Okay Sara ila kwa sasa sitaweza niko hoi ngoja nikipumzika akili ikipata nguvu mpya nitarejea.. Pia nadhani kuna mada zake tayari ngoja nione takutag kama zipoMshana hata hapa kwenye Inner self tunaomba ufafanuzi zaidi, na hili somo lingine la who am I? .kama utaweza pata nafasi ya kulifafanua zaidi, au kuliandalia somo kabisa
Asante
Angalau Wasabato wanafundisha sana kuhusu chakula, ila kama ulivyosema mengi yamakanisa yamejikita sana katika soulBahati mbaya imani zilizotangulia kuja Africa zimejenga "concervertism"miongoni mwa wanaozifuata kiasi cha kuogopa kujifunza nje ya box. Kimsingi Vegetarianism inasaidia body and soul ila imani zilizotangulia zime base kwenye soul zaidi.
Kweli tupu mkuuKaribu sana mkuu. Kupitia meditation na kuishi maisha ya ukweli na yenye reality utaona life katika perspective nyingine kabisa. It will change your life completely. Pia waweza kuangalia YouTube na kusoma vitabu mbalimbali. Hivi vitu sio dini, anyone can do it to connect them self with their heart and mind.
Welcome.
Mimi pia nikichemsha viazi, ndizi au mihogo huwa nakula na mayai ya ku bakeSijafanikiwa kuacha kula nyama kabisa lakini ni ships likizo ndefu bila nyama. Niweza kukaa wiki 4-6. Cravings zinaniangusha na siku nikila ninaweza kwenye oven na supu.
Kuna option nyingi sana kwa vegetarians, uwe yu mpishi mzuri. Kwa Tanzania kuna vyakula jamii ya kunde, mboga mchicha, majani ya kunde, majani ya maboga, kisamvu.
Vyakula vya mizizi kama viazi na mihogo unachemsha tu na kula na salad
Nitajaribu hii asante, salad ya tango, nyanya na parachichi na limao kwa mbali ni nzuri kulia ndizi za kijani zilizochemshwa.Mimi pia nikichemsha viazi, ndizi au mihogo huwa nakula na mayai ya ku bake
View attachment 677616 View attachment 677616
.
Ndiyo kwanza ametua na ungo mkuuMkuu uko hoi ulikuwa unafanya nini? 😱😱😱
Ukiamua toka rohoni mwako kuacha kila kitu kitokanacho na wanyama, basi hata maziwa ni kweli hutokunywa, Ila mimi nakunywa maziwa na nakula mayai pia.Kwa maana hiyo tusinywe hata maziwa...?
Hii ni nzuri sana kama upo busy unapika mala moja kwa week, then unawake kwa friji unakula wiki moja.Nitajaribu hii asante, salad ya tango, nyanya na parachichi na limao kwa mbali ni nzuri kulia ndizi za kijani zilizochemshwa.
Karma inarudi kama kawaKwa maelezo ya imani ya kirasta ina maana deadly prey kama mamba, chatu, simba, cheetah na fisi (to mention few) wanapoua hawa akina swala, nyumbu na zebra wanatenda makosa? Kwamba karma itawarudia or otherwise?