Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,399
- 105,971
Nilitabiri hiliKiranga Mh kwa heshima uliyo nayo jf tafadhal jibu japo hoja chache za kadoda11
Nilitabiri hiliKiranga Mh kwa heshima uliyo nayo jf tafadhal jibu japo hoja chache za kadoda11
Achana na haya mkuu tafadhal nakuombaNilitabiri hili
Who caresvijana mliosoma shule za kajambanani mnashida sana.
huu ujinga mnaojadili hapa hauwezi kuuta unajadiliwa na sisi kaka zenu tuliosoma international school of tanganyika au wadogo zetu waliosoma feza boys.
sisi tukikutana huwa tunapeana updates za investment na miradi mbalimbali tuliyoianzisha ambayo inalipa kodi serikalini na kutoa ajira kwa maelfu ya watanzania.
kati ya alumni wenzangu wa IST ni yusuf bakhresa na mohamed dewji.
Ila we jamaa unajua sana kumwaga mchanga juu ya mikono yako "wa kulia na kushoto"Kiranga Mh kwa heshima uliyo nayo jf tafadhal jibu japo hoja chache za kadoda11
yeah ni kweli, asije pata kipigo cha mbwa kokoAchana na haya mkuu tafadhal nakuomba
You don't want it with me ho, you hear me? You don't want it with me.yeah ni kweli, asije pata kipigo cha mbwa koko
Napingana na point yako. Ukikrem ni rahis sana kusahau kuliko ukielewa. Wakati niko chuo, kuelewa kitu kuliniokoa sana maana nikielewa kusahau ni ngumu kuliko kukremu.Kaka huwezi kuelewa bila kukariri/kuhifadhi.
Tatizo tamko kukremu/kukariri/kuhifadhi hutumika vibaya na hapo ndio kuna matatizo.
Tulio wengi tulitumiapo tamko hili huwa tunalipa maana au hali ya uoungufu yaani dosari.
Kwa ufupi katika elimu kukariri/kuhifadhi na ndugu wawili mmoja hasimami bila ya mwingine.
Abeeeeeh
Hahahah nimecheka kifalaanother nshomile in town?
Engineer alijua maisha ni shule tu, kumbe huku mtaani inahitaji elimu ndogo tu kutusua.Its simple unaandika alama hii hapa @ then linafuata jina lote la mhusika
Mfano General Mangi njoo umuone engineer anaebet na kuzoa nywele saluni.
Kabisa bro nowadays Wale wasiosoma ndo wanaomiliki kila kitu na ndio waliofanikiwa kwa namna moja au nyengine. Pia kwa huku kwetu Tunaita Zanzibar1 nlosoma nao wengi wao walipta scholarship na saiv wako nchi mbali wakisoma huko.Kutambishiana ulichosomea siku hizi sijui kama Ina make sense
MhhhhAsante. Asante sana.
You have elaborated to her very precisely. If she (Hambo Afrikan) won't understand this, then she wants something hidden. Tell her to call me.
Absolutely unajua binafsi mimi sikuwahi kua mwenye uwezo saaaaana ila nachojua O level nilipata kijiti. Na A level nilipata kijiti cha PCB .Asante. Asante sana.
You have elaborated to her very precisely. If she (Hambo Afrikan) won't understand this, then she wants something hidden. Tell her to call me.
Hiyo paragraph yako ya mwisho ni uongo, mi sina takwimu za walio successful kielimu wakawa miserable mtaani. Labda wajitakie tu wenyewe, ila kila nayemjua mimi aliyekuwa very good kiacademically yuko very good kimaisha,Sasa wana haja gani ya kuwa MaTO na kuja kutusumbua hapa jamii forum kama na wao wanapunguza kidogo tu ukali wa Maisha kwa kujenga Nyumba na kununua Passo old model?
Nina mshkaji wangu alikuwa kwenye tano bora kitaifa wakati tunamaliza O-level akakamua hadi akawa dokta pale Bugando ajabu alikuwa ananivizia nikitaka kwenda kwenye mitkasi yangu town aniombe lift kwenye ki Raum changu old model those days....!
Mkuu Kubali huu ukweli mchungu kwamba the more mtu anavyozidi kuwa academically successful ndio ujue anazidi kuwa economically disabled and trapped and pissed off.
period!
Kama uliweza kutabiri hili pasipo unaweza kutabir mengine ebu tabiri kuhusu ccm ijayo?Nilitabiri hili