way ili uelewe vzur)ambaye ni bnadam,ni sisi inshort,.na ndio tunaoandika hiv vitab etc bible,quran etc,tuna introduce dini mbalimbali na madheheb,tunafanya fumbuzi mbali mbali za kisayansi kwa level yetu lakin n sio mbaya,hata the great creator mwenyew anajua kua i made these people to do wonders,sasa watu wanaofaham hii knowledge wanaifanya siri,na ule usem wa tumuumbe mtu kwa mfano wetu ni kwel,binadam akija jitambua yeye nan ,anakua na uwezo wa ki mungu kabsa,ingawa hawez mfikia the great creator,ndo maana ya kuumbwa kwa mfano wetu hyo,so bado bnadam hajajijua uwezo wake ila kadiri siku ziendavyo anajitambua,ndomana unaona kila siku mambo mapya yanavumbuliwa,technology etc,.mwanadam hutafuta na huchokonoa vtu ili apate mjua huyu great creator so results za hii jitihada ya kutafta ndo znatokea tafsiri nyiingi kuhusu huyu great creator,ndomana wachina wanatafsiri yao,wahindi wana yao,muslim wana yao,christians wana yao etc,..na vitabu hiv vinavyoitwa vitakatifu vmeandikwa na wanadam katka kutafta kuujua ukweli,so kuna stori nyingne za kwenye hiv vitab ni kwel na nyingne si kwel,ila ambazo si kwel ni nyiingi kuliko za kweli.yan vtab hiv hudokeza tuu,..mfano kimaandiko meng ilijulikana jua ndio inazunguka dunia bt si kweli,mfano tuu..historia ya mwanadam,hapa ndo kuna upotoshwaj mkubwa,kila race inajivutia upande wake,.ukienda kwa wachina watakwambia mungu ni mchina,wahind watakwambia mungu ni muhind,wazungu wanakuja na yao nao kua mungu ni mweupe kama wao etc,so stor hiz,kimaandiko dunia ina umri wa miaka 6000,..bt si kweli,..kitaalamu na kwa vithibitisho dunia ina aproximately miaka bil4.5,na hii ni proven,sio hypothesis..so mambo kama hayo..the great creator aliumba vitu ki sayansi,vika develope,mfano anaumba cell ina develope into tissue,organs had mmea kamili,ndomana wana sayans waki trace back uumbaji huja na majibu hayo kua viumbe vili develope frm one stage to another,ni vile vile kwenye vtu visivyo viumbe hai,mfano,maji,ni element moja na nyingne,ndio hvyo mungu/great creator aliumba,sayans yake si ya kitoto,ni sayans isiyoelezeka kwa urahis,na aliumba vtu to its best,yan sawia kabsa,..mfano naweza diriki sema the great creator aliumba dunia maalum kwa sis kuish,yan aliiumba to the best/maximum quality,..ila sis tunaendelea kufanya hiz sub creations na by our own will,wala haingilii yeye,so ukiona sjui mtoto anazaliwa kilema,or vifo or ajali or chochote,yeye hahusiki,ni sisi tunahusika,ni uumbaji wetu sis unaofanya haya so lawama ni yetu sis sio yake.yeye alishamalizaga zamaani..tena tambua,tusidhan sis na dunia yetu peke yetu ndo the only thing the great creator amefanya,..kuna vitu vikubwa zaaidi huko,kwenye galaxies na sayar nyingne ambazo ufaham wetu na sayans bado hazija fanikiwa kujua,so great creator anafanya huuge projects n hana mda wala haja et ya kuumba/kutengeneza dunia af awauwe na kuwachoma watu moto,hiz ni fikra na roho za kibinadam ndo znaandika mafundisho haya,creator hana akil za kibinadam,he is way past that..et akuskilizie utende dhambi kimtego mtego af aje akuchome moto,hzo ni fikra za bnadam tuu.