Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?


Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Siku nzuri wakuu!

Watasha wanasema "learning is the continuous process from cradle to grave" kujifunza ni kitendo cha kuanzia unazaliwa hadi unakufa..hakikomi..Leo tujifunze hiki kinachowasibu jamaa Tanzania one hawa a.k.a "John kisomo" au "somasoma jinsi wanavovurugwa na maisha kuliko sisi akina Ngumbaru.

Kila kitu kina haja ya kufanyika kwa wastani kikizidi ni tatizo..too much of anything is harmful. Hata Akili zikizidi sana huwa inakuwa tatizo kwa sababu mhusika anavuka kwenye akili ya kawaida na kuingia kwenye wehu na ukichaa kutokana kwamba anakuwa sio normal tena bali ni abnormal.. Ingia hapa nilifafanua zaidi juu yao kwa kina Hii ndio sababu Magenius hawawezi kuwa matapeli

Kwa ishu ya hawa magenius na wale highly intelligent people wao wanakuwaga na matatizo haya hapa; wako hivi;

Mwanzoni kabisa Walipokua wanasoma huko Mzumbe, Mazengo, na kutandika mamisonge non stop huku sisi tukitandika mafafa aka fatuma waliamini kwamba wao ni special and noble people e.t.c walijua watafanikiwa kwa ubwete after school, waliamini kabisa watapata kazi nzuri, Mkwanja mrefu, Mama chanja chuma sana, e.t.c unfortunately baada ya masomo sasa wakiingia mtaani wanakutana na maisha magumu kama ugoko wa anko halfan Ngasa yasiyo tambua kabisa +AAA. Then wakiona matarajio yao hayajakamilika hapo ndipo wanapojikana, kujihukumu na kujishambulia wenyewe... Na wana jaribu kutafuta option nyingine ya kutusua maisha kiwepesi hapa ndipo unaposikia engineer aliekuwa Tanzania one O-level hadi chuo kikuuu anabet kwa Mhindi na masela ambao wasio na vision wala mission wenye ngeu za kutosha usoni, wakiwa vifua wazi vitovu vikubwa kama lile lisehemu la kutafutia stesheni kwenye redio Mbao za zamani hakudhani kama atakutana na watu kama hawa maishani hapa anazidi kuvurugwa na kuwa psycho na violent person bila sababu yeyote ile yaani ukimsemesha tu anakuattack on spot kama hayawani vile..!

Wako violent na depressed sana sababu wanaona wale mamgumbaru waliopata fatuma saba O-level ndio wanapata nafasi nyeti serikalini za uongozi ilhali wao wakijitahidi sana wanakuwa ma engineer wa kurepair vyoo vya serikali na halmashauri maana ma engineer wa madaraja na majengo nyeti ni macho madogo ndugu zake na Jackie Chan toka uchina.

Huwa hawawezi kutengeneza marafiki kihurahisi sababu ubongo wao unafikiri kitu kimoja pekee, masomo yao magumu tu... Na kitaalamu ni wagonjwa wa autism na bipolar disorder inayowalazimu wawe alone and sad with deep concentration... Lakini hapo hapo akitokea mtu mwenye maneno au Maandishi matamu ya kitapeli wanawahi sana kuelekea kibra maana ubongo wao umechoka kusikia na kujadili vitu vigumu muda mwingi hivyo wanahitaji kusikia na kusoma vitamu na vyepesi ili Ku easy mind zao. Sasa kuna genius mmoja wa Engineering TO nguli huyu alisikia ishu za Forex zikiwa ziko sugarcoated na maneno matamu ya kibazazi akaingia mzima hawakumchelewesha wakampa na special desk la kutredia pale pale ofisini ili wazae nae vizuri. Kilichotokea hadi Leo hana hamu. Nikajitosa kumuokoa maana nilisanuka mapema nikampa maneno machungu yasiyo ya kitapeli very raw and undigested jinsi anavyochakatwa.. Kama ilivyo kawaida neno lenye ukweli huwa halina utamu na neno lenye fiksi huwa tamu sana kama alivyosema Fid Q. Kuanzia siku hiyo ananiita mnafiki...(LINAFIKI). Ahahaha!

