Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Duuuuuuh!nimemaliza kuusoma mpambano ila Engineer sijamuona kabisanahisi kajificha chini ya uvungu wa kitanda anasoma comments tu.Ila asije tu kutuvamia sie wanyonge na kutushambulia kisa tumecomment humu
 
vijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.

huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.

sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.

kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
Who cares
 
yeah ni kweli, asije pata kipigo cha mbwa koko
You don't want it with me ho, you hear me? You don't want it with me.



Consider yourself

Fairly warned, I'm barely warmed
I'm rarely scorned, but don't get that prone
I project that cone, trigonometry domed
Triangulation zone, strangulation honed
It's a long way home, and you're all alone
I'll break your bones, without sticks or stones
And ain't one of your everyday clowning clones
Next, squarely burned, you girly worm
I'll turn, kick a style that's unborn
Til you're gone, they beg me "leave that azz alone"
Screw it, provocation, I knew it
Me? I don't do it, I overdo it
Kiranga tsunami, not mon-ami, one man army
Some calm me, I slug you just to keep the heat balmy
Eco-bar shit, Escobar spits, try harm me
Jiu-jitsu moves over this smooth groove
To soothe, these Sun-Tzu Kung-Fu hooves
I rhyme artfully, slime factfully
I chime for coolies and nick and dime fat bullies
You blew it, I slew it, got your ass chewed
I cut the flesh, take the blood, over-Shylock, Jew it
Til you confess, I'm your dad, murderous, Chi-Raq sew it
You sewage, manure, poo-poo, bowels
I spit on your face, coocoo, while dropping jewels
Just because I chose to chill, that doesn't mean I can't kill
For thrill, you ain't done the needed drill, ain't paid your bills
I will smother you to smithereens, gang on you to gangrene
To the chagrin of the gong of Mandarins
You green bean, take a punch to the chin
Test the rocket launcher, think you're smart don'tcha?
Those kids who fought ya, pussy that's mocha
I dismember your pinky with a nuclear fetish that's kinky
Then throw you in the dingy make a search party go stingy
Your horror will be thorough before tomorrow
I rep the five boroughs, the Wu meets Zorro
I blast ya, harass ya, fingerfuck, crass yaah
Crush ya, crash ya, blood clot raas ya...
 
Last edited:
Kaka huwezi kuelewa bila kukariri/kuhifadhi.

Tatizo tamko kukremu/kukariri/kuhifadhi hutumika vibaya na hapo ndio kuna matatizo.

Tulio wengi tulitumiapo tamko hili huwa tunalipa maana au hali ya uoungufu yaani dosari.

Kwa ufupi katika elimu kukariri/kuhifadhi na ndugu wawili mmoja hasimami bila ya mwingine.
Napingana na point yako. Ukikrem ni rahis sana kusahau kuliko ukielewa. Wakati niko chuo, kuelewa kitu kuliniokoa sana maana nikielewa kusahau ni ngumu kuliko kukremu.

Nikikrem lazima nisahau tu haina namna
 
Humble African ukweli ni kwamba, kwa nchi za Kiafrika elimu si kigezo kikubwa sana katika kufanikiwa. Wengi tunao ona wamefanikiwa ambao ni waajiriwa wa serikali sio kipato chao halali zaidi ya Rushwa na ufisadi.

Mimi Babu yangu alikuja mjini na kujenga nyumba 4, akamwachia mzee mbili na mzee mdogo mbili.

Huwa nafikiria mzee kama yule alikuwa hata kusoma hajui aliwezaje kuwa na akili ya kuwekeza hivi? Lkn leo mtumishi wa serikali anaweza kustaafu bila kuwa na chochote.

Nilichogundua ni kwamba, maisha ya Tz haitaji kuwa na elim kubwa kutusua. Elim kubwa inaongeza uoga,. Kuna viashara ndogondogo unaziona kabisa zina ela, ila unashindwa kufanya kwakua unaogopa jamii itakushangaa kisa usomi wako.
 
Kutambishiana ulichosomea siku hizi sijui kama Ina make sense
Kabisa bro nowadays Wale wasiosoma ndo wanaomiliki kila kitu na ndio waliofanikiwa kwa namna moja au nyengine. Pia kwa huku kwetu Tunaita Zanzibar1 nlosoma nao wengi wao walipta scholarship na saiv wako nchi mbali wakisoma huko.
 
Mi namjua jamaa mmoja bright sana, kalipa ada form one tu ila kuanzia form two hadi anamaliza form 6 anapiga scholarship tu, hadi chuo kaenda kupigia marekani, sahv ni economist hukohuko marekani, amennua hadi boti ya kupigia masafa huko baharini, anaishi hukohuko anarudi tu kwa likizo dar, so sio lazima T.O au bright mind zifeli, ni channel tu km huna channel nzuri utaanguka na maubongo yako
 
Asante. Asante sana.
You have elaborated to her very precisely. If she (Hambo Afrikan) won't understand this, then she wants something hidden. Tell her to call me.
Absolutely unajua binafsi mimi sikuwahi kua mwenye uwezo saaaaana ila nachojua O level nilipata kijiti. Na A level nilipata kijiti cha PCB .

Sasa utajiuliza mafanikio yangu niyapi?? Aisee ukweli nikwamba Toka nikiwa mdogo nilikua nikitaman kuja kua MD yaan hii kitu ndio ilikua sehem ya fanikio langu kubwa yaan just feel proud kua nilivyo na raha yangu zaidi ni kuona Jamii inanufaika kwa elimu yangu .

Hayo ndio mafanikio yangu ya kimaisha wala sijawah kuota kua Kama akina Mengi, Manji ,Bakhresa n.k sana sana nataka kurekebisha vitu baadhi kwa ajili ya " mke na wanangu wajao" basiiii. !!

Sasa wote tukiwa maboss nani atamsaidia mwenzake ??

We earn money to be happy
We fall in relationship to be happy

Tumekua vile tulivyo so that to be Happy.

Hivo kwangu mimi HAPPINESS ndio kila kitu
 
Sasa wana haja gani ya kuwa MaTO na kuja kutusumbua hapa jamii forum kama na wao wanapunguza kidogo tu ukali wa Maisha kwa kujenga Nyumba na kununua Passo old model?

Nina mshkaji wangu alikuwa kwenye tano bora kitaifa wakati tunamaliza O-level akakamua hadi akawa dokta pale Bugando ajabu alikuwa ananivizia nikitaka kwenda kwenye mitkasi yangu town aniombe lift kwenye ki Raum changu old model those days....!

Mkuu Kubali huu ukweli mchungu kwamba the more mtu anavyozidi kuwa academically successful ndio ujue anazidi kuwa economically disabled and trapped and pissed off.

period!
Hiyo paragraph yako ya mwisho ni uongo, mi sina takwimu za walio successful kielimu wakawa miserable mtaani. Labda wajitakie tu wenyewe, ila kila nayemjua mimi aliyekuwa very good kiacademically yuko very good kimaisha,
 
Back
Top Bottom