Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sababu za vegetarians kutokula nyama

Ni kweli kabisa Gautama alikulia katika familia tajiri sana yenye kila kitu asijue chembe ya maumivu ya binadamu ndio katika safari yake ya kusaka maumivu ya binadamu/ seaching for inner self, human suffering, chanzo chake suluhisho lake/cause n effect na jinsi ya kujikomboa kutoka minyororo ya ego craving nk hata kupata mwanga na furaha ya kweli/supreme happiness na mwishowe enlinghtment/kuangaziwa, ndipo akaacha yote kwa kuyaona si kitu bali vyote vimejaa tamaa na uharibifu wa mwili na roho.
 
Nimekuuliza yale mabutu/kipilipili kwenye "statue" zake zimewekwa kimakosa?
Usijeukasema mbele za wafuasi wa Buddha/Buddhism kwamba asili yake ni Ethiopia! Utapigwa mawe! Ndiyo maana niliandika ...."nothing good comes out of Africa"...

Hawa watu wanakataa ukweli lakini nenda kwenye statue za huyu mheshimiwa utakuwa karibu zote "pua" imegongwa! Ni bahati mbaya? Kwanini wamezigonga pua?

Mhh. Kile hakikuwa kipilipili ni dreads ndogo kutokana na kutochana nywele. Sina usemi zaidi mkuu.
Chukua hii quote....

" Prince Siddhartha Gautama, known as Buddha, a Dravidian, was born around 563 BCE among the Sakya people in Kapilavatthu now Lumini in the lowland Terai region of Nepal, dominated then by the Dravidian (Ethiopian) population. His features, including his thick lips, confirm his Dravidian origin. He gave India Buddhism"
 
Ni kweli kabisa Gautama alikulia katika familia tajiri sana yenye kila kitu asijue chembe ya maumivu ya binadamu ndio katika safari yake ya kusaka maumivu ya binadamu/ seaching for inner self, human suffering, chanzo chake suluhisho lake/cause n effect na jinsi ya kujikomboa kutoka minyororo ya ego craving nk hata kupata mwanga na furaha ya kweli/supreme happiness na mwishowe enlinghtment/kuangaziwa, ndipo akaacha yote kwa kuyaona si kitu bali vyote vimejaa tamaa na uharibifu wa mwili na roho.

Hii historia ilinigusa sana kwa kweli. Ni vigumu watu wa ulimwengu wa sasa kuishi hivyo. Watu wanategemea kuwa happy kwa magari, pesa, wanawake au wanaume, pombe, n.k. That's not the real happiness. Ndio maana watu huchukiana, huuana, hudanganya, hasira, visasi, matendo machafu ya zinaa, n.k.
 
Attachments

  • 1400415986507.jpg
    1400415986507.jpg
    71.8 KB · Views: 107
Nashukuru umekuja kwenye mstari...

Kile ni kipilipili na siyo vinginevyo! Leo hii hawakubali kwamba asili yake ni Ethiopia!

Dravidians ni jina walilopewa "blacks" huko nchini India baada ya kuvamiwa na "Aryan" na kuanzishwa kwa dini ya Hinduism.

Sikiliza/angalia zaidi hapa DR.VELU ANNAMALAI: AFRIKANS (the "Untouchables" "Dalits") IN INDIA - YouTube

India zamani ilikuwa inafahamika kama "Ethiopia ya Mashariki"

Mhh. Kile hakikuwa kipilipili ni dreads ndogo kutokana na kutochana nywele. Sina usemi zaidi mkuu.
Chukua hii quote....

" Prince Siddhartha Gautama, known as Buddha, a Dravidian, was born around 563 BCE among the Sakya people in Kapilavatthu now Lumini in the lowland Terai region of Nepal, dominated then by the Dravidian (Ethiopian) population. His features, including his thick lips, confirm his Dravidian origin. He gave India Buddhism"
 
Nashukuru umekuja kwenye mstari...