Maisha ndivyo yalivyo wenye akili wamelaaniwa na akili zao wenyewe na zimegeuka kuwa ghost kwao badala ya msaada maana wamejifunza elimu ya darasani na kuacha elimu muhimu kuliko zote Duniani.. Elimu ya mtaani ndio maana wanapanga foleni Wasafi record wakiomba nafasi ya kuwa wakala wa kuuza karanga kwa mtu ambae haijui A+ ya darasani ikoje.

Lakini ndivyo inavyokuwaga maana magenius na intelligent wengi hata kuoa hawakuoa na wengi waliishia kujiua ili kukwepa ile solid depression and killer anxiety ya intensity ya kuyasaka maisha mazuri bila mafanikio. rejea ishu ya Vincent Van Gogh, Michelangelo, Da Vinci, Newton, e.t.c...sijui wewe unawasaidiaje? Kwa upande wangu nawapa suicide help line ya USA hii +1 37478494366361 kwa msaada zaidi yakiwafika na kutaka kujitoa uhai, USA wanasaidia saana nikiwapa ya bongo haitawasaidia maana sio professional. Ahahaha! Na ninasisitiza siwaonei donge kwa ufaulu wao mkubwa bali kutokana na huu msemo wa kiingereza unaosisitiza kwamba "ignorance is bliss" kuna raha flani hivi sometimes kwenye kuwa na akili ya kawaida tunapata muda wa kutosha wa kufikiri kwa amani na Uhuru bila kuchosha ubongo na yale MaQuantum physics na hatimae tukahangaishwe na maisha tena.

Niko kwenye traffic jam nimeona nikavurumushe haka kasomo maana nimevurumushiwa na Mimi kabomu huko. No fight tonight tunaelimishana tu kwa facts in issue.

Bring it on!.


************* DECLARATION **************

Ndugu zangu!

Huyu mjinga mmoja amenifanya hadi Nika generalize wasomi wote hadi MaTO maana na yeye anakariri alikuwa TO.

I would like to apologize kwa wasomi wote niliowakwaza sababu ya huyu mjambaji mmoja wa kwenye madaladala. Please forgive me... I didn't directly mean to hurt you emotionally and psychologically.

Blame on CCNP Engineer he provoked me.
 

Attachments:

Last edited:
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
246
Likes
277
Points
80
Brown Kwacha

Brown Kwacha

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
246 277 80
Kufanikiwa ni suala mtambuka. Ni pana saana.

nita-assume unamaanisha mafanikio ya MaTO kutumia akili au maarifa walionayo kuleta matokeo chanya kwa jamii..kama walivyofanya Newton na Eistein.

Ok, Kinachofanya mtu afanikiwe kwanza sio Degree, kusoma chuo kikubwa, akili darasani au kufanya kazi saana.

bali ni Muunganiko wa uthubutu wa kuendelea kufanya jambo, hamu ya mafanikio na ujasiri.
 
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Somebody tag ccnp engineering sijui cnnp engineering aje hapa mpambano mkali sana huu,hawa watu wawili watani wa jadi wananfurahishaga kwelikweli
Huyu bwege nammudu vizuri sana...yaani huyu bwege ni boya hadi alifeli blood test hawezi kuargue na mind ya mtaa...Ahahaha!

Bring it on engineer majalala!

Nice to see you amu
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
14,573
Likes
15,065
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
14,573 15,065 280
Nimeamua kuja kuzaa nae huku kumbe umeona ngosha huyu dogo hajui sisi wa HKL ndio successful...! Ahahaha!!
Itakuwa hajui mimi mwenyewe kanifokea kule ananiambia nyuz za kijinga jinga nikuachie wewe na wale jamaa aliowatag
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,128
Likes
11,277
Points
280
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,128 11,277 280
CCNP Engineer Humble African anakuita huku....

Ifike mahali kila mmoja kati yenu aweke screenshot ya salio la bank maana mpambano huu hautoisha bila mmoja wenu kukubali kushindwa.....

