Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

Ila kadoda11 wewe ni kiboko yaani umemdhibiti yule ndugu yake na shetani ipasavyo.

Nakutunuku hati ya udhibiti wa kijeshi na kipolisi uliotukuka. Asanteni!
shukrani sana. ila kwa huzuni kubwa naomba niachane na thread hii.

nimetumiwa PM na baadhi ya wadau wangu ninaoheshimiana nao sana kule KenyaForum.

wameniomba nisiendelee kukomenti. asanteni kwa ushirikiano wenu.
 
Lengo la huu Uzi ulikuwa ni Mimi na mtani wangu wa muda mrefu engineer majalala kubadilishana uzoefu na kupima uwezo kitaaluma ila mkuu mmoja kahuaribu kwa kudandia treni kwa mbele na mtani wangu kunikimbia na kuingia mitini jumla hivyo mission yangu haijafanikiwa kwa uzuri wa kutosha.

Wewe CCNP Engineer mpambano bado haujaisha nitakufuata hata huko saloon unakozoaga nywele au kwa mhindi kwa wale jamaa zako wenye mavitovu kama lile la kutafuta stesheni ya redio Mbao za zamani.

Msukule mwenzangu wewe.
 
we jamaa bana kwa mbwembwe...

hapo kwenye hilo neno ''schadenfreude'' ingetosha tu kama ungeandika kwa meneno common ya kingereza kama excitement au joy.

lakini ukaamua utafute neno ambalo sio common kwenye mazungumzo ya lugha ya kingereza ili tu uonekane unajua sana kingereza.smh
Anamfukuzia d.c lzm ajitambe na kuonyesha manjonjo
 
Nakuona unatafuta huruma ya hadhira.... Ahahaha!! Yaani wewe unavyo mmock God Leo ulidhani wote tunaenjoy lakini mbona tunakaaga kimya na kukuacha umalizane nae Leo Mimi kummock mtani wangu wewe imekuuma sana? Acha unafiki asiempenda Mungu asie muona hawezi kumpenda anaemuona.

Go home kiranga you are drunk.
Kiranga
 
Nashukuru umeninyooshea engineer uchwara kwa kujitapa na AAA wakt kina mark aliacha Harvard akaanzsha Facebook. Now wa tatu kwa utajiri duniani. Japo now yupo kwenye misukosuko, AAA bila hela ni bora CCC zenye mkwanja
 
Back
Top Bottom