Kile ni kipilipili na siyo vinginevyo! Leo hii hawakubali kwamba asili yake ni Ethiopia!

Dravidians ni jina walilopewa "blacks" huko nchini India baada ya kuvamiwa na Ariyan na kuanzishwa kwa dini ya Hinduism. Sikiliza/angalia zaidi hapa DR.VELU ANNAMALAI: AFRIKANS (the "Untouchables" "Dalits") IN INDIA - YouTube

India zamani ilikuwa inafahamika kama "Ethiopia ya Mashariki"

Ahaaa. Kumbe ulitaka twende huko? Hapo nimekuelewa vyema. Asante mkuu. Hata wakipinga ukweli utabaki palepale. Nachofurahi ni kuwa Buddha hakufundisha ubaguzi wanaouleta wao. Thanks kwa link mkuu.

Hata Hinduism ililetwa na Waethiopia walioamia India katika shuguli za kibiashara. Same to Judaism ina root Afrika.
 
Mkuu unamidata aisee....
Kweli kujibu hoja kwa hoja ni raha na mada inaenda vizuri. Ubarikiwe sana na mshana jr pia. Tuendelee kujifunza zaidi. Hivi karibuni nimekuwa nikimfuatilia Louis X aka Farrakhan. Na yeye anamafundisho yake si vibaya kumsikiliza pia

Last edited by a moderator:

kupitia kwenu nimeongeza ufahamu wangu pia asanteni sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unamidata aisee....
Kweli kujibu hoja kwa hoja ni raha na mada inaenda vizuri. Ubarikiwe sana na mshana jr pia. Tuendelee kujifunza zaidi. Hivi karibuni nimekuwa nikimfuatilia Louis X aka Farrakhan. Na yeye anamafundisho yake si vibaya kumsikiliza pia

Mkuu nashukuru sana. Nimekuelewa vyema. Nitakutumia kwa email ileile. Kuna link moja ya African spirituality. Search Google utaona web ya mwanzomwanzo imeandikwa modernghana. Wamechambua mapungufu ya Imani za sasa na jinsi Afrika ilivyosaidia uwepo wa imani kubwa za sasa. Ndipo nilipojua Buddha ni asili ya Ethiopia.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, nimekuuliza kwanini "statue" zote za awali pua ya Buddha imegongwa kupoteza "shepu" ya pua? Je, zilidondoka kwa bahati mbaya?

Ahaaa. Kumbe ulitaka twende huko? Hapo nimekuelewa vyema. Asante mkuu. Hata wakipinga ukweli utabaki palepale. Nachofurahi ni kuwa Buddha hakufundisha ubaguzi wanaouleta wao. Thanks kwa link mkuu.

Hata Hinduism ililetwa na Waethiopia walioamia India katika shuguli za kibiashara. Same to Judaism ina root Afrika.
 
Kiongozi, nimekuuliza kwanini "statue" zote za awali pua ya Buddha imegongwa kupoteza "shepu" ya pua? Je, zilidondoka kwa bahati mbaya?

Hata za wamisri na wanubia zilivunjwa. Nadhani hizi generation za sasa zimehisika sana na upotoshaji. Ubaguzi wa rangi umezidi kuaribu elimu za kweli.
 
tunaweza kuchambua kuwa ni kwanini LOTUS FLOWER ni symbol muhimu kwenye imani ya Buddha, na kwanini as a Buddhist hutakiwi kuwa na uchaguzi kwenye chochote kuanzia kula kunywa na hata mavazi na malazi. kwa mfano chakula na chakunywa ni kwa ajili ya afya ya mwili na si ladha ya mdomoni, mbwembwe zote za mapishi na kukaanga kwingi ni kwa ajili tu ya kupata ile ladha nzuri mdomo na ulimi vitakavyopenda, refrain fron this habit, kwakuwa leo umepata kesho ukikosa je? roho itaanza kuumia na kusononeka, vivyo hivyo kwa mavazi nk. hatutakiwi kuwa na mind ya kumiliki kila kitu, kwakuwa in the realm of life nothing is perment
 