Nahisi salio la account lipanguza makali ya huu mpambano.....
 
Last edited:
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
2,894
Likes
6,280
Points
280
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
2,894 6,280 280
Mkuu ma TO gani unaowaongelea wewe wanaobet??
Maana mimi nina mfano wa ma TO ninaowajua wana maisha mazuri tu..

Ni kweli hawawezi kutoboa kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa lakini pesa za kubadirisha magari na kujenga nyumba kali hawakosi..

Kwahio mkuu kama ulipata F F F isiwe sababu ya kuwachukia waliopata A A A maana hakuna aliyekutuma usisome ukafaulu kama wao
 
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Humble nifundishe kutag majina mawili kama lako na la engineer huwa sijuagi,najua kutag moja kama la Raynavero
Its simple unaandika alama hii hapa @ then linafuata jina lote la mhusika

Mfano General Mangi njoo umuone engineer anaebet na kuzoa nywele saluni.
 
Last edited:
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
8,275
Likes
9,894
Points
280
baba swalehe

baba swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
8,275 9,894 280
Huyu bwege nammudu vizuri sana...yaani huyu bwege ni boya hadi alifeli blood test hawezi kuargue na mind ya mtaa...Ahahaha!

Bring it on engineer majalala!

Nice to see you amu
We jamaa et alfel blpod test hahaha mamaeee
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,128
Likes
11,277
Points
280
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,128 11,277 280
Ila Mkuu Humble African ma T.O wengi wamefanikiwa ni wachache sana ambao hawajafanikiwa na kama wapo watakuwa ni wazembe wa hali ya juu na vile hawajapenda kujichanganya na watu (kama ulivyotanabaisha hapo juu kuwa baadhi huwa wanajisikia sana ambacho si kitu kizuri) in real life......

Niko na imani bwana CCNP Engineer atakuwa na maisha mazuri tu hapa atakuwa anakuja kuchora watu na kupotea kama member wengine wanavyofanya......
 
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Mkuu ma TO gani unaowaongelea wewe wanaobet??
Maana mimi nina mfano wa ma TO ninaowajua wana maisha mazuri tu..

Ni kweli hawawezi kutoboa kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa lakini pesa za kubadirisha magari na kujenga nyumba kali hawakosi..

Kwahio mkuu kama ulipata F F F isiwe sababu ya kuwachukia waliopata A A A maana hakuna aliyekutuma usisome ukafaulu kama wao
Sasa wana haja gani ya kuwa MaTO na kuja kutusumbua hapa jamii forum kama na wao wanapunguza kidogo tu ukali wa Maisha kwa kujenga Nyumba na kununua Passo old model?

Nina mshkaji wangu alikuwa kwenye tano bora kitaifa wakati tunamaliza O-level akakamua hadi akawa dokta pale Bugando ajabu alikuwa ananivizia nikitaka kwenda kwenye mitkasi yangu town aniombe lift kwenye ki Raum changu old model those days....!

Mkuu Kubali huu ukweli mchungu kwamba the more mtu anavyozidi kuwa academically successful ndio ujue anazidi kuwa economically disabled and trapped and pissed off.

period!
 
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Ila Mkuu Humble African ma T.O wengi wamefanikiwa ni wachache sana ambao hawajafanikiwa na kama wapo watakuwa ni wazembe wa hali ya juu na vile hawajapenda kujichanganya na watu (kama ulivyotanabaisha hapo juu kuwa baadhi huwa wanajisikia sana ambacho si kitu kizuri) in real life......

Niko na imani bwana CCNP Engineer atakuwa na maisha mazuri tu hapa atakuwa anakuja kuchora watu na kupotea kama member wengine wanavyofanya......
Ahahaha!! Mshkaji ana ghubu na anajiona sana kama mtu special kuanzia humu JF ...yeye ndio kipanga, yeye ndio akili kubwa kama le mutuz..!

Akifanikiwa huyu Ndezi nakunya mavi ya karanga karanga kama mbuzi hapa na kinyerezi.

Addicted bettor wa betting.
 

Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613