Botany ni somo ambalo hata mtoto wa primary atakwambia kuwa mimea inaishi na kuvuta hewa kama wanyama.
Pia ni wazi kwamba mlipaswa kumuuliza
mshana jr maswali mengi kabla ya kumpinga kuwa hana elimu na mada yake.
Vegetarian wanasababu nyingi za kutokula nyama ingawa yeye kaeleza chache sana.
Pia yapo mambo mengi kuhusu wanyama.
Je unafahamu watu wameditation wanazungumzia nini kuhusu nyama na uti wa mgongo ?.
Tazama uti wa mgongo wa binadamu ni tofauti na uti wa mgongo wa mnyama,uliwahi kujiuliza ni kwanini ?
Tazama maisha ya viumbe wala nyama,kwanini wanaishi maisha mafupi wakti wala nyasi wanaishi maisha marefu ?
Madoctor wanasemaje kuhusu digestion ya nyama,mnafikiri inafanyika kirahisi hivi ?