Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

japo ni mtenda dhambi kubwa lakini hii imeenda mabali zaidi ...Muumba akufunulie na akupe neema ya kumjua kuwa yeye ni Alpha na Omega na hakosolewi kwa lolote ...pia Muumba humpa mwanadamu choice anayoitaka ni mdemokrasia hivyo basi kuchagua kwako mabaya ni uamuzi wako binafsi
 
Kuchagua mabaya? Mabaya yametokea wapi?
 
Mim ni mwana science,Ulimwengu una aproximately bilion 900 za galaxies,dunia hii tuliyomo ipo kwenye moja ya galaxies hizo,inaitwa milky way,.galaxies hiz zina nyota zake,(JUA LETU,ni moja ya nyota)..ukubwa wa galaxy ndio una determine uwingi wa nyota,..mfano galaxy yetu ina nyota zake nying tuu moja wapo ndo hili jua,hii tena ni nyota ndoogo saana ambayo,(jua ni kubwa kuliko dunia mara milion1),galaxy yetu ni moja ya galaxy ndogo saaaana.kuna galaxy zenye nyota zaid ya 10,..so kila nyota hubaatika kuzungukwa na sayari,mfano nyota yetu jua inazungukwa na sayar zijulikanazo ambazo ni almost 9,sayari hizi zina miaka bilion na ma bilioni,mfano sayar yetu dunia ina miaka almost 4.5bilion na ni sayar ndoogo sana kulinganisha na hizo zilizoko kwenye galaxies zingine..sasa mifumo yooote hii inalindwa na nguvu za asili ambazo inazifanya zi balance bila kuingiliana ama kuleteana mushker zenyew kwa zenyew,..nikimaanisha zna self control ambayo iko systematic.,na well balanced..kwa sayansi hii peke yake,inakupa kitu,..ok tuje kwa viumbe,tukiacha wanyama wengne na mimea na bacteria na virus na wadudu wengne amba wana mifumo yao,..kila binadam umuonae dunian hapa ana kitu kwenye seli yake kinaitwa DNA,..cha ajab kila bnadam ana aina yake pekee ya hii kitu,yan huwez fanana na mwenzio,..tuko bil.7,kila mtu ana take pekee,na mifumo yetu ya mwili iko systematic,moyo ,ubongo,mapafu,damu,mifupa etc,..hii pia ni vilevile kwa mimea na wanyama na wadudu,..pia tukija kwa vitu ambavyo sio viumbe hai,ni same thing,kila rock/miamba ina identity yake pekee.so..kwa science hii kubwa na uwezo huu mkubwa,..Mungu wa ukweli ambae huenda sio huyu tunaefundishwa au kusikia ambae kwa mafundisho yaliyopo yanamfanya awe kama wa kawaida i mean kama bnadam vile,na ndomana kunakua na controversies nying watu wanakua hawaelew, hii ni very wrong,..Huyu alietuumba ,yan original Creator of all atakua anatushangaa sana.tunahangaika inshort...huyu creator ni very powerful,na science yake na phylosophy yake si ya kitoto,hana kwanza mda wa ku kedeal na mihemko ya watu wasio elewa au niseme kaumba kila kitu kiwe na self control kwasabab hakupenda kumuingilia mtu.so haya tunayo experienc ulimwenguni ni matokeo ya the life we choose n decide by ourselves,mfano,kufa,kuzaliwa,ulemavu,njaa,shibe,..etc n thts y leo hii ukiamua kujitoa dunian ,u can do tht,or kusitisha maisha ya mtoto alie tumbon,u can do tht.so doctrine aliyonayo the creator of all,ni kuubwa kuliko unavyodhani,.na projects anazozifanya the creator(We call him GOD) ni huuge ambazo haziko kwenye upeo wa mwanadamu.so The creator hajaumizwa na alichoandika huyu bwana sabab anajua hafaham the truth..The creator hana mda wa kumchoma mtu or sjui nin,sjui jehanam,etc na story nyiing za uongo,he created,n the creation goes on and on and on kwan sis wenyew we do sub creations humu humu ulimwengun...niishie hapo,kuna meng sana
Asee mkuu naomba uendelee angalau we umenifungua kituu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa napata ukakasi kwenye neno lenyewe tu "imani"..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Reasoning ni part and parcel ya maisha yetu.....kila kitu kinachowezekana ni haki kuhojiwa kama hakijulikani hatuwezi kutumia hisia kukielezea.... hisia siku zote haina usahihi.

Mfano: kandambili au kiatu kikigeuka juu chini, inasemekana ni vibaya kwani ni sawa na kumkanyaga Mungu.... so wapo wanaoamini hivyo mpaka leo na ni watu wazima wenye akili zao ila kwangu haimake sense hata kidogo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Free ideas unreason sana sema watu wanakuona ka mpagani ilihali wao hayo maswali wanajiuliza ndani ya nafsi zao

Da killer's
 
Aa wapi, walikuwa wanajua mizimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
jf raha sana
Kuna maswali mengi kuhusu Mungu huwa najiuliza, mpaka SAA nyingine huwa namkasirikia Mungu (maybe nakufuru lakini acha iwe hivyo).Bcoz kwa ninavomuwazia Mungu ingekuwa ni heri nisingezaliwa.

1) Kama kweli Mungu ni upendo, kwanini aumbe jehanamu ya kutuchoma milele sisi tulio waovu (lyk for billions and trillions of years). Si heri angetumaliza tu kuliko kututesa milele? Kwenye shuhuda nyingine wakristo huenda motoni kwa dhambi moja tu ambayo hawakutubu. (I know hell was originally intended for the devil and his demons & not 4 humans)

2) Kwanini alimruhusu shetani kumjaribu Adam ikiwa alijua kuwa wanadamu wengi tutateseka duniani, tutaanguka maovuni, na atatutupa Jehanamu?

