Tatizo unatuonyesha kabisa ni kwa jinsi una experience ya matrecta mabovu. Ndege haziko hivyo best.
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Hiyo katika maswala ya Anga Kitaalamu inaitwa "Aviation Goat lifting
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mazuri,na yanayoelewekwa,kama ni mwalimu,basi sisi wanafunzi ,lazima tujivuniye kuwa na mwalimu wewe.Kuna watu duniani,ni waalimu wazuri wa kufahamisha,kama wewe uliyetoa somo hilo hapo.Tumejifunza kitu kipya kabisa.Asante kwa elimu hii.Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Umeeleza Push back ya kutumia vifaa ila hapo Wamesukuma watu Je hyo kitaalamu inaitwaje?...Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Kwa hiyo Dreamliner yetu imekuwa Cargo Plane?? Mbona hamkosi cha kuandika nyiye watu??Ujielewi fanya tafiti ndege za mashirika makubwa ujue kwny kargo wanapakia nn
Mwalimu Kashasha kwenye ubora wako... [emoji3][emoji3]Hiyo katika maswala ya Anga Kitaalamu inaitwa "Aviation Goat lifting
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Ndege ya ATCL ni manual, iligoma kuwakaa, wakajaribu kuishtua kwa mbele kwa giaa namba mbili, ikagoma kabisaaaaaaaaaa.
Ndipo wakairudisha nyuma ili iwashwe kwa rivasi
Hauulizwi kuhusu mambo ya Cargo, unaulizwa kuhusu ndege ya kusafirishia abiria, hizo za cargo ni sawa kabisa.Ujielewi fanya tafiti ndege za mashirika makubwa ujue kwny kargo wanapakia nn
Aviation Push Pack, Expansion Joints bring some pleaseMkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Kila ndege ina sehemu ya kargoHauulizwi kuhusu mambo ya Cargo, unaulizwa kuhusu ndege ya kusafirishia abiria, hizo za cargo ni sawa kabisa.
Km ujui kaa kimya Kila ndege ina sehemu ya kargoKwa hiyo Dreamliner yetu imekuwa Cargo Plane?? Mbona hamkosi cha kuandika nyiye watu??
Kueleza umeeleza wewe alafu unasema kunawanoa hujumu ndege yenu mbona wajichanganya sana wehye?Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Labda wanasubiria hadi wachinjweNa vipi kuhusu kupakiza mbuzi Mkurugezi kasemaje?
Yaani wewe ndiyo hujielewi kabisaa maana mtu kauliza ilikuwa ni jukumu lako wewe mwenye uelewa kumuelewesha lkn badala yake unamtukana!Ujielewi fanya tafiti ndege za mashirika makubwa ujue kwny kargo wanapakia nn
Pamoja na haya yote,jiulizeni kwanini wa Tanzania hawana Ownership na Pride na hizi ndege.Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Na ww hujielewi baada unieleweshe Ni mweleze vip unanitukana!!Yaani wewe ndiyo hujielewi kabisaa maana mtu kauliza ilikuwa ni jukumu lako wewe mwenye uelewa kumuelewesha lkn badala yake unamtukana!
In God we Trust
Hebu siku moja nenda na mbuzi wako pale airport uone kama watampiga lebo ili awekwe kwenye buti na wewe uingie ndani.Kila ndege ina sehemu ya kargo