Sababu za kisayansi kwanini Sarai mke wa Nabii Ibrahim alikuwa na shida ya Uzazi/ Uzazi mgumu

Kwani Yakobo hakuoa binamu zake? Na mke wa Yafethi ni nani? Sina kumbukumbu kama alikuwa na changamoto ya uzazi. Na mke wa kaini ni nani?
 
Ina make sense eeh?
Haimake sense

Mimi nadhani yule mmiliki wa mapiramid alimsukuma kizazi bibie na kukinajisi

So huyu jamaa na kibamia chake akawa anaogelea tu baadae

Ni maoni yangu lakini
 
Kwa kuwa Sarah Na Ibrahim walikuwa wote Kwa pamoja wamerithi tatizo Hilo ilikuwa ngumu Zaidi Kwa wao kupata Mtoto . PENGINE Sarah angeweza kubeba ujauzito Kwa haraka Na mapema Zaidi kama angekuwa ameolewa namtu kutoka damu nyingine ambae probably Hana matatizo ya kiafya ya kurithi yenr kuweza Ku incapacitate uwezo WA kuzaa . The same as IBRAHIM. Lakini Kwa kuwa walikuwa wameoana wote wenye tatizo Moja ndio maana UZAZI ukawa MGUMU Sana kwao.

Inaendelea
We ni mwenye janja mingi mingi. Kule juu umeweka ilani kwamba tusichukulie hii hoja kama rasmi bali maoni yako binafsi.

Nimependa namna ulivyoweza kuijenga hoja kwa uzuri sana ingawa unajua kabisa jamii ya Watanzania hawana utamaduni wa kusoma vitabu kama ulio nao wewe. Hasa kwenye issues za Waespotania wa kale na mambo ya Uru. Hayapatikani kwenye Biblia pekee. Kuna findings mbalimbali na mpya zinazoendelea kuleta uthibitisho usio na dukuduku.

Nakuuliza, je kisayansi imekaaje kwa binti wa miaka 60 kama Sara kushika mimba na kuzaa?
 
Nakuuliza, je kisayansi imekaaje kwa binti wa miaka 60 kama Sara kushika mimba na kuzaa

Sarah alipata mimba akiwa Na miaka tisini ( 90) KISAYANSI Ni "muujiza" Kwa mwanamke wa miaka 90 kunasa ujauzito. Na katika sayansi neno " muujiza" ni " muujiza"
 
Mkuu una hoja mwanzo nilikuja na fimbo nikupige usoni ila ulivyokuwa unaendelea nimeshusha mkono
 
Vitabu vitakatifu vya Dini zetu pendwa vinamtaja Sarai ama Sarah kama mwanamke aliye kuwa anakabiliwa na changamoto ya UZAZI.

Vitabu hivi vinatueleza kwamba suala la Sarai kuwa na matatizo katika UZAZI lilikuwa ni suala la kiroho.

Hata hivyo suala la Sarai kuwa Na changamoto ya UZAZI linaweza kuelezewa kisayansi Na Hilo ndio lengo langu kuandika makala HII.

Kabla sija zama into details Nianze Kwa kutoa angalizo kwamba haya nitakayo yaeleza Ni maoni yangu binafsi( my personal opinion). Sina maana kwamba nitakacho kiandika hapa ndio uhalisia.

Back to the point. Sarai alikuwa na tatizo la UZAZI Kwa Sababu ambazo Zina maelezo ya kisayansi.

Sababu kuu kwanini Sarai alikuwa na matatizo katika uzazi ni Kwa Sababu ali olewa Na KAKA YAKE WA DAMU MOJA. Kaka ambae wali share baba mmoja lakini mama tofauti.

Naam Ni Kweli kabisa Sarai Na Nabii Ibrahim walikuwa mtu na kaka yake ambao baba Yao alikuwa mmoja isipokuwa mama zao ndio walikuwa tofauti.

Ushahidi wa kimaandiko? INAENDELEA.

Naomba MTU asikoment mpaka nitakapo malizia Uzi
Hahahah, watoto wa Adam na hawa walioa au kuolewa na nani?
 
Back
Top Bottom