3) Kama Mungu anatuambia tukitenda dhambi na tusipomtii tutachomwa motoni, Je wakristo na waislamu (baadhi yetu) tutakuwa tunamtumikia Mungu kwasababu tunampenda na tunataka kumjua zaidi? au tutakuwa tunamtumikia kwasababu tunaogopa kwenda Jehanamu?

4) Mungu husema mawazo yake si kama ya kwetu, na njia zake zipo juu zaidi, nakubaliana na hilo. Maybe kutuchoma motoni it's in his nature, that's the way He is and we have to live with it.

5)All in all Mungu ana hekima kuliko mimi, coz ni muumba wa kila kitu. Maybe katika hekima yake yote, hii ndo decision bora aliokuja nayo. Labda ana reason nzuri behind all this ambayo mm siijui. Maybe Mungu mwenyewe akinijibu face 2 face, nitabadili mtazamo wangu kuhusu yeye.

6) Kingine kinachonikasirisha pia ni yeye kuruhusu mimi kuja hapa duniani, naona ni heri nguvu aliotumia kuniumba mimi angetumia kufanya kitu kingine, nachukia + najuta kuwa hapa duniani to see all this, dunia imejaa waovu (mm nikiwa mmoja wapo) pamoja na mateso ya kila namna.

Haya ndo mawazo yangu nimeamua ku-share nanyi, najua hata povu linitoke vipi it won't change the facts. Samahani kwa ntakaekuwa nimewakwaza humu jukwaani, naamini Mungu alishayajua mawazo yangu kuhusu yeye toka kitambo. So im just keeping it real.

Galatians 6:7 Mungu hazihakiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nakupa Hongera kwa kutokuwa Mnafiki!
kama ulivyoandika ww si mfuasi wa dini yoyote hivyo kutumia vitabu vya Dini ktk mchango wangu hautonielewa.
Pili nakupa pongezi kwa kutambua kwako kuwa Mungu yupo! Ila unakwazwa saana na matendo yanayotokea na inakutatiza zaidi pale unapomsoma Mungu (kwa rasha rasha) na kujua demokrasia yake.
Ushauri; amua kufuata dini(yoyote) jifunze zaidi na zaidi Mungu ni nani? Kupitia vitabu vyake na mafunzo toka kwa wabobezi wa Dini husika.
NB; kama una familia au baba na mama yako walivyokulea, kwa kukuchapa fimbo,kukufinya,kukupa chakula kukufunika shuka, kukupeleka shule na vyote vibaya na vzr vyote lengo juu ni UPENDO. Waangalie ndege wengine wanajenga viota juu kabisa ya MTU au jengo na kutaga mayai kisha huangua watoto ambao huwakuza na mwisho wa siku kwa upendo huwalazimisha watoke kwenye kiota kwa kujifunza kuruka, wapo(walio wengi) hufanikiwa na kuwa ndege hodari na kuendelea uzazi wapo wanaokumbwa na madhara lkn mama ndege kilichomsukuma kuwatoa watoto wake ni UPENDO
 
Mkuu
1.Kiukweli huyo mungu wa wengi hapaswi kuabudiwa,,maana hao wanaomwabudu humwabudu kwa nidhamu ya uwoga wakihofia jehanamu ya moto...
2.biblia haina kifungu chochote kinachosema watu waovu watachomwa kwenye moto...mwenye mashaka na hili alete uthibitisho wa kibiblia...babiloni imemchafua sana my dady
3.niliwahi na nitazidi sema ,mungu si katili kihivyo..hebu niulize mungu hunufaika na nini kuhusu watu kuchomwa na moto milele?wew unanufaika na nini endapo utamtesa mtoto wako milele kisa kosa fulani,?? Vipi mseme mungu ni upendo wakati atawatesa watu milele?kutakuwa na tofauti gani kati yeye na shaytwan kwa jambo hili la kikatili??
4.hizi dini zimewafanya wanadamu wenye usawaziko kiakili wasimkaribie mungu,kisa mafundisho ya kikatili na ya uwongo kabisa . ...

jw library
 
(6)Mhubiri 7:1 Heri sifa njema kuliko marhamu nzuri; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
Siyo wewe tu,Hata wafalme wa zamani walikumbana na changamoto hiyo
Upo sahihi mkuu
Ni hakika hukumu ipo,mungu atawaondoa waovu katika kifo cha milele...watakuwa majivu yaani watateketea milele,kumbukumbu yao itasahaulika kabisa milele yote

Lakini si moto wa milele,yaan mateso ya milele katika jehanamu..

jw library
 
Mtoa mada ndani ya siku chache utakufa. Tafuta mtu wako karibu aje atupe TANZIA yako. Usimjaribu Bwana Mungu na Muumba wako. Naona unachokitafuta utakipata tu.
Mkuu

Huko si kumjaribu mungu,,mwelewesheni mtoa mada,mtoa mada anajaribu kumjua mungu ni yupi,maana mafindisho ya baadhi ya wakristo yanapingana na biblia,
Mungu si mpiga biti na katili hivyo,anasema nikaribieni nanyi nitawakaribia...lakini pia anasema mpende mungu wako kwa moyo wako wote,kwa akili zako na nguvu pia.. Mtoa mada anashindwa mkaribia mungu wa moto wa mateso...

Mafundisho na mapokeo potofu yameichafua biblia na mungu pia

jw library
 
Back
Top Bottom