Mkuu nashukuru sana. Nimekuelewa vyema. Nitakutumia kwa email ileile. Kuna link moja ya African spirituality. Search Google utaona web ya mwanzomwanzo imeandikwa modernghana. Wamechambua mapungufu ya Imani za sasa na jinsi Afrika ilivyosaidia uwepo wa imani kubwa za sasa. Ndipo nilipojua Buddha ni asili ya Ethiopia.

wanajitahidi sana kuuwa kufisha na kupoteza kabisa historia ya Afrika kwenye mambo mema na mazuri, kwa mfano ni wachache mno wanaofahamu kuhusu makanisa ya kale mno yaliyokutwa na wazungu nchini Zimbabwe ukigoogle ancient zimbabwe nafikiri unaweza kukutana na hizo habari
 
Louis Farrakhan anasema; waafrika wangekuwa mbali sana leo hii. Wakati wazungu walipokuwa wanajificha kwenye mapango na kula miti na matunda....waafrika walikuwa wanalima, wanapika na kuishi kwenye nyumba. Anasema kilichotuponza sisi waafrika ni kwamba tuliegemea sana kwenye vikabila vidogovidogo (hatukuwa na umoja).

wanajitahidi sana kuuwa kufisha na kupoteza kabisa historia ya Afrika kwenye mambo mema na mazuri, kwa mfano ni wachache mno wanaofahamu kuhusu makanisa ya kale mno yaliyokutwa na wazungu nchini Zimbabwe ukigoogle ancient zimbabwe nafikiri unaweza kukutana na hizo habari
 
The lotus flower represents enlightenment described in the poem. The lotus has its roots in the mud, Grows up through the deep water, And rises to the surface. It blooms into perfect beauty and purity in the sunlight. It is like the mind unfolding to perfect joy
and wisdom. - Ni kama mfano wa kuigwa. Lotus ni mmea unaopata shida Kuota kwenye maji na matope, lakini ikishakua na kinyauka hata tope na maji havifikii ua lake.

Lotus pose unapomeditate, style hiyo ya kukaa inazuia damu kusambaa sana chini ya tumbo kwenda miguuni hivyo inasaidia umeng'enyaji wa chakula na damu kuwa kwenye ubongo ili uconcetrate. Pia style hiyo ya kukaa inabana neva za ufahamu chini ya spinal cord na kukusaidia kupata cuconcetrate kwa neva za kufikiria zaidi ya kuhisi. Pia inaunganisha Chakra ya mwisho (Root Chakra) na ardhi, hivyo huruhusu energy ya dunia kunyonywa na chakra ya chini(inapatikana mwishoni mwa spinal cord). Then energy hiyo husambaa kwenda kwenye chakra nyingine sita za juu na kukupa enlightment.
 
Attachments

  • 1400418863935.jpg
    1400418863935.jpg
    78.5 KB · Views: 112
Did you mean 543 BC?

Mhh. Kile hakikuwa kipilipili ni dreads ndogo kutokana na kutochana nywele. Sina usemi zaidi mkuu.
Chukua hii quote....

" Prince Siddhartha Gautama, known as Buddha, a Dravidian, was born around 563 BCE among the Sakya people in Kapilavatthu now Lumini in the lowland Terai region of Nepal, dominated then by the Dravidian (Ethiopian) population. His features, including his thick lips, confirm his Dravidian origin. He gave India Buddhism"
 
yeah lotus flower ni alama ya uamsho mpya na kuangaziwa, kutoka kwenye utusitusi na minyororo ya maisha ya kidunia, kufunguliwa toka shimo la giza nene na kupata mwanga mpya! ref. PLATO: Myth Of The Cave, kama lotus flower lichomokavyo toka kwenye dimbwi la matope na uchafu wote nakushine nje likiwa so pure, ndio dhana hiyo hiyo ya mtu kujitambua na kuingia maisha mapya ya enlightment
 
Back
Top Bottom