Sababu zangu za kuoa single mother

Sababu zangu za kuoa single mother

Kuoa mwanamke aliyezalishwa ni kukosa akili, sababu kama aliweza kuzalishwa na kuachwa ni evidence tosha kuonesha yeye ni mtu wa aina gani na kwamba ni lazima kuna tatizo mahali kwake na mtu aliyemzalisha. Wewe kuwekeza hapo ni kujiingiza kwenye majanga na mikosi isiyo na lazima wakati mabinti wabichi wamejaa duniani.
Raha ya familia ni kuwa na yako peke yako.

Una umri gani?
Piece of advice: Grow Up.
Na ambaye sio Bikira je
 
  • Thanks
Reactions: THT
Habari za wakati huu

Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;

~ Mtamu sana.

~ Anajua kupenda.

~ Amekomaa kiakili.

~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.

~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.

~ Hakunaga kigeni kwao.

~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.

~ Wanahuruma sana.

Mje mniue
Utarudi acha mtu aoe x single mother wa msela wangu atajuta utarudi na kilio cha mbwa, acha single waitwe single mother, few cases waliozalishwa na waume za watu labda wanaweza kuwa na exceptions
 
Ila ukweli usemwe kulea mtoto wa shahawa za mwanaume mwenzio yataka moyo kwa kweli.
Na litoto likiwa tundu basi balaa kweli kweli.
Kusema kweli masingle maza wanajua kutoa mbususu ila changamoto kulea toto la jamaa mwengine
Nimekuwa kwenye mahusiano na baadhi ya single mothers nilichogundua wengi wao ni wapweke ndio maana njemba ikijitokeza wanajua kutoa mbususu ili kukuvuta sio wachoyo hawa watu.

Ukikapenda na katoto kake vizawadi vya hapa na pale ndo kabisa mmoja alitaka nimuoe tulipoachana aliumia sana akasema nimemtonesha vidonda vyake vya zamani
 
Nimekuwa kwenye mahusiano na baadhi ya single mothers nilichogundua wengi wao ni wapweke ndio maana njemba ikijitokeza wanajua kutoa mbususu ili kukuvuta sio wachoyo hawa watu. Ukikapenda na katoto kake vizawadi vya hapa na pale ndo kabisa mmoja alitaka nimuoe tulipoachana aliumia sana akasema nimemtonesha vidonda vyake v
Kwa nini hukumuoa?
 
Na ambaye sio Bikira je
Ni ngumu kupata mwanamke ambaye hajatumika ukimpata basi wewe utakuwa the luckiest man in the world.
Nashangaa sana mtu anayechukulia kuoa kama kitu kidogo as unanunua TV na kuweka ndani, kuoa ni kitu kizito kinachohitaji akili, kufikiri, utafiti, utayari na maamuzi magumu na sahihi bila kukosea sababu unayemuoa ndio mtu unayeenda kuishi naye almost maisha yako yote na ndio mtu utakayejenga naye familia.

Now, hicho sio kitu kidogo hata kidogo. Sasa siwezi imagine mimi nitoke hapa niende kuishi na mtu aliyeharibu huko nyuma aje kuniharibia na mimi. Pia katika kitu ambacho sitokuja kukifanya ni kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu, hiyo ni dharau kwangu na kwa familia yangu. So that's a big of a Hell No.

Kwenye kuoa cha muhimu sio kupata mwanamke bikra bali ni kupata mwanamke anayejitambua, kujiheshumu na anayejali utu wake ili kupata familia bora and that's enough, aliyezalishwa mostly ni kinyume chake.
Cha muhimu ni Familia bora na hilo ndio dhumuni kuu la ndoa, sio ngono. Kama unaoa kwa misukumo ya ngono na visababu vingine visivyo na msingi basi RIP in advance brother.

Siwalaumu singe mothers ila huo ndio ukweli mchungu. Reality Check.
Ni vizuri waoane single parents wenyewe kwa wenyewe na wale wapya kwenye ndoa waoane wao kwa wao.
Au utakuja kujuta hasa baada ya kupata familia alafu watoto na wazazi kuanza migogoro.
 
Mie kuna single maza mmoja nimegundua nampenda sana...najitolea kulea bao la mwanaume mwengine ili moyo wangu utulie. Yule mwanamke nampenda kwa kweli ni vile tuu nimechelewa kulikubali hilo.
Huyo kweli umemwelewa, unajua ukisikia muhuni anakwambia kampenda bidada fulani huwa anamaanisha. Kwa hiyo una mpango naye gani?
 
Habari za wakati huu

Kusema tu ukweli mimi nitaoa single mother, mwanamke mwenye mtoto nikikosa bikira. Kwa sababu;

~ Mtamu sana.

~ Anajua kupenda.

~ Amekomaa kiakili.

~ Wapo makini sana kwenye maisha kwa maana hakuna kigeni kwake kwenye mapenzi.

~ 80% wengi huwa wanakuwa wasafi ndani mpaka nje.

~ Hakunaga kigeni kwao.

~ Wajuzi hawa watu, wana utu na utulivu.

~ Wanahuruma sana.

Mje mniue
Unapenda mtelemko sana.
 
Usije ukarudi tena hapa na kilio tuh eti wataka ushauri,ikiwa tuh haujaona kaburi la mzazi mwenzake.
 
Mie kuna single maza mmoja nimegundua nampenda sana...najitolea kulea bao la mwanaume mwengine ili moyo wangu utulie. Yule mwanamke nampenda kwa kweli ni vile tuu nimechelewa kulikubali hilo.
Milembe inakuhusu mkuu, muda sio mrefu..utaacha pengo kubwa jukwaani mkuu.
 
Nakubaliana na wewe....shida yao moja tuu. Watakwambia umpende mtoto wake kuliko unavyoipenda mbususu yake
Ukitaka kuwin love ya single mama bas mmepnde mwanae utapewa vzr San nakuheshimika mno mm nilimfanyia hvyo mdad wa singida aise nilimdatisha yule mbaya uwez mwambie lolote kuhus mm akakuelewa mnk nilikuwa navinunua vizawad vidg vdg kumkabidh ampeleeke mwanaenbas alifurahai haswqa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi inakuaje mpaka mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mtumba wanawake wengi Hawana shukrani tambua hilo hata ukimstiri bado atakuona we ni mshamba na mdhaifu umeacha pisi kali umedondokea
Kwake
Vibinti vinatolewa bikira vina miaka 14 mpaka uje kumuoa breki pumbuz

Single maza wangekuwa wengi sana mitaani ni vile tu wakijazwa wanatoa mimba

Ni mwendo wa mitumba tu
 
Ukitaka kuwin love ya single mama bas mmepnde mwanae utapewa vzr San nakuheshimika mno mm nilimfanyia hvyo mdad wa singida aise nilimdatisha yule mbaya uwez mwambie lolote kuhus mm akakuelewa mnk nilikuwa navinunua vizawad vidg vdg kumkabidh ampeleeke mwanaenbas alifurahai haswqa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo dogo alikuwa anakuita uncle au baba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom