Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.

Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.

TUJIFUNZE.

Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.

Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-

Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.

Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.

Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?

Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.

Kuna mlolongo wa sababu:-

√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.

å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.

å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.

Fuata link link hii kujifunza zaidi..

https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway

Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.

Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
yale yale ya expansion joint
 
Hakuna faida inayopatikana ATCL kwaio anataka kusema ndege ina Reverse sasa si ndio? Daah ila yule jamaa aisee eti jamaa leseni kaletewa nyumbani hahaha
 
Hapa taaluma imetumika ipasavyo bila kebehi na bila dhihaka. Asante sana. Maelezo yanajitosheleza.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri , nafikiri mjadala ufunge, tugange yajayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu embu nisaidie kuelewa kitu hapa kwenye aviation pushback. umesema ndege yaweza kurudi yenyewe nyuma ila wanaogopa kuharibu injini? Je nini dhumuni hasa la watengenezaji wa ndege kuweka option ya kurudisha nyuma?
 
Hatuhitaji kuelezwa theories hizo. Ni upumbavu mtupu. Na ni ujinga zaidi kutuambia uwanja hauna magari ya kusukumia nyuma ndege. Sote tunajua ndege hazina reverse gear. Kutokuwepo tugs ni kichekesho kingine. Ni vema ungekaa kimya.
sasa hapo amefanya kosa gani mpaka umtukane? Ametusaidia sisi washamba kuelewa mambo
 
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.

Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.

TUJIFUNZE.

Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.

Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-

Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.

Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.

Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?

Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.

Kuna mlolongo wa sababu:-

√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.

å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.

å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.

Fuata link link hii kujifunza zaidi..

https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway

Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.

Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Maelezo yako ni mazuri na yana ushahidi ya ulichokisema kutoka nchi nyingine tena zilizoendelea. Hii ilipaswa kua mwisho wa arguments zisizo na maana. Hata mimi sikua nimeelewa vizuri nilipoona ila now niko satisfied na maelezo
 
Kila siku "Aviation Pushback"
Daah sijuhi ni kwa nini kila mara nikitumia hizi ndege nakosa kabisa hamu ya safari...!!
 
Magufuli nunua hii kitu, uvunje ukimya...
Aeroflot_Tupolev_Tu-154M_RA-85643_Mishin-1.jpg
Hana hamu tena akikumbuka ile service ya vile vitini ni billion 13 na ushee

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom