Sababu kwanini Upinzani hawafanikiwi kuwa na umoja!

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Kwanini umoja wa Kisiasa kwa upinzani hauwezi kufanikiwa Tanzania;

1. Vyama vyenye nguvu hutumia nafasi kujiimarisha na vingine kudhohofika rejea umoja wa UKAWA (CHADEMA ilikuwa na NCCR ikafa) kosa hili haliwezi kujirudia milele.

2. Ukiukwaji wa makusudi wa makubaliano ya ushirikiano hata wakiingia makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja na kuachiana majimbo ya uchaguzi kuna chama kitavuruga utaratibu.

3. Ufanyaji wa mambo kiholela (Kushindwa kukubaliana kanuni za uendeshaji wa umoja huo wa kisiasa kamwe hawawezi kusimamia kanuni zao wenyewe)

4. Uwepo kwa migogoro baina ya chama na chama, rejea sababu za CHADEMA kutokushiriki mkutano wa vyama vya siasa.

5. Wanachama kutoka CCM hupewa nafasi kubwa kuliko viongozi wa upinzani. Wapinzani wanawasubiria watakaotemwa wawapokee.

6. Hawataweza kuunda timu ya kampeni ya pamoja itakayogharamiwa na umoja huo na kutafuta Pesa pamoja. sababu hawana hulka ya kuweka wazi mapato na matumizi.

7. kutokujali Muungano CHADEMA haijali Zanzibar na ACT haijali Bara.

8. Kukosekana kwa umoja kwa wanachama na wanaharakati kila mmoja anajiona ni bora zaidi ya mwingine ngumu sana mwanachama wa CUF kukaa meza moja na Mwanachadema.

9. Upinzani wa Tanzania umejengwa kwa njia za hila, ubinafsi na ulaghai ni ngumu kuitoa CCM madarakani kwa njia hizi.

10. Kuzungukana, chama kimoja kujiona special kuliko wengine mfano CHADEMA wana amini wao ndiyo sauti ya mabadiliko.

IMG_8350.jpg
 
View attachment 2770312
NCCR iliuwawa na Mbatia kwa kurubuniwa na yule mwovu. Alikubali kutumika kuihujumu Chadema kwa kuahidiwa kupewa wabunge 20 kwenye uchaguzi wa 2020 na kuifanya NCCR kuwa chama kikuu cha upinzani na yeye Mbatia kuwa KUB.
 
Back
Top Bottom