ati Mbuzi katoliki ndo Mbuzi gani mkuu Au Yule MWENYE mafuta sanaaaa kwenye nyama yake???Hiyo sababu haina mshiko wala haiwezi kuhold watertight. Wewe nani kakwambia kuwa Miti au Mimea haina uhai? Na mimi Mpenzi wa Miti na Mimea nasema kuwa hewezi kuuwa miti na mimea na kuila kwasababu ya shibe lako. Tafuta kitu kingine ule kwa shibe yako na iache mimea yenye uhai iishi.
Hivyo basi, sababu wanazo tumia vegetarians eti kula Mbuzi Katoliki utakuwa umeua mnyama ni ileile naitumia kwa kusema KULA MAJANI, MIMEA nk UTAKUWA UMEA UHAI WA MAJANI/MIMEA/MITI etc.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]bulldog ale vegetables! huyo ni bullgoat
Gringob1780@gmail.com NA MIMI nitumie mkuuBuddhist haifungi mtu suala la ulazima wa kula nyama. Ila kutokula nyama ni part ya Karma cleaning. Kuwa mfuatiliaji mzuri na msomaji mzuri. Other things Google can tell you. Buddha na monks wengi hawali nyama. Nyama tangu traditions inakuaminiwa ni karma mbaya na haikupi enlightment. Sio kila kitu Google. Nipe email kama unataka nikupe PDF ya Maisha na safari za Buddhists.
Gringob1780@gmail.com NA MIMI nitumie mkuu
Namimi kaka netcombureau@gmail.comOkay, nitakutumia chief.
yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda
Gringob1780@gmail.com NA MIMI nitumie mkuu
Namimi kaka netcombureau@gmail.com
Mimea ina damu? Ina roho? Inachinjwa?Acheni wenda wazimu wa kusema kula nyama ni kutesa wanyama katika kuchinja ili upate shibe yako. Kumbuka hata unavyochuma majani, nayo pia yanakuwa yanataka uhai mpaka yatakapokufa yenyewe. Kimsingi kila kilichokuwa hai kinaishi, ndio maana hata kwenye Biblia Takatifu Mambo Ya Walawi 11 imejieleza kiunaga ubaga
Thanks mkuuDone wakuu! Apologies kwa kuchelewa kuituma.