Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sababu za vegetarians kutokula nyama

Screenshot_20220209-155116.jpg
 
Habari mkuu Mshana Jr Nauliza, Eti, mtu ambae ameonewa na walimwengu (kurogwa), amepigwa kipande vichomi haviishi mwilini, anaweza kufungua Jicho la tatu (ili limsaidie kutatua changamoto zake?) kwa njia ya meditation ya pumzi? Au hadi akatibiwe kwanza akifanya hivyo bila kutibiwa ataongeza tatizo?
Au afanye tu hakuna madhara?
Ushauri mkuu.
 
Apollo nimeukubali mno uchambuzi wako umegusa maeneo mengi ambayo sikuyagusia suala na ENLIGHTMENT na EGOISM, ni mambo muhimu mno ambayo wengi hatuyajui lakini vile vile kuna CRAVING ambayo haiachani sana na EGOISM, vyote vinahusika na tamaa na uchoyo uliopitiliza
Every Need Got An Ego To Feed.......bob Marley
 
Habari mkuu Mshana Jr Nauliza, Eti, mtu ambae ameonewa na walimwengu (kurogwa), amepigwa kipande vichomi haviishi mwilini, anaweza kufungua Jicho la tatu (ili limsaidie kutatua changamoto zake?) kwa njia ya meditation ya pumzi? Au hadi akatibiwe kwanza akifanya hivyo bila kutibiwa ataongeza tatizo?
Au afanye tu hakuna madhara?
Ushauri mkuu.
Nitakurejea
 
Mwili ukiwa na wavamizi ni kheri kumaliza hilo tatizo kwanza kwakuwa litakunyima utulivu
 
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.

Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni.

1.Hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa

2. Hakuchinjwa kwa ajili yao.

3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe.

Hata mimea ni kiumbe Hai pia, mbona wanakula
 
3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe.
Nimeipenda hii, kila kiumbe ana haki ya kuishi.
Imeandikwa katika vitabu vitakatifu kuwa moja ya amri za Mungu alizopewa Musa ni "usiue" na haijataja usiue nini ikimaanisha kila kiumbe hakipaswi kuuawa, japo kuna mambo yanachanganya kwamfano Ibrahim alitaka kumchinja mwanae Isaka ili kumtoa sadaka ya kuteketezwa na ndpo Mungu akamsitisha na kumwambia chukua kondoo yule...

Kadhalika Yesu aliishi kwa kula mikate na samaki, je tunajifunza nini kuhusu kuua viumbe ambao tayari Mungu alisema "usiue"?
 
Mines sio viumbe unless hatujui nini maana ya kiumbe
Habari mkuu. Kuna mtu nilimsikia alisema kufanya meditation usiku ni hatari kwakuwa Kuna negative energies au roho chafu nyingi zikitangatanga. Ni sahihi kufanya usiku? Au hata usiku ni salama pia japokua usiku ndio kuna utulivu zaidi?
 
Mm nisipo kula nyama sijisiki vzr kbsa naona kbsa cjashiba je hili Ni tatizo mm Ni mmasai

Hata nikipata pande mbili tu inanitosha je yaweza kuwa tatizo
 
Muda wowote ni sahihi kikubwa upate penye utulivu, isiku mwingi haufai kwakuwa Naturally mwili unahitaji kupumzika
 
Mm nisipo kula nyama sijisiki vzr kbsa naona kbsa cjashiba je hili Ni tatizo mm Ni mmasai

Hata nikipata pande mbili tu inanitosha je yaweza kuwa tatizo
Tayari tangu kuzaliwa unakula nyama, kuacha inahitaji mchakato uliojaa maumivu
 
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.

Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuua mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni.

1.Hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa

2. Hakuchinjwa kwa ajili yao.

3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe.

Ninaweza kushindwa kuelezea kitaalamu sana lakini kiufupi, nyama ina vichocheo vinavyo tengeneza hasira Kwa mwanadamu au kiumbe chochote kinachokula nyama, Kuna kitu kama nyingi au sijui nini ambacho wanaweza kukielezea wataalamu, ukila nyama pamoja na kuipika vitu hivyo mwilini mwako huamka pole pole, na kutengeneza uhalisia mwilini kama mabadiliko ya mwili na akilini, hayo mabadiliko ndiyo au ule mtetemo wake ndiyo husababisha hata kuamsha hasira ya mwanadamu, akatukana... Akapigana au kufanya vitendo visivyo na uzuri Kwa wengine na kumkosea mwanadamu na MUNGU, hivyo basi kama mtu anajijua alizaliwa hata na chembe za mihemko mibaya basi anashauriwa asiongeze kabisa pia kula nyama maana itasababisha hivyo vichocheo kuongezeka na kutenda dhambi..

Tazama baadhi ya makabila ambayo yanakula nyama muda wote walivyo wagomvi au wanavyo weza kulipuka na ugomvi wakati wowote

Lakini pia naamini kula nyama kunasababisha na kuchangia Kwa %100 mateso ya kiumbe kingine hai. Lakini maelezo mengine ya wataalamu

Because when an animal is sacrificed it gets nervous, irritated, scared.

Because his body produces now substances.

Now the meat has adrenalnie and noradrenaline in it.

Now the meat has all the rage and all the animal’s feelings.

Yes you get angry because you have this in you now.

You also might be sensitive now to lower energetic vibrations from the meat which is something… dead… it has stagnant energy.

Your body now looks to ingest food products that have a bit of energy, such as freshly picked fruits and veggies.
 
Lakini pia naamini kula nyama kunasababisha na kuchangia Kwa %100 mateso ya kiumbe kingine hai

Ndio maana wachinjaji huwa na dua maalum kabla ya kumchinja mnyama
 
Apollo nimeukubali mno uchambuzi wako umegusa maeneo mengi ambayo sikuyagusia suala na ENLIGHTMENT na EGOISM, ni mambo muhimu mno ambayo wengi hatuyajui lakini vile vile kuna CRAVING ambayo haiachani sana na EGOISM, vyote vinahusika na tamaa na uchoyo uliopitiliza
Dah bro NONDO zako lazima niwe na dictionary karibu Vinginevyo naambulia patupu
 
Back
Top Bottom