Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sababu za vegetarians kutokula nyama

Hata mimea Ina haki ya kuishi kwani ndio inayotupatia hewa ya oxygen, wasile kitu chochote wanywe maji tu.

Mkuu Imani hupumbaza sana tabidi wasile viumbe hair vyote including mimea wawe wanakula mawe/tofali kwa maji everyday....c wana huruma na viumbe hai
 
kiukweli napenda kubadili maisha yangu kwenye mcingi huu..

ctaki kula nyama, kunywa pombe, kuendekeza anasa tena....

napenda kufanya meditation ingawa inanipa wakati mgumu kiukweli nahitaji mwalimu anielekeze

katika hili...

note: mi naishi Lushoto-Tanga hivyo kuhudhuria temple huko Dar ni ngumu xo I need altenative...

Kama una access na internet uki google the process of meditation utapata vitu vingi na pia ukisoma vitabu vya Lobsang Rampa na Swami shrivunanda "the complete book of yoga" kitakufundisha vitu vingi
 
Hao vegans wanafanya ngono?? Au kwa ajili ya kuzaliana tu?

Ngono ni kiambishi cha toshelezo la tamaa za kimwili ambazo huletwa na hisia za matamanio ambazo hazina uhusiano kabisa na vegans
 
Apollo nimeukubali mno uchambuzi wako umegusa maeneo mengi ambayo sikuyagusia suala na ENLIGHTMENT na EGOISM, ni mambo muhimu mno ambayo wengi hatuyajui lakini vile vile kuna CRAVING ambayo haiachani sana na EGOISM, vyote vinahusika na tamaa na uchoyo uliopitiliza
Huli nyama we nyumbu?
Nature connection! Mbona simba anakula swala humuulizi? Akizidiwa anakula Nyasi.
Mungu mwenyewe anakula nyama, we nenda katoe sadaka mpunga wako uache kondoo uonea kama dhabihu yako ataipokea!
 
Naombeni msaada jinsi ya kujifunza kumeditate...nataka nianze asap.ila.ndo sijui naanzaje anzaje.pls assist
 
kuna kundi linaitwa the path au lifewave tanzania...ukienda utafunzwa mengi kuhusu medidation...elightment nk
 
mshana jr vipi unafahamu Path Society ?.
Somo lako la leo limenikumbusha kitu kidogo chenye uhusiano fulani chenye mahusiano fulani na ulaji nyama na mfumo wa meno ya binadamu.
Ukitazama mfumo wa meno ya wanyama wala nyama maarufu kama carnivores Utagundua ni tofauti na wanyama walao manyani na wakt huo huo mfumo wa meno ya wanyama walao majani ni sawa sawa na mfumo wa meno ya binadamu.
Pia nyama imekuwa na madhara mengi kwa binadamu na nishashuhudia mara kadhaa watu au mtu akizuiliwa kula nyama na siyo mbogamboga.
Sivyo hvyo tu,bali pia hata watu waliofanya martial arts kwa undani watakwambia kuwa nyama inamfanya m2 kuwa na mwili mzito.
Hata kwa m2 anaefanya meditation atakuwa na majibu kwamba meditation inakuwa nzito pale m2 anapokula nyama.
Itafika muda masomo haya yataeleweka tu vizuri ingawa kwa sasa wengi tunapenda nyama ndio maana hatuamini kuhusu vegetarian,yuko wapi Rakims ?
Au mshana jr unafahamu mahali halipo huyu Rakims au ndo amekataa tamaa kufundisha,ila naamini meditation humfanya m2 kuwa mvumilivu.
 
Last edited by a moderator:
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.

Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni

1.hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa

2. Hakuchinjwa kwa ajili yao

3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe

Mkuu nijuavyo mie ni kuwa hata mimea ina uhai kamanda, sababu hapa yaweza kuwa ni ya kisayansi zaidi au vinginevyo. Biblia mahali fulani inasema " msile nyama yenye damu maana katika damu kuna uhai" maana yake muoshe na mchome au mpike damu iteketee kwanza ndipo mle. Sibishi ila nataka nijue ukweli usio na mashaka.
 
nzuri hata mimea inauhai na DNA kama binadamu au wanyama wengine lakin mara zote vegetarian wanadeal na viumbe wenye damu na mazao yao kama kuku na mayai.
Pia wanatazama viumbe wenye uti wa mgongo,damu pia ndio maana hzo hzo dini (kama uislamu umekataza matumizi ya damu <kisusio> kwa watu wanaoi2mia kama chakula)
tazama pia ulaji wa nyama isoiva vizuri umekatazwa hata na madaktari lakin siyo mboga za majani na mazao yake.
 
Apollo nimeitafuta sana hii post, kuna mengi Nimejifunza toka kwako

Asante sana, ni post ya zamani lakini bado ina umuhimu sana kwa watu kutoa michango yao. Pia ningependa kusikia hatua za wengi katika kuishi kama vegetarians na nini kiliwahamasisha. Napenda sana kuona watu wakitafakari mambo ya maisha na kushirikiana katika kuangaza.

Asante sana. Endelea kufundisha na kutoa mafunzo mema.
 
Mafundisho mengi ya Buddha Yana quotes nyingi za Bible na wanamtaja Yesu kristo kama enlighten being

Hapana, Buddha alikwepo zaidi ya miaka 550 kabla ya Yesu. Lakini ni sahihi kusema Yesu alikuwa anatumia mafundisho mengi ambayo hata Budha aliyafundisha. Kwani kipindi cha baada ya Buddha mafundisho yake yaliwekwa katika nchi nyingi kama msingi wa mafunzo ya maisha na wengi walikuwa wanafahamu, sio imani wala dini bali ni falsafa.
 
Hapa nazungumzia wale ambao hawali nyama kiimani na si wale ambao hawali kwasababu za kiafya tofauti na ukristo na uislam, dini kama buddhism, krishna nk wanaamini sana katika karma ya kila kiumbe na uwepo wake katika uso wa dunia, kwamba bata, mbuzi, samaki, punda na chochote chenye uhai kuna sababu maalum ya kuwa hivyo kilivyo.

Kwahiyo huwezi kutoa uhai wake kwa ajili ya shibe yako, utakuwa unajitengenezea karma mbaya, yani leo ukimuu mnyama ukala nyama yake next reincarnation yeye atazaliwa binadamu na wewe mnyama halafu atatenda kama wewe ulivyotenda imani hii imezama mno mioyoni mwao kiasi kwamba ni ngumu mno kuwakuta wanakula nyama. Kuna mazingira ambayo yanaweza kuwafanya wale nyama nayo ni

1.hawakushuhudia mnyama akichinjwa/akiuliwa

2. Hakuchinjwa kwa ajili yao

3. Isiwe ni nyama kwa ajili ya biashara, hapo anaweza kula na karma isimdhuru kila imani ina uchizi wake, kuna mavegetarian ambao kwa compassion kwa viumbe hufagia kabla ya kukanyaga ili wasiwadhuru viumbe
Ninahakika hao elimu zimewapitia pembeni,hawafahamu kama mimea pia ina uhai,ni 'living things' kama kiumbe kingine chochote.
 
mi nimesoma kidogo imani za kibuda na hata zile five prisets(sheria)/misingi yao,nilichokiamini na kikuibwa mno ni kwamba mtu asiekula kitu chenye roho mara nyingi huwa na huruma sana, na hata hawa jamaa wana msingi mzuri sana ktk dini yao, huu uislam na ukristu mbwembwe nyingi mno
Mimea pia ina uhai,jaribuni kutafuta elimu msome,mmea wowote unaouona una uhai,kwa hiyo unapokula zao linalotokana na huo mmea,umekula kitu kinachotokana na kitu kilichokuwa hai
 
Hata mimea Ina haki ya kuishi kwani ndio inayotupatia hewa ya oxygen, wasile kitu chochote wanywe maji tu.
Ni kukosa elimu,anakataa kula chenye uhai kimoja,kingine anakula,kutokuwa na elimu ni tatizo.
 
Back
Top Bottom