Sababu za vegetarians kutokula nyama

Wewe usiige tu..wahenga walishasema ukijichamba saana mwishoe utakamata NNYAAAA,,
ati kwanini tuwapige au kua wanyama..
Sasa simba anavomvizia nyumbu na akamla nae anadhambi???
Sikia wewe MWENYEZI MUNGU MUUMBA AMEUMBA KILA KITU BINAADAMU WANYAMA NA VIUMBE HAI WOOTE NA KILA ALIEMUUMBA KAMPAGIA RIZIKI YAKE..
UKIAMINI HIVYO BASI..SIMBA CHUI FISI WASINGEKULA NYAMA.
TUANZIE KWAKO KWANZA WE ULIPOZALIWA KABLA YAKUITA MAMA ULIITA NYAMAAAA,,,LEO UMEBALEGHE USHAJIONA MJAAANJA WA KUTOFAUTISHA MAMBO..
SASA JIULIZE HAYO MENO YA MWISHO(MAGEGO)ULIWEKEWA KWA AJILI YAKUTAFUNA MIWA AU??
 
Hello nice, Viumbe wote wanaokula majani Herbivorous kuanzia wanadamu na hata wanyama nafsi zao zina nguvu kubwa ya hisia ya rehema yaani they are good sensor of mercy to other creatures kuliko wale wanaokula nyama Carnivorous ambao nafsi zao ni tofauti kwani nafsi zao hazina nguvu ya rehema na haziogopi kurarua rejea wanyama kama simba,chui, fisi nk na hata jamii za wafugaji wanaokula nyama kwa wingi mfano wamaasai, wakurya, wameru,, wasukuma nk ni nadra sana kurehemu na hata nafsi zao kurarua viumbe wengine hata binadamu wenzao sio shida.
 
Mimea pia ina uhai,jaribuni kutafuta elimu msome,mmea wowote unaouona una uhai,kwa hiyo unapokula zao linalotokana na huo mmea,umekula kitu kinachotokana na kitu kilichokuwa hai
Kwa maana hiyo tusinywe hata maziwa...?
 
ni vizuri sana unapata piece of mind na unakuwa si mtu wa kukurupuka kwenye lolote na hata magonjwa yanakaa mbali nawe
Hahahah BROO KIUKWELI HAKUNA BINAADAMU ASIEPENDA NYAMA,
HAPO TUTADANGANYANA HAWA WANAEJITOA FAHAMU HUMU SIKU WAKIWA MAHARUSINI AU VILIONI WAKIKUTANA NA UBWABWA NA BINZ TU BILA NYAMA WANASEMA HAASA[emoji1]
KWELI KUNA NYAMA ZENYE MARADHI KWA MFANO UNAKULA MAKUKU YA KIZUNGU(BROILERS) YASIOONGEA HATA ENGLISH[emoji1] LADHA UTAIPATA WAPI..KIDALI KAMA SHINGO YA MBUNI[emoji1] ..
KWA DAR MAISHA YA DAR KUKU IKICHINJWA HATA NYONGO HAITUPWI[emoji1]...CKU MBUZI IKICHINJWA MWEWE WOOTE WANAHAMIA HAPO..
SASA LAZMA WATOE KASORO[emoji1] ..
WALIOTENGENEZA TOOTHPICK MUNGU ANAWAONA BANA[emoji1]
SIKU HIZI HATA MTU AKILA BINZ TU ATASHINDA NA KIJITI MDOMONI SIKU NZIMA,[emoji1]
 
Mi nadhani kula au kutokula ni uamuzi wa mtu,mi nakumbuka hata babu yangu alikuwa hali mboga za majani akisema haezi kula majani kama mbuzi!
 
Mimi sipendi kula nyama Lkn nakula kama hakuna mbadala na wala sina shida nayo Lkn kipaumbele changu sababu siipendi ladha ya nyama ilinikinai nilikula sana nikiwa Mdogo ikanikinai
 
Hivi mimea nayo si viumbe hai na kwa hiyo na yenyewe in karma? Vipi chui akila swala naye next reincarnation atakuwa swala ili aliwe na chui?
 
Wana huruma gani wakati wanawaua binadamu wenzao kule kisa Waislam.
 
Hapana ulaji wao unatofautiana sana na wa kwetu, kwanza mifugo yao inakula natural veg halafu hawakalangizi kama sisi, kisha wao nyama yao huchoma na kuchemsha wakichanganya na mizizi na hutibu mifugo yao kwa natural herbs
 
Kumbuka kuwa hata hiyo mimea ni viumbe hai,hivyo kwa imani zao bado hawajaepuka kutoa uhai wa viumbe.WANAUA MIMEA
Mmh mmea sio kiumbe... Kiumbe no kitu chenye roho
 
Ulikuwa na point nzuri sana as a GT ukaja kuharibu mwishoni as if kapost layman
 
Vipi wadudu waharibifu kama mende,inzi,viwavijeshi pia hamuwaui kwa sababu nyie vegetarian????
 
Kaka mshana huwa ninakuamini kuwa upo vizuri ila hapa UMEFELI .Kusema mimea sio viumbe! wakati mimea inaishi na pia inakufa,hivyo basi mimea ni kiumbe na pia inauhai
Je mimea ina roho? Kwanini basi tuseme viumbe hai na mimea?.. Inawezekana kabisa tunapishana kwenye tafsiri
 
Hivi mimea nayo si viumbe hai na kwa hiyo na yenyewe in karma? Vipi chui akila swala naye next reincarnation atakuwa swala ili aliwe na chui?
Ndio maana akaitwa chui anaishi kwenye karma yake
 
Mshana hata hapa kwenye Inner self tunaomba ufafanuzi zaidi, na hili somo lingine la who am I? .kama utaweza pata nafasi ya kulifafanua zaidi, au kuliandalia somo kabisa
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…