mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,705
- 7,214
wengi ma vegetarian hawali nyama kwa sababu bei ghali sana kwa mfano kitimoto saizi elfu tisa kwa kilo
ebana nimecheka sana,
wengi ma vegetarian hawali nyama kwa sababu bei ghali sana kwa mfano kitimoto saizi elfu tisa kwa kilo
Kwa kweli nimekuelewa Apolo na hii imeniingia haswa pamoja na kuwa mimi ni mmoja wa walaji sana wa nyama. Nahisi kuna usahihi kwa wasiokula nyama.
kiukweli napenda kubadili maisha yangu kwenye mcingi huu..
ctaki kula nyama, kunywa pombe, kuendekeza anasa tena....
napenda kufanya meditation ingawa inanipa wakati mgumu kiukweli nahitaji mwalimu anielekeze
katika hili...
note: mi naishi Lushoto-Tanga hivyo kuhudhuria temple huko Dar ni ngumu xo I need altenative...
nimesoma na kupractice kwa miaka mingi tu
Biology inazungumzia body (physical structure) as Physical Anthropology. Lakini haizungumzii intangible parts kama Souls, Spirit ambavyo ndivyo vitofautishavyo mmea na mwanadamu. Hivyo wote ni viumbe na vinatofautiana. Mfano mmea hauna soul, Biology haiwezi kuzungumzia hizo tofauti za intangible na ndio maana ikaitwa inabase na Physical Anthropology.
hivi Mungu alimshushia nani vile yule kondoo!yule mtume alieamrishwa kumchinja mwanae!
hapa naona watu wanabishana na maandiko ya Mungu.
Tunazungumzia kula wanyama na si mwanadamu,sina uhakika kama wanyama wana roho
Karibu sana mkuu. Kupitia meditation na kuishi maisha ya ukweli na yenye reality utaona life katika perspective nyingine kabisa. It will change your life completely. Pia waweza kuangalia YouTube na kusoma vitabu mbalimbali. Hivi vitu sio dini, anyone can do it to connect them self with their heart and mind.
Welcome.
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.
Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni
1.hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa
2. Hakuchinjwa kwa ajili yao
3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe
hv vegetarian wanaruhusiwa kula samaki ?
nikiamua kuwa vegetarian nitafanya hivyo kwa sababu za kiafya na sio imani yaani nyoka anakuja nyumbani kwangu nisimuue kwa sababu ni kiumbe anastahili kuishi? hizi imani ngumu sana.
Hahahaha. I love this. Hapana, suala ni kuua kwa ajili ya chakula, au kuexploit mnyama mfano kuua kwa ajili ya pembe, ngozi au meno ya biashara. Kujiami ni case nyingine.
wengine wanakula nyoka mkuu ndo maana nikasema hizi imani ngumu sana!
ndio Ubuddha, Kshna Cosciousness, Taiosm Na Conficious